Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Sina maneno marefu, ila pia Picha hii haihusiani na kichwa cha habari.
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Kuna mechi ya simba na yanga nakumbuka wachezaji wa Yanga walimpiga refa, naomba nikumbushwe refa aliyepigwa na wachezaji walipiga na kwa sababu gani
2 Reactions
25 Replies
1K Views
Wakati kipindi cha pili kinaenda kuanza, Manura alielekea golini kwake na wakati anaweka taulo, kuna kitu cheupe alikitupa pale golini. Huu ni muendelezo wa matukio kibao ya Klabu ya Simba...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Ile assist alioitoa Chama na kuzaa goli la Simba leo inaitwa La Pausa kwenye soka. Mashabiki wa Simba kule Spain na Ulaya wanauliza kama lipo neno la Kiswahili?
8 Reactions
36 Replies
2K Views
Huyu dogo achoshangaza , anafokea watu wanaolipwa pesa mingi Sana kwa mwezi anahic wako sawa kumbe ni mbingu na ardhi. Kikubwa huyu dogo hajui chochote kwenye hii career ya urefarii ulishaona...
2 Reactions
6 Replies
511 Views
Natamani siku hizi timu mbili ziache kurogana kipigwe kavu kavu tuone kiuhalisia ni nani bora zaidi uwanjani na siyo haya mazingaumbwe wanayotufanyia. Haya ni baadhi ya mambo nikiyoyaona jana...
6 Reactions
25 Replies
3K Views
Kama asingekuwa mbinafsi kama mchezaji ninayemchukia kupita kiasi kwa sasa ndani ya Simba SC Sakho kutokana na utoto na upuuzi wake usiyobadilika, leo Okra alikuwa anatoa pasi kama tatu hivi za...
11 Reactions
30 Replies
2K Views
1. Germany lost the most World Cup finals in football history (4 times) 2. Juventus lost the most UCL finals in football history (7 times) 3. Cristiano Ronaldo is the only player in history to...
13 Reactions
30 Replies
2K Views
Moja kwa moja kwa wachezaji wa Simba na bila kupepesa. Mgunda amejitahidi kuwabadilisha wachezaji watembee, mpira utembee na kuchangamka lakini bado wachezaji wanajisahau. Jana ilikuwa Yanga...
1 Reactions
4 Replies
702 Views
Kwa mwenendo huu wa klabu ni wazi kwamba Simba itaenda kuaibisha taifa huko nje. Leo hii Simba inashindwa kabisa kuifunga Yanga, wachezaji wazembe, hawajitumi, tunategemea nini? Kwanini...
10 Reactions
37 Replies
2K Views
Ni mambo ya ajabu kweli. Hawa waamuzi ni wa kiwango Cha chini sana, tena hawana ushawishi kabisa. Carrier ya waamuzi Kwa hapa nchini ni kizungumkuti. ...
7 Reactions
23 Replies
1K Views
Amani iwe kwenu. Nimekuwa nikifuatilia sana mwenendo wa viungo wakabaji wa timu ya Simba SC kwa muda mrefu sasa. Nimeona mabadiliko makubwa kwa Mzamiru Yasin na Sadio Kanoute, viwango vyao...
8 Reactions
26 Replies
2K Views
Hawaishiwi visingizio wanapokosa matokeo mazuri. Mechi ya Ngao ya Jamii walimlalamikia Kocha kwamba alifanya substitutions (mbadala) zilizowaua. Leo wanamlalamikia Okrah kwamba alizidisha uchoyo...
8 Reactions
43 Replies
2K Views
Pamoja na timu ya Simba kufanikiwa kuingia hatua ya makundi CAFCL, kuongoza msimamo wa NBC Premier League, lakini nimeshangaa tovuti zote za kubeti zimewaweka Simba kwenye nafasi ya kufungwa mechi...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Uhali gani shabiki na mpenzi wa soka wa Tanzania na Afrika Mahariki kwa ujumla baada ya mechi ya jana kumalizika bila mbabe baada ya kugawana alama? Kwenye mchezo huo matokeo ya haki kila timu...
2 Reactions
0 Replies
828 Views
Nili andika juzi kuwa, katika ulimwengu wa roho, mchezaji ANAE beba nyota ya mafanikio ya Yanga ndani ya uwanja ni Jesus Moloko na kwamba Moloko anatakiwa kuwa treated from that aspect. Naona...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
1. Kuna wapigaji wengi. 2. Kuna wanafiki wengi. 3. Kuna Uyanga na Usimba mwingi. 4. Kuna usaliti na kutumika kuanzia kwa viongozi na wachezaji. 5. Majungu mengi kutoka kwa wachezaji wazawa na...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Klabu ya Azam imemtangaza Denis Lavagne (58) Raia wa Ufaransa kuwa Kocha wao Mkuu akirithi mikoba ya Abdihamid Moalin, Lavagne ana uzoefu na soka la Afrika kwa miaka zaidi ya 14 toka alipoanza...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Unadhani kwanini Kombe la Dunia la mwaka huu halina amsha amsha kama Makombe ya Dunia yaliyo pita kama 2002, 2006, 2010?
7 Reactions
43 Replies
3K Views
Japo matokeo si mazuri kwa upande wa Yanga, tunamshukuru Mungu kuendelea na wimbi la kutopoteza mechi
4 Reactions
30 Replies
1K Views
Back
Top Bottom