Yanga na Al Hilal matokeo yatakuwa hivi;
Yanga vs al-hilal
3-1
Wafungaji
Mayele goli 2
Djuma Shaban
1 penalti
Al Hilal
Mfungaji Lilopo, 1 penalti
Kumbukeni goli la kwanza la Yanga litakuwa...
JINSI maisha yanavyokwenda kasi. Ghafla jina la Suleiman Matola limeondoka katika midomo ya mashabiki wa Simba.
Wiki chache zilizopita walikuwa wanaimba aondoke. Sasa hivi wamekaa kimya. Hii ndio...
Mimi ni shabiki kindaki ndaki wa Simba, na nimekuwa mfuatiliaji wa timu yangu pendwa ya Simba, lakini kuna muda inakosesha amani na kunikatisha tamaa ya kuendelea kuipa imani yangu.
Najihisi...
DEJAN STANKOVIC NA HISTORIA YA PEKEE YAKE WORLD CUP..
Mchezo wa soka ndiyo mchezo mahususi na unaopendwa zaidi miongoni mwa michezo yote ya kiushindani Ulimwenguni . Kila baada ya miaka minne...
Ile pesa ilikuwa inatosha kununua bonge la kiungo wakutumika kwa muda mrefu na kuipa mafanikio timu.
Tumemnunua casemiro umri 31 halafu unampa mkataba wamiaka 6 akiwa miongoni mwa highly paid...
Salah aliweza kuivunja ile rekodi ya goli 31 ya Premier League na kuweka ya kwake ya goli 32 huku akiwa kama winga tena kutoka Afrika, nilitamani hii rekodi ikae kidogo kwa heshima ya Afrika...
Kwa wanaojua mpira vizuri watakubaliana na mimi ila wale wabishi watabisha kwasababu Xavi ni kocha wa Barcelona kwa hiyo wao wanamuona ni kocha bora zaidi ya Nabi.
Tactics za Xavi ni za kizamani...
Mchezaji wa Simba, Dejan Georgejevic kupitia akaunti yake ya Instagram amesema mkataba wake umevunjwa kuitumikia klabu hiyo.
Na kama leo hii ( hasa CEO ) Barbara Gonzalez uliyemleta huyu Mzungu...
Tofauti na mitazamo watu
"Nikwambie ukweli kabisa kutoka moyoni mwangu jezi za Yanga kweli zinatembea, hasa jezi za njano na nyeusi. Jezi za Simba hazitembei kabisa kama jezi za kijani za Yanga...
Tanzania ushabiki wa mpira uko juu sana kuliko nchi nyingine zinazotuzunguuka kutokana na aina yetu ya kutaniana kwa kucharurana bila kupigana kati ya Simba na Yanga.
Timu hizi ziko hivyo tangu...
Timu ya Polisi Tanzania imechukua uelekeo tofauti baada ya kuamua kuachana na kuwategemea waganga na wachawi ili kupata matokeo mazuri na badala yake wameamuamu kumfuata nabii Clear Malisa.
Hiyo...
Nimemtazama huyu kiberenge toka DRC, lazima nimeona jamaa kachuja. Sijui kule RS Berkane jamaa wana shida gani na vipaji vya Kusini mwa Jangwa la Sahara hasa ukanda wetu huu?
Sijui wadau mna...
Jamani hii team yetu ya taifa ya Mpira wa miguu kwa watu wenye ulemavu inafanya vizuri sana huko kombe la dunia nchini Uturuki.
Wadau tusiwachukulie poa hawa vijana waliojitoa pamoja na ulemavu...
Katika michuano ya Kombe la Dunia mwaka 2006 nchini Ujerumani, mechi kati ya Ufaransa na Korea kusini iliisha kwa sare ya 1-1. Mechi hii ilichezwa katika uwanja wa timu ya RB Leipzing (Leipzing...
Mwanaume mwenye umri wa miaka 36 alifariki baada ya kuzimia alipokuwa akikimbia mbio za London Marathon, waandalizi wamethibitisha.
Mwanamume huyo, kutoka kusini-mashariki mwa Uingereza, aliugua...
Kila siku mkiambiwa kwamba Hersi ana maamuzi ya ki pwagu mnakasirika, hivi unadhani wana yanga ni wajingawajinga?
Jenerali Bugatti alikuwa sahihi sana kukataa kumpa mkono huyu kijana mnafiki kule...
Hawa wachambuzi uchwara wa soka wa bongo wanakera sana! Wanaongozwa na unazi/ushabiki badala ya weledi wa soka. Mtu hujawahi kucheza soka kabisa hata ngazi ya daraja la tatu utawezaje kuchambua...
Habari za ndani kabisa nimepenyezewa kutoka kwa mdau wa masumbwi huko Uingereza!
Uchunguzi uliofanywa na bodi ya ngumi kutoka Uingereza umebaini kwamba;
1. Mwakinyo Alidanganya "cheat" ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.