Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Nimefuatilia kuhusu mechi ya kesho ya Simba na Yanga, nimesikia mechi inatakiwa kuanza saa 11:00 jioni. Najua hata huko nyuma, kuna mechi kadhaa zilianza muda huo ila naona hili ni kosa la...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Kwa wale wanaofatilia Azam TV, kuna mahojiano na mashabiki kuelekea mechi ya Yanga na Simba. Katika mahojiano hayo kuna shabiki mmoja wa Yanga anatamka bila wasiwasi na Azam TV kumuweka hewani...
15 Reactions
29 Replies
2K Views
Bila shaka mtakuwa mmejifunza kwenye mech za kimataifa za CAF, mtakuwa mmeona waamuzi wa kimataifa namna wanavyoamua kwa kufuata sheria, na si kwa kufuata Ushabiki. Naomba myazingatie yafuatayo...
1 Reactions
2 Replies
370 Views
Binafsi ningependa zaidi vifuatavyo: Kikosi A 1. Aishi Manula 2. Shomary Kapombe 3. Mohamed Hussein 4. Kennedy Juma 5. Joash Onyango 6. Henock Inonga 7. Saido Kanoute 8. Muzamir Yasin 9. Moses...
5 Reactions
38 Replies
2K Views
Niko naangalia mechi ya Tanzania U23 dhidi ya Nigeria. Kwakweli uwanja uko ovyo sana. Nyasi zimenyofoka nyofoka na kurundikana kama vifurushi. Mpira hauchezeki kabisa. Kwa hali ilivyo tutarajie...
4 Reactions
21 Replies
1K Views
Hawa jamaa zetu mpira umeshawashinda, kazi kutumia wazee wacheze nje ya uwanja, watakuja kufa bure. Wewe siyo mchezaji unakuja kuangalia nini? Hawa utopolo humu ndipo walipowekeza; uchawi...
6 Reactions
29 Replies
2K Views
Huu mchezo wa kukimbilia kwa watoto yatima kutafuta ushindi dhidi ya Simba kesho, sio bure. Nawasihi viongozi wa Simba, kesho asubuhi na ninyi nendeni mkasaidie yatima, mtanishukuru, wenzenu...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
1. Shime shime wananchi, mabingwa kihistoria, Jambo letu la kinchi, hakika limewadia, Ni ile yetu mechi, nyepesi kupindukia, Tawapiga kama ngoma, Makolo nawaambia. 2. Tukaujaze uwanja, yapatikane...
5 Reactions
12 Replies
548 Views
Habari zenu watu wa mpira? Hii mechi ya Oct. 23 mbona kuna katimu kanatetemeka sana, shida nini? Woga huu unaletwa na nini? Hii wiki kumeanzishwa nyuzi nyingi (karibu 50) za utabiri na ulozi...
0 Reactions
7 Replies
578 Views
Dar es salaam sio mahala salama. Unaweza kukabwa na vibaka hata ukiwa Lupaso aka Kwa Mkap (RIP) . Unasafairi na silaha ya kujihami maana hata ndani ya uwanja wa mkapa sio salama kabisa. Tujihami...
2 Reactions
6 Replies
805 Views
Mchezo huu ambao huteka hisia za mashabiki wengi wa mpira wa miguu, utakuwa na msisimko mkubwa sana. Sababu ikiwa ni kila timu kuwa wakati wa kipekee, Yanga akiwa kabeba ubingwa bila kupoteza...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Hii ni Derby kubwa Afrika Mashariki na Kati, na ni Derby ya nne kwa ukubwa barani Afrika, ambapo inakutanisha miamba miwili kutoka Dar es Salaam, mitaa ya Twiga na Jangwani na Msimbazi ambapo...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Mechi imeanza Kwa Kasi kubwa. Mpaka Sasa DK 14 COL 1-0 TAN. Mechi imeathiriwa na Hali ya hewa, mvua ni kubwa Sana Tangu dakika ya Kwanza.
1 Reactions
34 Replies
1K Views
Mpira umeisha hapa uwanja wa Uhuru, Azam kalala 2-1 dhidi ya KMC. Azam ni timu ya kawaida sana, inakuzwa sana na vyombo vya habari kutaka kuonyesha nchi hii kuna timu kubwa 3. Timu kubwa...
32 Reactions
59 Replies
3K Views
Wanachojua tu ni kukamia Mbasi, sisi level zetu siyo wao. Sisi tunapambana na wenzetu wa kimataifa. Mbasi ni timu kubwa Afrika, sijui maneno yatakuwa mengi. Kumfunga de () st) - go) siyo kwamba...
1 Reactions
9 Replies
556 Views
Sijaelewa, kwanini Ali Kamwe ahangaishwe na ukimya wa Simba? Nimekuja gundua wakati sisi Yanga tunahangaika sana na hii mechi wenzetu wanaichukulia ni mechi ya kawaida tu. Hawajaamua kuwekeza...
13 Reactions
41 Replies
3K Views
NINAKARIBIA KUJIONDOA Simba kwa MATOKEO mabaya na uzembe mkubwa wa viongozi kamati ya usajili nk. 1. Uhalali wa Kuwepo kwa bilioni20. Una Bilioni 20 unashindwa kusajili. 1. Victoria Adebayor...
4 Reactions
45 Replies
4K Views
Hizo ni salamu za utangulizi. Mechi imechezwa mchana huu hapa Uwanja wa Uhuru. Kesho mtu anapigwa kimya kimya. Sherehe ya kimya kimya kama unatoka na mke wa mtu!
4 Reactions
6 Replies
963 Views
nina jambo nataka fanya kabla sijaondoka Mafia!
1 Reactions
3 Replies
814 Views
SIKU chache baada ya Mwanaspoti kufichua juu ya waamuzi waliokuwa wakipewa nafasi kubwa ya kuchezesha mchezo wa Kariakoo Derby utakaofanyika April 30, 2022 katika dimba la Benjamin Mkapa saa 11...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Back
Top Bottom