Ohoo walifungwa na Namungo hawa? Kwaiyo nini? unawachukulia Namungo poapoa? kwa mujibu wa shirikisho la soka barani africa,
Simba ni ya 14 ikiwa na pointi 28,
De Agosto ni ya 28 ikiwa na pointi...
Nimeona kwenye mitandao ya kijamii, tetesi zinasema Refa wa mchezo wa marudiano baina ya Al Hilal na Yanga ameahidiwa kisima cha mafuta endapo atachezesha kwa haki mchezo huo.
Sent from my...
Matarajio yote ya Wanajangwani angalau ya kupata usingizi mnono uliokataa jana yamewekwa rehani tena baada ya wanajeshi wa Angola kubanguliwa kama korosho na mnyama kwa goli 3 kwa 1 kule Luanda...
Pamoja na kuwa Ukristo sasa hivi unachukuliwa kama kituko kutokana na aina ya viongozi wanaojingiza kwenye Ukristo, lakini ukiangalia vizuri zaidi ndiyo dini yenye nguvu zaidi za kiroho kuliko...
Ushahidi huu hapa.
Sina lengo la kupuuza ushindi wa Simba ila nimeweka tu angalizo, tusije tukafikiri kuingia makundi ndiyo tumemaliza, kumbe njia tuliyopita ni mdebwedo tu.
"Tulikuwa na nafasi nyingi za kufunga, kutoka sare ni majuto makubwa kwangu," Kocha Ibenge.
Nilichochukua: Yanga imetutia aibu, "Iwe jua iwe mvua" halafu mnaokolewa na kipa?
"Katika uwanja wao...
Amani iwe nanyi
Moja kwa moja nauendea uongozi wa EFM radio juu ya mtangazaji wao wa kipindi cha Esports anayefahamika kwa jina la Twalib Omar aka Muwa, kwa muda mrefu nimekuwa nikisikiliza...
Wakuu hii imekaaje, kwenye vyombo vya habari vya nje hasa televisheni, wachambuzi wa soka ni wachezaji waliocheza kwa mafanikio kipindi cha nyuma.
Hapa kwetu ukiacha Mayai na Kiemba ambaye mimi...
Hili naomba niliweke sawa,
Mashabiki wa Yanga najua tayari mmeshakata tamaa lakini nataka kusema na ninyi hivi;
Young Africans msimu huu ni lazima afike mbali kwenye michuano ya kimataifa, na Al...
Hivi karibuni kumekuwepo na taarifa ya kufungiwa kwa waamuzi wawili Amina Kyando na Ahmed Arajiga kwa kipindi cha miezi sita ingawa taarifa zao hazijatangazwa kama ilivyo kawaida.
Habari za ndani...
Yanga ni klabu kongwe lakini haina chochote mbele ya uso wa soka la kimataifa. Ni kama pilipili hoho tu kubwa lakini haliwashi. Katika miaka ya hivi karibuni imekuwa ikichezea vichapo hata kwenye...
FULL TIME
90' Zinaongezwa dakika 3 za nyongeza
78' Agosto wanapata goli la kwanza
GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
76' Agosto wanapata penati baada ya beki wa Simba kuushika mpira
Phiri anafunga goli...
Habari zenu ndugu, wadau na wanabodi.
Jana (08/10/22) kulipigwa mbungi la klabu bingwa Afrika kati Yanga vs Al Hilal, na matokeo yalikuwa sare ya 1-1.
Binafsi mimi ni mfuatiliaji wa mpira tangu...
Habari mbaya sana maskini ya Mungu, kijana mdogo kabisa! Pimeni wachezaji jamani, wengine walisajili mchezaji mgonjwa wa Ini kwa mbwembwe kisa katoka UK na wanataka kumuacha Januari, dah!
=======...
Je, mnajua kama Vipers wa siku ya mwananchi ametoa sare na TP Mazembe leo?
Na mnajua kama Rivers wamemfunga bingwa wa Afrika WAC na ni mtu mwenye akili mbovu tu ndiyo atalinganisha Al Hilal na...
Ndio, ni zee 10% (hapana hili ni 90% kabisa), bado lina wapambe wake wakiwemo makanjanja na hata majuzi lilihojiwa na redio moja ya FM likamkandia sana CEO Barbara Gonzalez.
Lengo lao kubwa ni...
Salam wanajamii hasa jukwaa hili la michezo, niende kwenye mada moja kwa moja.
Timu zetu pendwa watoto wa kariakoo wako kimataifa wameshacheza mechi tatu kila mmoja na matokeo tunayo yote. Tukiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.