Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Ustaadhi wetu kashamaliza mchezo. Mchezo ulikuwa ngumu kutokana na Simba kuwa wana timu nzuri lakini kwa mipango hii tumewashika pabaya. Mzee Mpili alitimiza malengo akapata changamoto kidogo...
9 Reactions
22 Replies
2K Views
Hii ni kutokana na kulaumiwa sana na mashabiki kwa kutolewa Klabu Bingwa Afrika. Kosa lililofanyika ni mashabiki wao kudanganywa na kuwa na matarajio makubwa mno. Kwenye soka kuna wavakati...
1 Reactions
13 Replies
999 Views
USHAURI: Kwa mabosi na wadau wa hapo Chamazi akina Saidi, Omary, Hashimu Ibwe, Zakaria (ZakaZakazi) na wengineo mnataka kujua umafia na kufanya mageuzi kwenye timu yenu basi msajili kocha mzawa...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Siku ya leo Derby kati ya wababe wawili Simba dhidi ya Yanga itaweka rekodi ya kushuhudiwa na kufuatiliwa na makocha wa timu 16 za Afrika. Mchezo huu muhimu utashihudiwa na Kocha wa Club Africain...
5 Reactions
13 Replies
2K Views
Nimekuwa shabiki wa Mayele sana lakini kwa wakati huu anazingua. Yanga wanahitaji mshambuliaji mwingine ambaye atachukua nafasi Yanga. Fiston amekuwa mchoyo sana, pia anashindwa magoli ya wazi...
1 Reactions
16 Replies
836 Views
Moja kwa moja. Inakera sana unakuta upo kibanda umiza mnaangalia mechi mtu anaanza kushangilia goli kabla ya mpira kuingia wavuni au mtu anahadithia tukio la mbele kabla kutokea wakati mechi...
21 Reactions
69 Replies
3K Views
Kwa ufupi sana, hiyo siku simba hawezi shinda, labda ashinde njaa. Hana ubavu wa kumfunga Yanga, akijitahidi sana basi atoe sare, na ni baada ya kupunguza magoli mawili ya Yanga ili iwe 1:1...
5 Reactions
13 Replies
913 Views
Iko wazi kabisa kuwa Yanga wameshikwa pabaya! Tumaini lao lililobaki kwa mbali ni kutaka kufurahisha na kuwasahaulisha machungu ya kufurumushwa CAF Champions League kama kibaka fulan hivi, kwa...
8 Reactions
49 Replies
2K Views
Declaration of interest. Mimi ni Yanga kindakindaki na sina mkia wowote maungoni mwangu na moyoni mwangu. Utabiri huu umeegemea upande wa kiroho zaidi kuliko upande wa kimwili ambao unajumuisha...
18 Reactions
65 Replies
5K Views
1. Farid Musa 2. Bakari Mwamnyeto 3. Feisal Salum Fei Toto Hivyo nawaomba wachezaji wa Simba SC kama ikiwezekana wafukizwe sana moshi wa .... au wapakae mafuta ya nguruwe. Na kwa wale wa...
5 Reactions
11 Replies
1K Views
Katika tathmini yangu ya Habib Kyombo, namuona ni mchezaji mzuri sana anayestahili kupewa nafasi zaidi. Sitaongelea mikimbio yake wala mbwembwe zingine, ni mchezaji anayeonekana ana IQ nzuri ya...
0 Reactions
3 Replies
408 Views
Huyu jamaa alisajiliwa kimyakimya na hata gharama za ujio wake hazikuwekwa wazi. Ameonesha kuwa ni winga mwenye makali ya kimataifa. Ana kasi, pasi za upendo, anaona nafasi katikati ya msitu wa...
17 Reactions
37 Replies
3K Views
Amaan na iwe kwenu. Mechi ya leo kati ya Simba na Yanga imekuja patamu sana. Na wenye faida kubwa na mechi ya leo ni Club Africain ya Tunisia. Ni patamu kwa sababu Simba imefuzu makundi ya CAFCL...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Sasa ndio nini hiki tumeraruana wiki nzima halafu wanashindwa kufungana. Yaani ujinga tu haina hata raha 😡😡😡😡
5 Reactions
29 Replies
1K Views
Habari wadau, Ni dhahiri kwamba mwalimu wa Manyara FC alitukosesha ushindi jana nyumbani. Kikosi alichokipanga kipindi cha kwanza kilikuwa na uwezo mdogo, baada ya mapumziko alivyofanya...
0 Reactions
0 Replies
316 Views
Usiku wa deni ni mfupi sana Hayawi hayawi ...? Hii si mada ya kutabiri mshindi kwakuwa tayari anajulikana[emoji881]...! Hii ni mada ya harakati kuelekea kilele cha Derby hii ninayoweza kusema ni...
15 Reactions
64 Replies
3K Views
Mchezo umemalizika kwa Tanzania kupoteza kwa bao 3-0 dhidi ya Colombia. Magoli yote tumefungwa mapema sana kipindi cha kwanza na hii inaonyesha Kocha Bakari Shime alivyowaingiza mabinti bila...
7 Reactions
42 Replies
3K Views
T A A R I F A Bodi ya Azam FC imesitisha mkataba na Denis Lavagne, kama kocha mkuu, kuanzia leo, Oktoba 22, 2022. Uamuzi huo ni kwa maslahi mapana ya klabu na mustakabali wa mradi wake wa...
3 Reactions
37 Replies
2K Views
Leo Niwape Story Fupi Kuhusiana Na Mimi Na Feisal Salum “FeiToto”. Nakumbuka Ilikua Mwaka 2016 Wakati Tunaenda Zanzibar Na AzamFc Katika Kombe La Mapinduzi. Wakati Tupo Njiani Wachezaji Wenzangu...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Yaani kukosekana Haji Manara kwenye mpira ni hasara, yaani utadhani kesho hakuna mechi. Kweli Manara alikuwa na amsha amsha. Nani kama Manara? TFF mfungulie mtu huyu.
2 Reactions
38 Replies
2K Views
Back
Top Bottom