Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Salaam ndugu Wana JF WAKATI watani wa jadi katika soka ya Tanzania, Simba na Yanga wanakutana usiku wa kesho Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam katika mchezo wa kuwania Ngao ya Jamii, mashabiki wa...
20 Reactions
138 Replies
8K Views
Wanasarakasi kutoka Tanzania, Fadhili Ramadhani na Ibrahim Hamisi waliiwakilisha Tanzania katika jukwaa la kusaka vipaji, Australia's Got Talent. Wawili hao ambao wanajiita "Ramadhan Brothers"...
12 Reactions
31 Replies
3K Views
Moja kati ya washambuliaji wasio na mbwembwe wala maneno mengi. Muonekano wa upole lakini killer haswa. Anageuka haraka, anakimbia na mpira, anatoa pasi, anakaa kwenye nafasi na anajua kuzipasia...
26 Reactions
72 Replies
10K Views
Ebana kama mnavyojua timu yetu ya wanawake chini ya miaka 17 Serengeti Girls imefika robo fainali Kombe la Dunia baada ya kuwachapa vigogo wa soka Ufaransa na Canada. Lakini Watanzania...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Mwaka 2019/20 Al Hilal waliingia hatua ya makundi wakati Simba iliondoshwa mapema na Ud Songo. Mwaka 2020/21 wote Simba na Al Hilal waliingia hatua ya makundi. Mwaka 2021/22 Al Hilal walitinga...
2 Reactions
39 Replies
3K Views
Kabla ya mechi ya Yanga na Al Hilal niliandika kuwa, kuna uwezekano mkubwa wa Al Hilal wasicheze mpira wa kushambulia zaidi. Watacheza mpira wa kulinda zaidi kwa hiyo basi watakuwa wengi nyuma na...
1 Reactions
7 Replies
945 Views
Dah, hizi fununu za kishingo zinanikera sana, huyu na Zoran walikimbia majukumu wakijua makundi ni shughuli nzito. Kishingo kafika makundi kakimbia, Zoran angekuwepo hata makundi Simba isingefika...
2 Reactions
37 Replies
2K Views
Mimi ni mshabiki sana wa Mayele ila ukweli husemwa, kinachombeba Mayele ni sifa tu lakini uwezo bado sana. Kama Yanga walifikia huku yeye ndiyo chanzo. Ile mechi ya kwanza angalia nafasi...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Yaani kukitokea Jambo fulani baya (hasa la Kiserikali) na (Kiutawala) kwa nchi ya Tanzania utaona wanaokuja Kulijibia (kulitolea Ufafanuzi) watajibu huku wakililinganisha (weka Reference) na nchi...
3 Reactions
4 Replies
943 Views
  • Closed
Taarifa zilizopokea kwenye vyanzo vyangu ni kwamba Makocha wa Yanga wametofautiana mpaka kufikia kiwango cha kupigana. Taarifa hizi nilizipuuza lakini kadri muda unavyosogea zinazidi kutolewa...
19 Reactions
61 Replies
7K Views
🗣 “Namwambia mara kwa mara Djuma Shabani kwanza ananenepa sana amekuwa mzito, hawezi kucheza mechi ngumu kama na Al Ahly, Esperance, Wydad. Djuma hana tena speed kama atakutana na winga ana akili...
7 Reactions
34 Replies
3K Views
Mtangazaji Hasheem Ibwe amekuwa Kaimu Ofisa Habari wa klabu ya Azam FC kuanzia leo Oktoba 18 hadi itakapotangazwa vinginevyo. #mwanaspoti #mwanaspotiupdates
0 Reactions
23 Replies
2K Views
"Swali: Safu yako ya ulinzi inaruhusu goli takribani saba, inakwenda kimataifa unatazamaje hili?" "Jibu Nabi: Nipe hongera, Sadiki wewe na rafiki yako Ibrahimu mna maswali sawa sawa, hii ni ajabu...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Msimu uliopita Simba ilipotolewa kwenye CAF Champions League na hatimaye kuishia robo fainali Kombe la CAF Shirikisho aliyekua msemaji wa Yanga Haji Manara aliwaponda Simba kuwa wanacheza kombe la...
5 Reactions
10 Replies
2K Views
Baada ya draw ya leo mchana play off Kombe la Shirikisho, nimesikia maoni mengi ya wenzangu wakiitaja timu pinzani yetu kuwa ni wepesi na kwamba tutawapiga kama ngoma. Naomba tusijiamini hivyo...
0 Reactions
8 Replies
700 Views
Habari wakuu, Naimani mu wazima wa afya kabisa, na tunaendelea vyema na harakati zetu za kutafuta ridhki. Niende moja kwa moja kwenye mada, kwa nini wana Jangwani (maarufu kama Utopolo au Chura)...
8 Reactions
28 Replies
2K Views
Msemaji wetu mpya alituaminisha tungemkomelea kipigo kizito wale Waarabu weusi wa Sudan, tukawaamini mazima, pale taifa tuka ponea chupuchupu. Sasa safari hii wasitudanganye eti wale wa Tunisia...
0 Reactions
3 Replies
440 Views
MHE. GEKUL ASHANGILIA Serengeti girls KUTINGA ROBO FAINALI N/Waziri wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Gekul ashangilia matokeo ya ushindi kwa Serengeti Girls U17 baada ya kutinga...
1 Reactions
0 Replies
564 Views
Yanga kesho wameitisha press conference ikiwa ni siku ya pili tu baada ya kuvurumishwa kwa mwaka wa 24 mfululizo katika hatua ya mtoano. Tutarajie kusikia yafuatayo: 1. Makubaliano ya pande...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Hii ni Mwaka 2013 Mzee wenger alimuona Big Benz kipindi Hicho akataka kumsajili. Jana Big Benz katwaa Mpira wa Dhahabu...Huenda labda matajiri wa Arsenal wangekubali kile alichokua anakiona mzee...
0 Reactions
4 Replies
724 Views
Back
Top Bottom