Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

2022/23 CONFEDERATION OF AFRICA FOOTBALL (CAF) UPDATE. EVENT:-2022/23 CAF CONFEDERATION CUP (CAFCC). SECOND PRELIMINARY ROUND_ FIRST LEG. FULL-TIME RESULTS. 08 OCTOBER, 2022...
0 Reactions
14 Replies
637 Views
Hatimaye mechi ya yanga na Al hilal 1st leg imekamilika hapoJana kwa kutoa sare ya kufangana yaani goli 1 kwa mwenyeji na goli 1 kwa mgeni ( sio matokeo mazuri Sana kwa mwenyeji lakin sio mabaya...
1 Reactions
0 Replies
562 Views
Beki huyo wa kati amepewa ruhusa hiyo na kocha wake wa Manchester United, Erik ten Hag ikiwa ni sehemu ya kuhakikisha anakaa sawa kiakili na kurejesha kiwango chake. Masharti ya Ten Hag kwa...
2 Reactions
4 Replies
877 Views
Si jambo baya wala nini? kila mtu na mapenzi yake bhna..sasa pale azam tv unaweza ukawaona wale jamaa na suti zao ukadhani wanazingatiaga ule weledi wa kubalance hisia kwa kuficha ushabiki ila,sio...
7 Reactions
21 Replies
4K Views
Nimekuwa nikisema kuwa matumizi ya pesa kwenye mpira kufanya ushawishi kwa wachezaji wa timu pinzani, kwa waamuzi na wachambuzi wa mchongo, matokeo yake yataonekana mechi za kimataifa. Katika...
11 Reactions
21 Replies
2K Views
Shirikisho la Riadha Tanzania (AT) linatarajiwa kuziba nafasi za uongozi zilizo wazi Novemba 27 jijini Tanga. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Katibu Mkuu wa AT Wakili...
0 Reactions
0 Replies
367 Views
Leo Yanga wamekubali kuingia kwenye mtego wa Al Hilal kirahisi sana. Mechi ijayo itawezesha Yanga kuwafunga Hilal ikiwa watatumia kikosi kifuatacho; Aishi Manula Mohamed Husein Shomari Kapombe...
12 Reactions
12 Replies
2K Views
Paka Saba (7) wamekufa kwa kitabu tu, halafu kuna mahala nimeona refa wa mchezo naye kashika filimbi na anaipa dole la furaha na kicheko Klabu ya Al Hilal. Ewe Mungu saidia Al Hilal ishinde!
12 Reactions
34 Replies
3K Views
"Tunaenda kupindua meza Sudan halafu tar 23 tunawarudia nyie." Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
5 Reactions
31 Replies
2K Views
Leo Yanga inakwenda kuonesha kwa vitendo maana ya uwekezaji kwenye soka ni nini? Baada ya Al hilal kupigwa kama ngoma mashabiki wa Simba watasikika wakisema hii Al hilal ni Zalan iliyochangamka...
12 Reactions
39 Replies
3K Views
Ni maoni yangu tuu Wadau. Pamoja na usajili mzuri tuliofanya, naona tumesahau kupata beki Bora kabisa wa Kati mbadala wa waliopo. Tutapata taabu saana katika hili. Nawasilisha.
3 Reactions
43 Replies
3K Views
Misimu kadhaa nyuma zinapokutana Simba na Yanga basi bila shaka Yanga anaenda kuwa underdog wa mchezo. Lakini sasa zama zimebadilika ni rasmi sasa Simba kawa underdog kuanzia msimu ulioisha...
3 Reactions
7 Replies
579 Views
Producer wa Wimbo wa Kombe la Dunia (Official theme song) anaitwa RED ONE ni mzaliwa wa Morocco. Wimbo huo unaitwa Hayya Hayya (Better Together) umeimbwa na Trinidad Cardona (America)...
4 Reactions
3 Replies
645 Views
Wachezaji wa Uingireza hawajawahi kuwa wa bei nafuu toka kizazi cha zamani hadi kizazi kipya, kutokea kwenye mishahara wanayolipwa hadi kwenye bei ya kuwauza sokoni. Kwanza Waingireza wenyewe...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Mpira unaendelea
2 Reactions
151 Replies
16K Views
Jamani hivi ni wehu au ushamba wa haya ma dude ya rangirangi unaweza kuyatumia saa kumi jioni yakaleta impact? Yataakisi vipi sasa? Mwishowe sasa mtasema hadi tochi za simu zitawashwa! Meneja wa...
7 Reactions
28 Replies
2K Views
YANGA 1 Township 0-Mungu ibariki Yanga Mungu Ibariki Tanzania
10 Reactions
172 Replies
14K Views
Wengi tunatarajia magoli toka kwa akina Mayele n.k, leo mabeki wa Yanga wanaenda kuokoa timu yao. Yanga itashinda magoli 2, tutarajie penalty kwenye mchezo. Ft 2-0/2-1/3-1 Kila la kheri Yanga.
4 Reactions
6 Replies
671 Views
Mpaka muda huu nawaona walinzi tu peke yao magetini, huku uwanjani kukiwa na watu wawili tu. Hivyo huenda wanasubiriwa hao 348 waliobakia ili mbungi lianze hiyo saa 10 kamili jioni. Kuna timu...
2 Reactions
11 Replies
804 Views
Huu msimu tusipoangalia ipo siku tutakuja kupigwa kipigo kibaya mno, kuna mashimo mengi sana kwenye safu yetu ya ulinzi. Tunakoenda huko ndio kugumu zaidi maana tunakutana na timu bora zaidi...
12 Reactions
39 Replies
2K Views
Back
Top Bottom