Kuna huyu jamaa mnayekuwa naye vyumba vya kubadilishia nguo, ustadh mchawi, kwa ufupi acheni janja janja.
Kama mnataka kujipima kweli na Simba kuelekea Kombe la Shirikisho huyo mtu msimtumie...
Habari wakuuu.
Nimeomba niulize hili swali kwenu wadau.
Nilikuwa na ndugu watatu TFF akiwemo katibu mkuu mstaafu. Wawili wametoka amesalia Kuwepo ofisini.
Niende Moja kwa Moja kwenye swali, JE...
Nikisikiliza habari za michezo leo alasiri kupitia chombo kimoja kikubwa cha habari nchini. Mtangazaji wa habari (za michezo) akinadi michezo itakayojiri kuanzia leo hadi wikiendi Jumapili...
Jana 20 October 2022 ilichezeka mechi kati ya Manchester United na Tottenham Spurs, mechi za Ligi Kuu ya Uingereza EPL na mechi ikaisha kwa ushindi kwa Manchester United iliondoka na ushindi wa...
Mwamuzi Ramadhan Kayoko ametajwa kuwa Mwamuzi wa Kati atakayechezesha mchezo namba 64 utakaoyakutanisha manguli ya soka la Tanzania Simba SC na Young Africans.
Taarifa iliyotolewa katika mitandao...
Na sotoishia hapo niliahidi na sasa natekeleza hata Mechi ya Marudiano Wiki ijayo Dar es Salaam pia nitawasaidia kwa kutoa Siri Kubwa za Kimchezo za Simba SC na mpaka Uchawi Wao wanaoutumia.
Na...
Nalazimika kuuliza hili swali kutokana na huu wimbo wa Yanga, kila siku Yanga ni bora, Yanga ni kubwa, wakiingia uwanjani ubora hauonekani.
Walikutana na timu yenye ubora Vipers wakapoteana...
Huu ndiyo ukweli, mpira wa Asec Memosa ni mpira wa kasi, siyo wa taratibu. Na wachezaji wengi wa Afrika Magharibi wanacheza mpira wa kasi. Timu pekee kwa Tanzania kwa sasa inayocheza mpira wa...
1. Kuanzia leo Jumanne Timu ikae Mafichoni hasa
2. Wachezaji wanyang'anywe Simu zao
3. Viongozi wapewe Kiapo na walishane Yamini
4. Wachezaji akina Manula, Boko, Tshabalala, Kapombe, Mkude...
Nawaonea huruma sana Yanga kukutana na jiwe ambalo hata wao walikuwa wanaomba usiku na mchana wasipite hili chocho. Baadhi wanajipa faraja kutokana na ufasini wa Simba Sc kimataifa wakidhani ni...
Kastori karefu lakini katamu, hivi unajua Ferguson alikataa katakata usajili wa Vidic?
Sikia hiii.....
Moja kati ya mabeki ambao Sir Alex Ferguson alikua anawakubali ni Steve Bruce, hata baada...
Wanasimbaaaaaaaa,
Hii ndio formula inaenda kumfukuzisha kazi Nabi jumapili hii. Kama intensity ya wachezaji wetu ikiwa juu kwa dk 90 mtaona wanavyopoteana!
Last game walipoteana Zoran akavuruga...
Kuna hii dhana ambayo inalazimishwa kuingizwa kwenye vichwa vya watu hasa mashabiki wa klabu ya Simba kutoka kwa viongozi wa Simba, ni dhana mfu.
Kusema Yanga SC huwa wanaikamia Klabu ya Simba...
Uamuzi huo umechukuliwa baada ya kupata kipigo cha magoli 3-0 dhidi ya Fulham katika mchezo wa Premier League.
Villa imeshinda mechi 2 za EPL kati ya 11 msimu huu, pia ni kati ya timu nne za...
Takwimu hazidanganyi, kwa sasa Simba wapo vizuri sana. Mechi 5 walizocheza hadi hivi sasa;
~ Wamefunga magoli 11
~ Wameruhusu magoli 2
Kimataifa wamecheza za jumla ya mechi 4;
~ Wanefunga magoli...
Huu mpango umekuwa na muitikio hasi sana kutoka kwa mashabiki wa soka nchini Uingereza. Ni kwa nini hatujasikia vurugu au ukinzani kutoka kwa mashabiki wa Laliga hasa Madrid na LaLiga, kana kwamba...
MASHABIKI WA SIMBA KATIKA MITANDAO YA KIJAMII.
Baadhi ya mashabiki wa Simba wameamua kuchangishana FEDHA kwa ajili ya kuimarisha idara ya kiungo na idara ya mshambuliaji.
Hayo yametokea Baada ya...
Unajua Al Hilal siyo kwamba walikuwa bora zaidi ya Yanga hapana, Yanga walikuwa bora zaidi ya Al Hilal ila walichoshida Al Hilal kwa Yanga ni nini?
Ni mbinu za kocha wao tu bila hivyo Al Hilal...
Mimi ni mfuatiliaji mzuri wa Ligi kuu ya Tanzania na pia Ligi pendwa duniani yaan Epl....Ila Kuna utofauti wa sheria za pale England na hapa Tanzania hasa pale makocha wanapopewa kadi nyekundu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.