Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Nilisikiliza kipindi cha michezo cha Sports HQ E FM radio, walikua wanazungumza kipigo ambacho timu yetu ya akina dada walipigika na Japan. Ndipo muongoza kipindi alimtaka mchambuzi Bin nani...
4 Reactions
32 Replies
2K Views
Wikiendi yangu leo kwenye kabumbu furaha ipo hapa; ~ Simba sport club #lunyas ~ Manchester United ~ Real Madrid Furaha yako kwenye mpira unategemea kuipata wapi mwanajamii?
0 Reactions
1 Replies
461 Views
Nahisi kuyaamsha baadhi ya mapepo yaliyolala, tukutane kesho saa tano usiku hapa. Ninachojua Yanga anaingia makundi, kivipi, subiri dakika 90. Mungu ibariki Tanzania na watu wake. Ibariki timu...
5 Reactions
9 Replies
752 Views
Ari, Bidii na Uzalendo imetuletea Ushindi Dhidi ya Ufaransa : Mhe. Gekul Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe.Pauline Gekul ameipongeza timu ya Taifa ya Wanawake chini ya Miaka 17...
0 Reactions
0 Replies
415 Views
Katika mchezo wa awali walisikika na kuwaaminisha mashabiki wao ya kuwa kuna timu itapigwa 4 bila, yaani kana kwamba walijua Al Hilal ni sawa na Zalan FC, lakini matokeo yake ilikuwa chupu chupu...
3 Reactions
15 Replies
810 Views
Habari wakuuu. Uzi wangu utakuwa mfupi sana lakini wenye fikra na mawazo mapya kwa watu. Msimu wa 2021-2022 Yanga imechukua; Ubingwa wa Ngao ya Jamii Kombe la Azam Sport Ligi Kuu ya NBC...
7 Reactions
38 Replies
2K Views
Habari za jioni wadau wa soka la Bongo. Nimetoka kuangalia hapa Live Score hadi nimeshtuka baada ya kuona Vipers ametoboa kwenda makundi mbele ya Tp-Mazembe ambayo ilikua mwenyeji. Hili swala...
7 Reactions
41 Replies
3K Views
Huu ni mda wetu kuonyesha Afrika uwezo wetu na nguvu zetu. Daima tumekuwa chini kwa kipindi kirefu lakini muda huu ni wakati wetu. Mshindi siku zote huwa hana thamani mbele ya wapinzani wake, kila...
3 Reactions
13 Replies
797 Views
Kwanini wasifanye kama UEFA kufuta goli la ugenini? Hii inakuwa siyo sawa kabisa👇👇 Esperance na Al Merreikh wamefuzu kwa goli la ugenini lisilo na maana yoyote.
3 Reactions
25 Replies
4K Views
Unajua Berknane ni nani? Leo kapindua meza, alikiwa aende. Bado Yanga!
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Niseme kweli SITOTAMANI kuangalia tena Mpira wa Simba na Yanga hiyo October. Kwa Mapinduzi na Mageuzi anayoyafanya Yanga ambayo yapo kimkakati kimataifa zaidi, hali itakuwa ni mbaya kwa SSC na...
22 Reactions
60 Replies
4K Views
Kuna wakati sisi mashabiki wa Yanga tunatabiri sijui hawa watakufa 1 au mbili huko kwao, ila ukiangalia vizuri hawa Al Hilal japo siyo bora zaidi yetu, wao wana viongozi wazoefu kwenye mashindano...
2 Reactions
29 Replies
1K Views
Thamani ya ligi yetu itaongezeka sana. Watanzania wataanza kuangaliwa ili wasajiliwe timu nyingine za Afrika. Na pengine makocha wetu wanaweza kutazamwa. Yanga siwapendi na mpira wao uko sana...
1 Reactions
14 Replies
712 Views
Mazembe "nje" kwa matuta 2 dhidi ya 4 za Vipers.
7 Reactions
55 Replies
3K Views
Kesho kocha Florent Ibenge ataiongoza Al Hilal [emoji1232] kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Asante Kotoko [emoji1110]. Ni maandalizi Kuelekea mchezo wao wa klabu bingwa Afrika dhidi ya ST...
7 Reactions
85 Replies
6K Views
Mwanzo mzuri mwaka huu Prince dube 69,89 Ingizo jipya
2 Reactions
51 Replies
5K Views
Natamani hiyo siku ifike haraka tucheze tumalize, hata kama tutatoka tutoke tu, nimechoka na hii mijadala! Yaani hii wiki moja ya kusubiri marudiano imegeuka na kuwa kama mwaka, dah! Tucheze tu...
4 Reactions
25 Replies
1K Views
Yamebakia kama masaa 24 kabla ya mtanange muhimu kwa Yanga na Al Hilal hapo kesho. Niwatahadharishe kitu kuwa, kesho inaweza ikatokea bahati mbaya Yanga wakafungwa goli la mapema sana. Sasa...
1 Reactions
5 Replies
594 Views
Mnamo tarehe(leo) 15 Oktoba 2022, Greenwood alikamatwa kwa madai ya kukiuka masharti yake ya dhamana. Siku hiyo hiyo, alishtakiwa kwa kujaribu kubaka, kujihusisha na tabia ya kudhibiti na...
0 Reactions
0 Replies
603 Views
Baada ya kufanya uchambuzi wangu yakinifu na kiuhalisi hesabu zangu hazidanganyi. Nimepata matokeo ya Mechi ya Al Hilal dhidi Yanga itakayopigwa tarehe 16 Oktoba 2022 nimejiridhisha kuwa matokeo...
6 Reactions
28 Replies
3K Views
Back
Top Bottom