Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Habarini Wanajangwani wenzangu. Tunajenga kikosi cha aina gani!? Kwanini kimataifa kila siku iwe kilio kwetu!? Hapana. Tunahitaji mabadiliko ndani ya klabu yetu, kuanzia uongozi, wachezaji mpaka...
24 Reactions
174 Replies
7K Views
Full time Anakosaaaaaa, kipa wa Azam FC anapangua penati. 90' Al Akhdar wanapata penati. 87' Shambulizi la Al Akhdar mpira unagonga nguzo. 63' Wenyeji wanamiliki mpira na kufanya mashambulizi...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Namba 1 - Mshery Walinzi Job Bangala Baka Katikati Fei toto Aucho Zawadi mauya Djuma Shaban Lomalisa Mbele Mayele Makambo Kwanini nimeweka katikati wachezaji wa 5? Kwasababu kule kwao...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Kama unaangalia mpira vizuri hawa wawili uchezaji wao hauna tofauti sana, ila Haaland anamzidi Mayele finishing tu. Mayele tayari anajua kujiweka kama Haaland, ila ana matatizo ya umaliziaji tu...
3 Reactions
36 Replies
1K Views
Mimi kwa upande wangu naweza nikachambua kama ifutavyo: - Kipindi cha kwanza Al-Hilal waiingia na mpango wa mchezo wa kuilazimisha Yanga icheze mpira wa taratibu, na Yanga waliwezwa sana! Maana...
8 Reactions
66 Replies
5K Views
Dakika ya 44 Yanga hawajapata bao, nimejikuta natamani sana Yanga ifungwe. Moyo unaniuma kabisa, nahisi hii itakuwa roho ya kichawi kabisa!
5 Reactions
7 Replies
623 Views
Naona jamaa wameamua kuwa waungwana na kuwakaribisha mapeeeema huko kwao wanakokuita KUZIMU,sjui kwanini wanaita hivyo
4 Reactions
9 Replies
468 Views
Ninawaza kwa sauti kubwa saana hapa, nimeona clip nyingi watu wakipiga kelele kisa ku droo na al hilal 😂😂, Hivi wana feli wapi? Wana yanga wana imani kubwa sana na kikosi chao lakini wanashangaa...
4 Reactions
11 Replies
747 Views
Poleni Wanayanga, hakika huko Sudan kuchomoa ni sawa na ngamia kupita kwenye tundu la sindano. Hii ni michezo ya kimataifa, hatuchezi mpira kama tunacheza na Singida Big Stars. Kuna nidhamu zake...
42 Reactions
82 Replies
4K Views
Amani iwe nanyi: Natoa pole kwa vilabu vya Tanzania vilivyoumaliza mwendo katika mechi za awali za Mashindano ya Afrika ,nazungumzia Yanga,Azam na Kipanga. Mara baada ya mechi za jana nilitulia...
8 Reactions
12 Replies
1K Views
Mwezi wa 6 mwaka huu nilisema ni lazima Yanga atafika mbali kimataifa. Na siogopi kusema hivyo. Nilisema Yanga mechi za nyumbani atakuwa anafanya vibaya ila akifika ugenini ndiyo moto unatawaka...
11 Reactions
31 Replies
1K Views
Kapten wa Simba John Bocco anakaimu majukumu ya Kocha wa Viungo tangu aondoke mwalim wa viungo. Hilo limekuja baada ya John Bocco kuhitu mafunzo ya ukocha wa awali ya viungo. Wachezaji wenzake...
2 Reactions
4 Replies
499 Views
Juma Kaseja ameanza kuchambua mechi za mpira kupitia kituo cha radio cha Clouds FM. Ikumbukwe pia Kaseja aliestaafu mpira msimu uliyopita, ana leseni ya ukocha wa makipa inayotambuliwa na CAF...
0 Reactions
5 Replies
524 Views
Msimu wa 2019/2020 Yanga na Simba zilipata kuwakilisha nchi katika michuano ya Klabu Bingwa. Yanga walianzia nyumbani dhidi ya Township Rollers na huku Simba ilianzia ugenini dhidi ya UD Songo...
0 Reactions
2 Replies
367 Views
Umofia kwenu. Ndugu zangu ni vigumu mno kuwatoa Wasudan kwao, ninasema hivI kutokana uzoefu nilikuwanao. Nilishwahi kuishi miaka miwili pale Sudan, kiufupi jamaa ni makatili ile mbaya. Simba...
3 Reactions
15 Replies
939 Views
Habari za saivi wakubwa. Naomba nimuongelee kipa wa Yanga Diara. Namuona ni kipa wa kawaida tu, hana ubora anaodhani kuwa anao. Hamfikii hata robo ya Manura, naona dogo Msheri ni mzuri kumzidi au...
3 Reactions
11 Replies
675 Views
Nani ameturoga? Kumfungia mwamuzi bila kudhibitisha pasipo kuacha mashaka kuwa mwanafuzi amekosea kwa makusudi na siyo kwa bahati mbaya ni kuonyesha namna tunavyodharaulika duniani. Ni nani ana...
5 Reactions
12 Replies
636 Views
Nianze kwa salamu ndugu zangu wanajukwaa. Baada ya salamu, naomba nijikite moja kwa moja kwenye mada. Timu yangu ya Yanga inabidi tukubali kujifunza kwa Simba jinsi ya kujiandaa na kucheza mechi...
7 Reactions
37 Replies
2K Views
Azam jana wamefurukuta kwa waarabu ila yule kipa bonge la mtu kaingia wavuni mars tano Shukrani kws linesman kukataa mabao mawili Azam kunani pale Aliyegundua icecream za ukwaju apewe timu...
0 Reactions
1 Replies
311 Views
Back
Top Bottom