Bondia Karim Mandonga akiwa mwenye ubora wake amemtandika mtu huko mkoani Njombe katika raundi ya kwanza. Mandonga ambaye kwake kupigana ni kama mchezo wa ligi kuu ya soka nchini, akipigana kila...
Huu ni upuuzi mkubwa sana tunauendekeza, unakuta mtu akiwika ama akifanya vizuri basi anapewa jina la mtu mwingine mpaka linafifisha jina lake.
Utasikia Kelvin John Mbape, mara Juma Mgunda Pep...
Juma Mgunda, sasa hivi ni kocha wa klabu ya Simba. Tokea ajiunge na klabu hii pana watu wanajitahidi kumpamba kuwa ni kocha mzawa mzuri mno, wakitaka kututoa katika kumbukumbu kuwa katokea timu ya...
Na kuna mgomo wa chini kwa chini juu ya kuchelewesha mishahara ya wachezaji wazawa ila wa kigeni wote mnawatimizia kwa wakati.
Nibishieni hili ili nije na siri nyingine.
Mwaka huu mwezi wa 8 tariki 2 nilipost uzi huku JF nikasema Yanga kimataifa atafanya vizuri zaidi ya Simba yaani atafika mbali sana zaidi ya Simba.
Na ushindi wa Yanga utakuwa unapatikana zaidi...
Na ukitaka 'Kitoweo' chako chochote kichinjwe vyema jitahidi sana umtafute Muislamu halafu awe ni Mwarabu wa 'Kisudani' utafurahia show yake ya uchinjaji ambayo mara nyingi huianzia Saa 3 kamili...
Wakuu nini kilichopelekea mchambuzi mahiri wa soka, Oscar Oscar kutimuliwa kwenye kipindi cha michezo cha E FM na kupelekwa vipindi vya wanawake vinavyozungumzia umbea?
Maana sasa hivi anatangaza...
Wakati hivi sasa wako makini kuishambulia Yanga, moja ya lengo lao likuwa ni kuwakatisha tamaa mashabiki na wachezaji wa Yanga hususani wachezaji na viongozi ili wawe na molari ndogo kisha...
Ni ujinga kufanya hiyo ndagu kwa mechi 30 za TFF ambapo mwisho wa msimu unapata millions 500 wakati leo ukiifanya hapo Khartoum unaingia makundi na kujipatia billion 1.2.
Ule mtindo wa kutembelea...
Hii timu yetu imepitia kipindi cha hovyo sana miaka ya hivi karibuni. Kila nikikumbuka naona kama kuna laana fulani iliachwa kwetu. Nawaza tunaenda Sudan, ni akina nani watatupokea kule kama...
Kusema kweli kwa namna Yanga inavyobezwa na kuonekana kuwa tayari imeshaondolewa kutokana na rekodi za Wasudan hao wanapokuwa kwao, wakati ina wachezaji wenye uwezo wa kubadilisha matokeo muda...
Naomba mnisaidie kipengele cha kutakata katika bao la kete. Shida yangu ni kujua kipengele cha kutakata katika hatua ya kwanza ya mchezo wa bao. Je ikiwa unatakata ukatua kwenye jumba ni lazima...
Aisee hii ni hatari ya ajabu sana. Duh, mechi Jumapili wewe unaondoka Alfajiri saa kumi Jumamosi kwa ndege ya Ethiopian Airlines na kufika Sudani saa saba mchana. Heeeee!
Ikitokea la kutokea...
Wanaosema timu yetu haiwezi kufuzu, tukifuzu watakuwa upande wetu na wataelezea kitaalam kwa nini tumefuzu.
.
Kwa hiyo tunaheshimu mawazo yao na tunaomba waendelee kuizungumza timu yetu ili tupate...
Kama mpira ni uchawi basi tuseme Yanga bye bye, lakini Kama siyo uchawi ni uwezo wa timu na mbinu za makocha basi hii mechi ya Yanga dhidi ya Al Hilal bado ngumu sana tena sana.
Kama uliangalia...
Binafsi huwa nashangazwa sana na mtifuano wa huyu mwamba na Semaji la Nchi, Haji Sunday Manara.
Ni watu wawili ambao kimsingi naona kama wanavuka mstari linapokuja suala la Simba na Yanga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.