Watu wa Soka,
Tunapenda kuwataarifu wapenzi na mashabiki wetu kwamba Jumatatu ya Agosti 01, 2022 timu yetu iliwasili salama Makao Makuu mkoani Singida, ikitokea jijini Arusha ilikoweka kambi kwa...
Timu ya Taifa ya wanawake U17 Serengeti Girls imefanikiwa kufika hatua hiyo baada ya kutoka sare ya goli 1-1 dhidi ya Canada katika michuano inayoendelea Nchini India.
Matokeo hayo ya Kundi D...
Sadio Mane apata tuzo nyingine ya Socrates kutokana na mchango wake kwa jamii.
---
Sadio Mane has received France Football's inaugural Socrates Award, in recognition of his charity work in his...
Washabiki wa Simba na yanga tuna matatizo kweli, haswa hawa mamluki kama GENTAMYCINE
kwa upande wetu simba, sasaivi Simba imefanya vizuri kuvuka hatua ya makundi kimataifa.
Cha ajabu Hawa...
Usiku wa leo, kwanzia saa 1:00 usiku kutakuwa na hafla ya ugawaji wa Tuzo za Ballon d'Or. Katika hafla hiyo, kutakuwa na mchezaji bora wa dunia kwa upande wa wanaume na upande wa wanawake...
"Al Hilal FC ilikuwa ni mfupa mgumu kwetu Yanga SC. Wachezaji wa Yanga SC wanadanganywa na igi nyepesi ya Tanzania. Yanga SC wangecheza kwa intensity kubwa kama wa Azam FC, ile Mechi ya Sudan...
Na si hivyo, tunaweza pia kupangiwa tena na timu zile zile zenye figisu figisu wanapocheza nyumbani. Hivyo, Yanga tujiandae kisaikolojia.
Kwa Tanzania, Kombe la Shirikisho bado ni kubwa mno kwani...
1. Yanga SC inacheza ligi nyepesi ya Tanzania.
2. Wachezaji wa Yanga SC hawajitumi ipasavyo.
3. Wachezaji wa Yanga SC wameshalewa mafanikio.
4. Upangaji wa kikosi cha Yanga SC ni mbovu sana...
Wakuu Hii tuzo wamemnyima tu Sadie Mane lakini ndiye alistahili.
Timu Bora ya mwaka wameipa Man City, lakini ni Liverpool au Real Madrid ndio walistahili.
Mawazo yangu hayo yamebeba tafsiri ya...
Serikali ni lazima iikaripie Yanga na kuilazimisha kuondoa alama ya Mwenge kwenye logo ya club hiyo.
Ni aibu, tunasema Mwenge umulike mpaka nje ya mipaka yetu, lakini Yanga wamekuwa wakienda...
Al Hilal japo wameiondoa Yanga lakini naiona ni timu dhaifu sana, ni kwa sababu Yanga imejaza sana majina kuliko uwezo wa wachezaji wenyewe.
Wanadhani kuwa na majina makubwa ndiyo ukubwa wa timu...
Naona nyuzi za mashabiki wa Simba humu jukwaani zimekuwa nyingi, zikijimwambafai kuifunga Yanga Jumapili. Najua mashabiki wenu wanajiamini kupita kiasi baada ya kuwafunga Ihefu ya Angola na...
Inadaiwa kuwa klabu hiyo ya Aston Villa ipo katika mipango hiyo ya kumuwania Mauricio Pochettino kutokana na matokeo mabaya ambayo wanayapata chini ya Steven Gerrard.
Gerrard amekuwa katika...
Kwangu mimi Yanga kama timu tumejitahidi kwa kiasi kikubwa kufanya vizuri chini ya kocha Nabi kwa takriban msimu mwingine tena na kiukweli tutazidi kuimarika kadri timu inavyoendelea kuwa pamoja...
Ni taarifa rasmi na ikufikie popote pale ulipo kuwa kwa sheria mpya za Kombe la Shirikisho, Yanga SC yenye alama za chini itaanzia nyumbani na timu yenye alama kubwa japo imeangukia Shirikisho...
GENTAMYCINE nimekuwa nikitumia Nguvu Kubwa sana hapa JamiiForums Kuwashaurini na hata kwa Kuwaongoza kwa yale msiyoyajua ila mmekuwa mkinipuuza hivyo sasa acha yakupate na yatupate ili tushike...
Nawashauri viongozi wa Simba, mechi yetu na Utopolo safari hii tuache mzaha, tumefuzu group stage lkn furaha yetu kuelekea krismas ni kumuua utopolo tu, haiingii akilini kila tunapocheza nao...
Wakuu kwa kuwa nchi yetu inafuata utawala wa sheria ningependa niwasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano.
Nijikite kwenye mada,
Mnamo tarehe 24 Juni, 2010 mshambuliaji na nahodha wa Timu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.