Soka la Italy lilitawala sana barani Ulaya, lakini kuanzia kuporomoka kwa timu ya Ac Milan baada ya msimu wa 2007 kutokana na sababu mbali mbali ikiwepo za uchumi, kisiasa na mipango mibovu ya...
August 10, 2019 Simba alitoka sare ya bila bila ugenini na UD Songo ya Msumbiji na Yanga walitoka sare ya 1-1 na Township Rollers ya Botswana. Kama kawaida yao wachambuzi maandazi waliishambulia...
Kwasasa mpira umebadilika sana tofauti na enzi za kina Ferguson, Arsene Wenger n.k miaka ya 2000s.
Moja ya watu walioleta mapinduzi ya soka ni Pep Guardiolaz, huyu ana wanafunzi wake wengi sana...
Nilishaanza taratibu kukudharau ila kwa ulichokiongea leo katika hafla ya kuwopongeza Tembo Warriors ndiyo nimeamua kukudharau zaidi na rasmi.
Waziri wa Michezo Mchengerwa ni nani kakudanganya...
MABINGWA mara 20 wa Ligi Kuu nchini Misri, Zamalek wameilipa Dola za Kimarekani 50,000 (sh. milioni 116) kwa klabu ya Burundi ya Flambeau du Centre kwa kukubali kucheza mechi zote mbili za hatua...
Habari Wakuu.
kweli huwa unaweka huru, japo inaumiza sana. Ndugu zangu Yanga, mtatamba sana kwenye ligi yetu, mtatamba mno. Bila Simba kuongeza "Quality 4" mtaisumbua sana.
Linapokuja suala la...
Unajua naangalia tu mashabiki wa Simba na baadhi ya mashabiki wa Yanga wanavyo piga ntantarira zao kuwa tayari sisi tumekwenda na maji.
Lakini nataka tu niwaambie Yanga ana nafasi kubwa kufanya...
Yanga wametoa uzi maalum katika kuadhimisha Nyerere Day.
Sasa wameweka beji ya mwalimu Nyerere katikati ya jezi yao (kifuani).
Yanga wameingia klabu za Ulaya ambao beji hiyo huwekwa mahala hapo...
Walima zabibu waingia mkataba na kocha Melis Medo, baada ya kuachana na Mausod Djuma, lakini katika pitapita zangu huko, mashabiki wengi hawakubaliani na usajili wake na kulaumu uongozi kwanini...
Hivi hapo Wizarani Kwako hakuna Watendaji waliokuzidi Akili ambazo huna ili wawe Wanakusaidia Kiushauri na usiwe Unakurupuka Kimaongezi?
Waziri Mchengerwa nani alikudanganya kuwa Vilabu vya Simba...
Leo ni mara ya pili GENTAMYCINE nakuona kila ukipewa nafasi ya kuhutubia katika hafla za kimichezo huwa unapenda mno kufoka na kutufokea wanamichezo wa Tanzania.
Hiyo wizara wamepita watu...
1. Tunaenda kupindua meza kwao.
2. Mungu ni wa wote.
3. Wao wamewezaje na sisi tushindwe?
4. Mpira unadunda kokote pale.
5. Iwe jua iwe mvua.
6. Kikubwa ni kumuomba tu Mwenyezi Mungu.
7...
Yanga SC ni timu kubwa sana wakati timu nyingine hubabaika sana na kutanguliza mashushushu wiki 2 kabla wao wanapeleka baada ya mechi ya kwanza, huo ndiyo ukubwa wa timu inayojiamini. Yaani...
Halafu wenye akili kubwa kukuzidi akina GENTAMYCINE tukikusema kuwa wewe ni mzigo na hasara katika hiyo wizara utaona tunakuchukia au kukuonea wivu.
Leo ulipokuwa katika hafla ya kuwopongeza...
Hivi ni kweli ni engineer?
Alisoma nchi gani?Au alisomea Somalia?
Huko GSM alifanya kazi gani?
Nimepatwa na mashaka iwapo huyu jamaa kama hata form 4 alifaulu.
Huu uinjinia isije kuwa alipewa na...
Kila mtu katabiri anavyoweza, nilichoamua kufanya mimi ni kutumia hesabu za darasa la saba tuu kutafuta matokeo ya jumla. Kupitia humu humu Jamii Forums watu 12 walijaribu kutoa nyuzi au maoni...
Na kama ni takwa la kiufundi mwambieni huyo aliyeamua hivi kuwa hii ni hatari na itatugharimu kimatokeo.
Ningewaelewa Simba S.C. (hasa kiufundi) kama wangeenda Angola siku tatu kabla ila hii ya...
Ni kama vile Suleiman Matola hapendi kusoma hizi kozi bila kujua anajinyima fursa za maana, ndugu yangu Matola, TFF washatangaza hii nafasi nenda kasome sasa we mzee.
Uongozi wa Simba pangeni...
NAMNA YANGA INAONGELEWA HUKO SUDAN🔥🔥🔥
Wafahamu kiufupi YOUNG AFRICANS @yangasc wapinzani wa AI Hilal Round ya kwanza CAFCL
Hawa ndio wafalme wa soka la Tanzania, ndiyo Klabu iliyobeba mataji...
Amani iwe nanyi:
Nimepokea taarifa za kushtusha kutoka katika chanzo changu cha kuaminika nchini Misri ikieleza kuwa Rais wa klabu ya Al Ahly, Mahmoud Ibrahim Ibrahim El Khatib ni mfuatiliaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.