Mimi nimeanza kwenda kushuhudia mechi za Simba vs Yanga mwaka 1989 wakati marehemu John Makelele Zig Zag anatunusuru tusishuke daraja baada ya uzembe wa kipa marehemu Sahau Said Kambi. Mechi hizi...
Wewe ni Waziri mwenye chuki sana na uongozi wa TFF na una wivu wa kishamba na Simba SC kutokana na mafanikio yake, hasa kimataifa dhidi ya timu yako unayoishabikia mno ya Yanga SC.
Leo katika...
Baada ya simba mnyama mkali kufuzu hatua ya makundi jana kwa ushindi mwembamba tulioupata wa jumla ya magoli 4 - 1 mimi kama kiongozi wa simba naomba radhi kwa ushindi huo kiduchu ndio maana...
Pot 1
Al-Ahly
Wydad
Espérance
Raja
Pot 2
Mamelodi
Zamalek
Horoya
Petro Luanda
Pot 3
Simba SC
Belouizdad
JS Kabyle
Al Hilal
Pot 4
Al Merrikh
Cotton Sport
Vipers
AS Vita/ RC Kadiogo
Ni kwa miaka kadhaa mchezaji wa Real Madrid Kareem Benzema amekuwa akiwapigia makofi na kuwapongeza wachezaji Lionel Mess na Cristiano Ronaldo walipokuwa wakichukua tunzo za Ballon D'or.
Lakini...
Jana nilimuua yanga na Mungu si Athumani mkeka ukatiki, lakini mpaka muda huu masaa 20 yamepita Sportpesa wameshindwa kusasisha matokeo ya mechi hiyo ili kuwezesha wateja kulipwa.
Hivi karibuni tumeshuhudia mashabiki wa Yanga Sc pamoja na viongozi wakiwa wamekua kisoka hususani pale timu yao inapopoteza mchezo mashabiki huwa watulivu na kuamini kuwa mchezo wa mpira wa miguu...
Sasa ni wakati wako kumfata rafiki yako Ibrah Ajib maana kwa sasa ni dhahiri shahiri huna tena nafasi ndani ya kuanza ama kucheza mbele ya Mzamiru Yassin na Sadio Kanoute maana imeonyesha dhahiri...
"Hello Babra, hebu wapangeni na Rs Berkane, halafu mechi ya kwanza waanzie Dar. Kumbuka walisema hili ni Kombe la Losers"
"Sawa mkuu ndiyo nipo kwenye mfumo hapa."
Poleni Utopolo! Hapa ndiyo...
Amani iwe nanyi
Sitoi pole kwa Yanga kwa kufungwa na Al hilal licha ya kumiliki sana mpira!! Natoa pole kwa wachezaji wa ligi nzima ya bongo kwa kushindwa kuwa na kasi kiwanjani pindi wanapokuwa...
1. MORISSON
2. KISINDA
3. MAKAMBO
4. AMBUNDO
5. ........
Namba moja na mbili sijui kwa nini walirudishwa
Namba tatu na nne Havana mchango wowote kwa timu.
Ongezea wengine ambao ni mzigo...
Wana Yanga SC wenzangu karibuni tulijadili hili tafadhali, na ikiwezekana tuandamaneni hadi klabuni au ofisi za GSM tukamwambie Rais Injinia Hersi Said kuwa hatumtaki, tumemchoka na atuachie Yanga...
Bernad Morisson, anafanya mambo ya kitoto kabisa uwanjani, anawafokea wenzake na kuwadharau kwa kujiona yeye ni 'professional' muda ambao timu inahitaji umakini mkubwa kwa kila mchezaji ili kupata...
Habari waungwana
NDIO AMEONDOLEWA TENA!!! Huyu si mwingine ni dar young africans, hakika hata kipenzi chetu Mwl. JK NYERERE anaweza kushtushwa na taarifa hizi huko alipo, huku akijiuliza...
Mimi ni mshabiki wa Yanga tena kindaki ndaki kabisa, lakini matokeo haya nimeyapenda maana yametupa somo fulani.
Jana nilivyokuwa naangalia jinsi timu yangu na wale Waarabu wa mchongo...
Tunaangalia mechi ya kutusafishia macho kati ya Makolo FC dhidi ya Ihefu ya Angola, wakati tukijiandaa na tukisubilia kwa hamu kubwa mechi dume, mechi ya wanaume hasa, itakayopigwa pale Omdurman...
Ukitizama kwa mbali unaona Yanga (Utopolo) malengo yao ni kuifunga Simba tu, ukisogea karibu kumbe ni kweli bwana!
Wakati timu za Afrika zikiweka malengo Ligi ya Mabingwa Afrika na Shirikisho...
Huko sijui CAF, sijui wapi, siyo suala kubwa sana. Sisi Yanga tutamchapa Simba kila mchezo ambao tutakutana naye. Tutamchapa ndani, tutamchapa nje.
Hili liwekeni akilini. Haya mengine ya sijui...
Jana baada ya uto meza kuwapindukia kwa kupigwa kimoja bila majibu na Al Hilal na hivyo kuangukia Kombe la Losers, uongozi chini ya Injinia wa mchongo wameazimia yafuatayo:
1. Kocha ajieleze na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.