Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Klabu ya Al Hilal Omdurman ya nchini Sudan [emoji1232] imecheza mchezo wa Ligi Kuu Sudanese Premier League (SPL) kwenye uwanja wake wa nyumbani Al Hilal Stadium, dhidi ya Wad Nubawi SC, na...
18 Reactions
38 Replies
3K Views
Wakati wa usajiri siasa uongo na kiki kwa viongozi wa timu za mpira hutamalaki. 1. Wakati wa uchaguzi wa kumchagua Rais wa timu hiyo kuna mchezaji alitumika kama kiki ili Rais achaguliwe kwa...
3 Reactions
24 Replies
1K Views
Kwa mziki huu unaachaje kuipenda Yanga SC kwa mfano.....? 1. Djigui Diara 2. Djuma Shaaban 3. Lomalisa Mutambala 4. Dickson Job 5. Yannick Bangala 6. Khalid Aucho 7. Abubakary Salum 8. Feisal...
6 Reactions
16 Replies
1K Views
Habari wakuu, Katika hali inayoonekana si ya kawaida, shabiki mmoja wa Simba ameambulia kichapo kutoka kwa mashabiki wawili wa Yanga jana mnamo saa 2 usiku, pale Keko(Temeke, Dar Es Salaam)...
15 Reactions
39 Replies
3K Views
Wakati Al Hilal ikichakaza 4-0 kwenye ligi ya Sudane, Yanga wao watacheza na Green Worriors kujiandaa na mechi ya Champions dhidi ya timu ngumu ya Al Hilal. Green worriors ni ya 3 kutoka mwisho...
14 Reactions
32 Replies
2K Views
Legend wa Real Madrid na Timu ya Taifa ya Spain, golikipa Iker Casillas kupitia ukurasa wake rasmi wa Twitter ametangaza kuwa yeye ni shoga. Source; Fabrizio Romano page fb
0 Reactions
73 Replies
8K Views
HONGERENI SANA SIMBA QUEENS kafanyeni kweli huko Moroko, pandisheni points hizo mtaingia top 5 kwa hakika.
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Najua wengi mnajiuliza why always we talk about Mayele, kwani yeye peke yake ndiyo mchezaji pale Yanga? Siyo kwamba yeye peke yake ndo mchezaji pale Yanga, bali uwepo wake pale yake ni ishara ya...
0 Reactions
3 Replies
338 Views
Namtazama hapa luningani, huyu jamaa alipaswa awe anacheza walau ligi kuu ya Afrika Kusini (PSL). Ana uwezo mkubwa sana hasa anapocheza kama Kiungo Mshambuliaji (Inside 10). Hapa kwenye ligi ya...
26 Reactions
288 Replies
50K Views
Habari ndiyo hiyo! Wazee wa nusu pointi huko CAF kesho kutwa kinanuka! Poleni maana Jumapili ya tarehe 23/10/2022 hakuna jinsi, inabidi tutoneshe tu hicho kidonda toka Sudan!!
3 Reactions
10 Replies
759 Views
Haiingii Akilini Kocha Mkuu umemtafuta Mwenyewe na Dela lako Mchongoko na Miguu yako ya Fito na Mwili wa Fidodido tena Ukatuhakikishia ni bonge la Kocha halafu leo ghafla tu mnaachana nae...
34 Reactions
95 Replies
7K Views
1. Simba Day Tuwaze mambo mapya.
1 Reactions
3 Replies
575 Views
Wachambuzi hawa wanajaribu kuibeba ionekane timu kuubwa Afrika lakini matokeo uwanjani yanawasaliti. Walisema maneno yote mabaya juu Al Hilal na wakafikia kumpa hat trick mtetemaji lakini...
17 Reactions
17 Replies
2K Views
Hii ni mechi ya kimataifa ila kiuhalisia utadhani hii mechi haipo kwani mvuto ni zero kabisa. Yaani ni afadhali wanapocheza na IHEFU. Hata hivyo, tuendelee kujadili mechi ya wanaume ya Jumapili...
7 Reactions
54 Replies
3K Views
Kila nikijaribu kukata tamaa naona sura ya Fiston Mayele ikitabasamu ndani ya stage ya Al-Hilal, sijui ina maana gani?
5 Reactions
42 Replies
2K Views
Kama kuna watu wanakosa raha kwasababu ya timu hii Mimi wa kwanza, hii timu kila wanapofanya vibaya hakika mimi nakosa raha sana na tena mazingira yangu, familia yangu yaani wazazi na ndugu zangu...
1 Reactions
15 Replies
654 Views
Kwenu Young Africans (Yanga), HAIJAISHA! Ndiyo kwanza kipindi cha kwanza, huwa mnashinda kipindi cha pili, kila la kheri kwenye kipindi cha pili huko Sudan mkapindue meza. [emoji1614] Wanaandika...
1 Reactions
2 Replies
379 Views
Hawa De Agosto wana shida kubwa sana kwenye kikosi chao na mstari wao wa ulinzi, wamewapa Simba mwanya wa kutamba kwakuwa hawana maarifa yoyote wanapofika kwenye 18 ya mpinzani. Wanagongeana pasi...
4 Reactions
68 Replies
4K Views
Ilikuwa ni michuano ya kwanza kabisa kufanyika Afrika. Lakini ni michuano iliyoacha historia kubwa sana kwa wapenzi wapenda kandanda ulimwenguni kote. Mpira ulipigwa kwelikweli, nakumbuka ule...
9 Reactions
46 Replies
3K Views
Anzeni sasa kujiandaa kulaumiana kwani leo kwa kujiamini kabisa GENTAMYCINE naandika hapa kuwa unafungwa Jumapili ya tarehe 16 Oktoba, 2022 huko nchini Sudan, lakini unaenda kufungwa vibaya...
2 Reactions
8 Replies
758 Views
Back
Top Bottom