Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Salute wakuu. Napenda kuwapongeza wanalunyasi kwa ushindi mnono walioupata dhidi ya Waangola, hakika kweli SIMBA nyie ni wakimataifa. Napenda kuchukua nafasi hii kuwakilisha pongezi zangu zote...
12 Reactions
48 Replies
3K Views
Huenda nikashambuliwa na mashabiki wa yanga lakini ukweli usemwe, Yanga kimataifa bado sana! Anahtaji miaka kama miwil tena ya mikiki mikiki kama hii. Yanga ni timu waoga sana, tena mno inapokuja...
20 Reactions
29 Replies
2K Views
1. Mchezo ulikuwa mzuri sana na Yanga walitaka kumaliza mchezo mapema lakini game approach iliwashinda. 2.Yanga wamekamilika kwenye idara ya goalkeeping otherwise Al Hilal wangefuzu hapa hapa kwa...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Kucheza na jukwaa kunaondoa umakini uwanjani, kunaongeza wasiwasi kama ukipoteza nafasi, ukipigwa chenga, timu ikichelewa kupata bao na ukifanyiwa substitution. Kutetema kunamfanya mayele ahitaji...
7 Reactions
22 Replies
2K Views
1. DIARRA 2 DJUMA 4 JOB 5 BANGALA . 2 JOYCE 6 AUCHO 8 BIGIRIMANA 11 AZIZ Ki 7 benard 9...
9 Reactions
18 Replies
2K Views
Mechi tano kama sio nne mfululizo anashindwa kupata goli 1st halafu, inawezekana hana tena mbinu mpya au suala la kumuachia jukumu la kufunga braza mayele ndio shida.. Mchezaji mmoja ndio awe...
12 Reactions
97 Replies
4K Views
Muda wa KUJIAJILI SIJUI ITAKUWAJE BAADA YA KOMBE LA DUNIA... (AU NDIO MKATABA WA MILELE WATU KUFANYIA KAZI NYUMBANI) Serikali ya Qatar imesema wafanyakazi wa serikali wa nchi hiyo watalazimika...
1 Reactions
0 Replies
519 Views
Amani iwe nanyi Katika siku za hivi karibuni mara baada ya Simba kumteua Master Guardiola Mgunda, nimeweza kugundua masuala kadhaa! Ungana nami uweze kuyajua mambo hayo. 1. Mzamiru amezaliwa...
25 Reactions
18 Replies
2K Views
Baada ya kimya cha muda mrefu kilichomfanya bondia wa Tanzania ambaye kwa sasa anaishi Marekani, Hassan Mwakinyo kupoteza baadhi ya mikanda, bondia huyo atarejea ulingoni Septemba 3, 2022. Hassan...
5 Reactions
28 Replies
3K Views
Habari za wikiendi mashabiki wa soka wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla na hongera kwa wana Lunyasi kwa kuwakilisha taifa na kutuheshimisha kama nchi. Ila ndugu zetu hawakujiandaa na haya...
14 Reactions
46 Replies
2K Views
Nina jamaa yangu Angola yupo na Simba. Yeye ni mwandishi na mchagoat wa habari za Michezo. Anasema kwa aliyoyaona. Simba wanapitwa si chini ya Bao 3 Angola. Hili kanihakikishia hasa baada ya...
5 Reactions
88 Replies
6K Views
Nimeona watu wanaleta ushahidi wa mechi dhidi ya Namungo ambayo wachezaji 8 bora wa Premeiro D'Agosto walizuiwa kucheza kwa "Mizengwe" ya UVIKO 19. Hata baada ya kufungwa 6-2 pale Chamazi ambako...
1 Reactions
4 Replies
902 Views
Jana Al hilal wamepigwa 3 : 0 na timu ya watoto wa academy ya Tp Mazembe. Ikumbukwe tu hawa Al Hilal ndiyo waliwapiga makolo kimoja cha nguruwe.
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Popote ulipo nakupa pole Rais wetu kwa mapambano unayopitia katika kutetea chapa ya Yanga. Kufeli kwetu katika mambo mbalimbali yaihusishayo klabu yetu tatizo kubwa ni hawa machawa wako...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Nafikiri wakifanikiwa hapo basi watakuwa wamelamba dume na watatamba nchi nzima mpaka kule kwa General. Muhonzi sijui Muhumzi. Halafu watakuwa pia wamemnyamazisha hata na Jemedari.
0 Reactions
4 Replies
682 Views
Unajua kinacho felisha yanga kimataifa ni kudanganyika na uwezo wao wa league ya ndani. Mda mwingi wanatumia kuaminisha mashabiki wao kuwa wao wanaweza Kuliko kukaa chini kutafakari jinsi gani ya...
5 Reactions
12 Replies
926 Views
Hii timu ni ya majungu, umbea na propaganda nyingi. Huwezi kushinda mechi za kimataifa kisa wachambuzi wamekusifu. Huwezi shinda kwa sababu haya ni mashindano ya kweli, achana na hapa ndani...
5 Reactions
16 Replies
710 Views
Mimi ni shabiki wa Mayele sana na kuna nyuzi zangu nyingi namsifu na kumtetea sana, lakini ukweli ni kwamba mechi ya jana Mayele ndiyo alikosesha wenzake magoli mengi ya wazi. Anapenda sifa sana...
0 Reactions
6 Replies
711 Views
Wadau huduma ya Mgunda tumeiona na inamatokeo ambayo ni chanya. Mimi napendekeza kama ana vigezo awe Kocha Mkuu wa Simba Sport Club. Wataalam mnasemaje?
4 Reactions
11 Replies
963 Views
Nikiwa katika mihangaiko yangu tu ya hapa mjini, nikapita katika vijiwe viwili tofauti vya mashabiki wa Yanga SC, niligundua kumbe ni kweli jana mashabiki wengi waliamini Msudan angekufa kwa...
1 Reactions
16 Replies
817 Views
Back
Top Bottom