"Taarifa za ndani zinaeleza Yanga wataondoka Jumamosi alfajiri na watafika Sudan asubuhi kisha jioni watafanya mazoezi kwa ajili ya mchezo wa Jumapili. Mbinu hiyo waliitumia Simba walipokwenda...
Uchambuzi wangu baada ya hii mechi;
Tukienda kimahesabu kabisa hawa makolo wamepiga bomu mochwari wanajisifu wameua.[emoji23][emoji23]
Baada ya kuotea kupangwa na timu ndogo kabisa na kufunga...
Hawa Al Hilal watalazimisha droo sana, ndiyo watalazimisha kwa hiyo basi kuna uwezekano wa wao kucheza mpira wa kuzuia zaidi kuliko kushambulia. Na wakicheza mpira wa kuzuia kuna uwezekano wa wao...
Baada ya vuta nikuvute hatimaye Al Hilal wamekubali Azam TV warushe matangazo ya moja kwa moja ya mechi ya mkondo wa pili huko Sudan dhidi ya Yanga SC. Kongole kwa Azam Media
MANDONGA
Kwa sasa Nchini Tanzania ukitaja jina la MANDONGA watu wengi wataanza kucheka, hiyo ni kutokana na sifa za bondia huyo ambaye amejizolea umaarufu hivi karibuni hasa mwaka huu 2022...
Katika soka, lolote linaweza kutokea na haitokuwa mara ya kwanza kwa timu isiyopewa nafasi au iliyoko ugenini kufanya maajabu na kuacha gumzo pamoja na kuandika historia.
Kwa msingi huo, Yanga...
Nimeona niwape kidogo mbinu Yanga ili kuisaidia timu kuvuka hiyo hatua muhimu.
Kwanza nawasalimu. Mimi ni mpenzi wa mpira wa Ulaya hasa Ligi ya Uingereza katika kipindi cha miaka ya 2000 hadi...
Kama mechi yenu tena ya hapa hapa nyumbani Dar es Salaam nchini Tanzania Uwanja wa Mkapa ilionyeshwa mubashara (live) na mkademadema na kupata alama (point) moja mnadhani kwa kuonyeshwa kwao ndiyo...
Rais wa Al Hilal amechafua hali ya hewa, hivi ndivyo unavyoweza kusema baada ya leo kutangaza ofa ya kuwagharamia mashabiki wa Simba walioishangili timu yao Jumamosi kwa Mkapa kuwalipia nauli na...
Naam, ni mwendo wa ma uongo na ma propaganda kwa kwenda mbele toka utopoloni, lakini kwa kudra za Mungu tumejipanga kuwaumbua wasambaza propaganda za uongo, may God help us!
Ona huyu afisa wa UTO...
Uongozi wa Klabu ya Al Hilal umezuia mchezo wao wa Klabu Bingwa dhidi ya Yanga kuonyesha kwenye Tv wala kutangazwa kwenye Redio.
Taarifa zinasema kuwa Azam Media wametoa dau la milioni 200 ili...
Habari wakuu.
Naomba niwaeleze ukweli, japo ukweli ni mchungu.
Bado NALIA na kamati ya usajili ya Simba. Simba bado ni underdog kwa YANGA.
Tunawachezaji Baadhi wa KIMATAIFA nadhani uongozi...
Huu ndio ukweli japo mashabiki wa Simba hawawezi kukiri. Yaani Simba wana hofu mara mbili kama siyo mara tatu ya hofu walionayo Alhilal na mashabiki wake.
Mashabiki wa Alhilal wana hofu ya...
Watanzania tuna uwezo ila changamoto kubwa inayotukabili ni kukosa kujiamini, utulivu wa akili, na kutambua thamani yetu.
Kila kitu kizuri ni lazima kitoke nje. Wakati nipo kwenye shirika moja la...
Kiukweli naona hisia za team yake ya Yanga kuwa mguu ndani nje zimemchanganya sana, haswa ukichukulia Simba ilifanya vizuri ugenini.
Kauli alizozitoa jana ukitafakari unaona ni hasira tu, sasa ma...
Hii sasa ndiyo inaweza kuwapeleka makundi vinginevyo Jumapili hadi kufikia saa nne kamili usiku itakuwa ni kilio kikubwa kwa wana Jangwani. Watu watapigwa kama ngoma na Waarabu weusi.
Wololooooooooo haiya haiya haiya, watetezi wa Kanjanja Senior mnaruhusiwa kuja kuporomosha matusi na kudai nina chuki binafsi.
Kweli ulitarajia mtu ambaye huwa unachukia safari zake na lipstick...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.