Haya ni maono, kwa watu wa michezo ya kubahatisha betting mnaweza kutumia huu mkeka. Siku ya Jumamosi Yanga atacheza na Al Hilal ya Sudan. Matokeo yatakuwa Yanga 0 - 1 Al Hilal.
Kwa upande wa...
Ni siku iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu sana na mashabiki hapa Tanzania, kule Angola na Afrika Mashariki kwa ujumla.
Mnyama mkali anashuka dimbani akiwa na kumbukumbu ya ushindi wa mabao matatu...
Taarifa za ndani ya Yanga nilizotaarifiwa ni kuwa Eng Hersi Said ndiye anayemlazimisha Nabi kumchezesha Feisal na Aziz Ki kwa pamoja, hataki kuona mmoja anaanzia Benchi.
Hersi ndiye aliyemwambia...
Hivi kwanin Tanzania kisoka hatuna ushirikiano? Tutambue kuwa umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu. Umoja wetu Watanzania ndiyo uliyotuwezesha kumshinda Idd Amin Dada mwaka 1978/1979. Nawaomba...
Kikubwa kinachotakiwa katika Mechi za Kufuzu kutinga Makundi ya CAFCL siyo idadi ya Magoli au Umechezaji bali ni Mikakati na Mipango ya Kukupeleka huko hivyo hata kama Umefuzu kwa Goli Moja tu au...
Mimi nina imani kubwa kwamba Yanga alijiandaa na kamati ya ufundi pale kwa Mkapa dhidi ya wale waarabu weusi, na alifanikiwa kabisa kupata ushindi mnono wa nje...
Ila naamini kuna wahaini ambao...
1. Tanzania Simba SC yangu imeshinda na kuvuka (kufuzu) Makundi ya Klabu Bingwa Afrika (CAFCL).
2. Uingereza timu yangu pendwa ya Liverpool FC imemfunga mpinzani mpya Manchester City.
3. Sudan...
Naam, ile DRAW ya vibonde wa Champions League waliotupwa huko Shirikisho, ambapo inabidi wacheze play offs, inachezeshwa kesho kutwa jijini Cairo saa 10 jioni saa za Kibongo.
Draw hiyo itakuwa na...
Ninachojua Jumapili zote huwa ni mbaya Kinyota kwa Yanga SC hivyo kama alivyokufa Jumapili ya tarehe 16 Oktoba 2022 ndiyo hivyo hivyo ataenda Kufa tena Jumapili ya tarehe 23 Oktoba 2022...
Jamaa anajulikana wazi kuwa ni shabiki kindakindaki wa Yanga, ila linapokuja suala la kuongea ukweli basi wananchi wameanza kutilia mashaka u Yanga wake, kwanini? Au ni ushamba tu wa kukubali kitu...
Mimi siyo Mtanzania ni Mkongo, ila nilijikuta nimependa timu hii ya Tanzania kuliko kawaida na aliyenivutia kwenye timu hii ni Makambo. Mwaka 2018 nilitokea kuwa na mapenzi ya dhati na uchezaji...
Habari wakuu
Katika hali isiyo ya kawaida baadhi ya mashabiki wa Yanga wanasemekana kwenda office za kampuni ya Metl (Mo enterprises Ltd) zilizopo Posta Dar es Salaam. Mashabiki hao wanaotokea...
Kama kichwa kinavyoeleza hapo juu, huyu guru wa kutetema hapa Bongo vipi anaendelea alipoishia au? Ila yanga siku walizotumia kufanya press conference kwa mwaka huu ni nyingi kuliko mazoezi ya...
Huu ndio ukweli mchungu kwani walijiaminisha kushinda kwa mabao mengi kuanzia matatu na kuendelea.
Kwa ushindi huo msitegemee wataongea sana na badala yake watakuwa wanawaza itakuwaje...
Tumeshinda watu ukiwa timu ya wenye kujitambua mmh raha kweli .
Hivi mf. Timu kama senegal simba washinde unaonaje??
Yanga wakishinda hata hapo kenya tu mmh wataota .
Yanga ni timu ya mazingira
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.