Naam, ni uhuni juu ya uhuni, kudadeki, aisee weeh! Tukadanganywa kwamba kaenda Wakiso Giants ya Uganda na kwamba kwa sasa yeye na Yacouba hata kwenye picha za mazoezi wanafichwa fichwa!
"Za...
Ndugu wanamichezo wenzangu, nimefikiria na kuja na wazo kuhusu timu ya Azam, kama itawezekana basi viongozi wa Azam wafikirie kuinunua timu ya Pan Africa na jina la timu iwe Azam Pan Africa...
Kilichomkuta Simba, alipigiwa pasi 1000 na kupokea kichapo kutoka kwa Fiston Mayele. Leo watu wale wale wanajipa moyo kwamba Simba atamfunga Yanga? Nasemwa hivi Simba kwa sasa haiwezi na haitoweza...
Nimekusikia ukiwa mubashara EFM Sports Headquarters muda mfupi tu uliyopita, ila umeboa kwa kuwa huna amshaamsha na unaongea kiofisi zaidi wakati hadhira yako ni 98% oya oya (masela) tupu tu.
Baada ya kipigo kitakatifu cha bao 3-0 kutoka kwa Fulham, bwana Steve Gerald ametangaza kung'atuka kwenye timu hiyo. Bali haifahamiki chanzo cha yeye kuweka mpira kwapani.
Angalizo: Ukiona...
Tukiwa tunaelekea 23/10 "Wazee wa Historia" A.K.A Mabingwa wa Kihistoria naomba niwajuze historia hii!
Moses Phiri ambaye nchini Zambia hutambulika kama "Moses of Our Time" na akiwa Tanzania kama...
Viongozi wa Yanga inabidi waelewe tatizo la Yanga si wachezaji, tatizo letu ni benchi la ufundi. Shida kubwa ninayoiona Yanga ni miundo ya timu (structures). Tunapounda mashambulizi muundo...
Simba walipoona wamepigwa walitumia mbinu za kivita kumpa 'frustrations' yule Dejan mpaka yeye mwenyewe akasepa bila kuiingiza timu gharama.
Sasa Yanga kwa kule kupigwa 500m za usajili wasikubali...
Ni wakati wa huyu jamaa kujifikiria zaidi ama andoke United au astaafu, maana hayupo kwenye mipango ya Ten Hag.
Kila wakati ni mtu wa kuondoka uwanjani na kwa bahati mbaya timu imeaanza kufanya...
Usajili bora kabisa, lakini naona hawakuwa sawa kumpa timu Xavi, ile ilikuwa ni sawa na kubeti. Xavi ilibidi apate muda kuanzia timu za chini kwenye ligi shindani taratibu kama anavyofanya Gerard...
Wadau hamjamboni nyote?
Lazima tuseme ukweli bila kuona haya wala kuwa na hofu
Profesa Nabi hatufai tena kutuongoza
Yafaa atumbuliwe mapema kadri iwezekanavyo
Mashindano ya kimataifa ndiyo imeanza, tafuteni scout wa kuwatafutia wachezaji wazuri zaidi watakaowasaidia hapo Yanga katika mashindano ya kimataifa.
Huu ujinga wa kuleta mchezaji toka Uingereza...
Uongozi wa Klabu ya Africain ya Tunisia umetuma mashushu ili kuja kuangalia mechi kati ya Yanga na Simba itakayofanyika siku ya tarehe 23 Oktoba. Wataalamu hao wa kusoma mchezo yaani 'match...
Mmesajili wachezaji wazuri sana pengine kwa gharama kubwa, lakini ni ukweli mtupu kuwa Kocha Van ameshazeeka na uwezo wake hauwezi kuvuka pale.
Ushauri wa bure kabisa, hebu mpeni Mwinyi Zahera...
Binafsi naona msemaji aliyekuwa smart alikuwa Ezekiel Kamwaga. Huyu alikuwa professional hasa. Anajielewa na anaelewa Taaluma yake na hadhi ya Club aliyokuwa anaisemea..
Ahmed Ally nlitegemea...
Dah! Hongereni kwa kufika makundi, imepatikana nafasi ya kujipanga na kukaa sawa ila ndugu zangu kweli mmeridhika kwamba nafasi ya kiungo mkabaji iko sawa kabisa?
Putin Kanoute anajitahidi ila...
Naona yuko Kipenga Xtra, hivi huyu mzee si bado ni kama Technical Director na Kocha wa vijana hapo Utopoloni?
Ni mengi aliyoongea jana ni ukweli, lakini pia yanaweza kuwa na uharibifu kwa...
Kiungo huyo wa Chelsea na Ufaransa amefanyiwa upasuaji kutoka na majeraha ya nyama za paja ambayo yatamuweka nje ya uwanja kwa muda wa miezi minne.
Kante, 31, alipata majeraha hayo wakati katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.