Kwanini?
Mechi ijayo ya CAFCL ni muhimu na ngumu kwa Yanga SC na kwa Asili ya mpira wa 'Kazi Kazi na Gwaride' wa Ruvu Shooting FC huenda wote au mmoja wao akaumia na kuigharimu Yanga SC ikicheza...
Kombe la dunia 2022 nchini Qatar lipo njiani.
Zikiwa zimebaki siku 47 tu kipenga cha kwanza kupulizwa wachezaji wenye timu zao zilizofuzu kushindania kombe hilo kuanza kupimana nguvu. Ni mtanange...
Leo mchana niliona tweet kwenye page ya Al Hilal kwamba maofisa wake WATATU wanakuja Dar es Salaam kuweka mazingira sawa, nilisahau ku i capture na usiku huu siioni, nafikiri ipo deleted...
Baada ya watu 174 kufariki na 180 kujeruhiwa Nchini Indonesia, juzi Oktoba 2, 2022 matukio mengine ndani ya miaka 40 iliyopita ni:
Cameroon watu 8, (2022), Misri watu 73 (Februari 2012), Ivory...
kama kweli Nelson Okwa anaondoka dirisha dogo (sitajali kwa kweli, Dilunga anakiwasha zaidi yake), hakikisheni nyie viongozi pia mnatoa huyo Akpan kwa mkopo, arudi huko Coastal Union.
Hizo nafasi...
Wadau nawakaribisha ili tupeane kinachoendelea kwenye mech tajwa hapo juu.
Mchezo umemalizika: Kocha wa Ruvu Charles Mkwasa anasema timu yake haikustahili kupotez mchezo huu kwa kuwa walicheza...
Wakuu Habari zenu?
Kwenye EPL swala la kutumia VAR kumekuwa na malalamiko mengi kuwa VAR inaonekana wengine inawapendelea na wengine inawahumiza, na kuna wengine wanapendelewa zaidi kutoka na...
Gwiji la uchambuzi wa soka nchini Jemedari Mwana wa Kazumari amesema kutokana na ubobevu wake wa michezo anaamini kwa asilimia 100 kuwa mchezaji Kisinda hatocheza hata mechi moja msimu huu...
Leo nasikia harufu ya hat-trick kwenye mechi ya Yanga vs Ruvu Shooting.
Kwa hiyo wanangu wa simba tuseme mapema, je, Ruvu Shooting ni wabovu au siyo wabovu?
Hekima inatuelekeza kwamba "Justice should not only be done but it must also seems to be done", kwamba haki haitakiwi kutendeka tu bali inatakiwa ionekane ikitendeka.
Hata kama Privadinho kweli...
Mi nafikiri ingekuwa inawezekana TFF wangesajili waamuzi kutoka nje kama team za mpira zinavyo fanya. Tushuhudie burudani ya maamuzi ya kigeni hapa hapa bongo:D:D:D.
We unaonaje?????
"Kwa raundi hii na kwa kanuni za CAF ni kwamba, zile timu zote kubwa zinaanzia ugenini ila zile dhaifu na zinazodemadema zinaanzia nyumbani", amesema Jemedari Said Kazumari EFM Sports...
Man U kila anapokula mkong'oto na Simba nayo lazima iumie.
OKW BOBAN SUNZU GENTAMYCINE Mpo?,au mmmelowaaaa......mmmelowaaaa.....mmenyeshewa na mvuaaaaa![emoji444]...
Earvin Johnson Jr maarufu kama Magic Johnson alizaliwa August 14, 1959, huko Lansing, Michigan, U.S. Alikuwa Mcheza Kikapu maarufu aliyeiongoza timu ya Los Angeles Lakers kushinda mataji matano ya...
Ligi kuu huwa inasimama kupisha mechi za timu za taifa. Je! Wakati Augustine Okrah atakapokuwa anaiwakilisha Ghana itabidi ligi kuu Tanzania bara isimame?
Mwaka 2021 nilipost uzi fulani hapa kuwa kwa jinsi ninavyo ona Fiston Mayele wa Yanga na nyota yake kuna uwezekano mkubwa Fiston kuwa mchezaji maarufu na hatari zaidi Africa mzima.
Watu walibisha...
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara kuendelea kupigwa leo Oktoba 2, 2022, ambapo Mnyama Mkali Mwituni Simba SC, atakwaruzana na Walima Zabibu Dodoma Jiji FC kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa.
Mechi...
At 21, Erling Haaland has already scored more Champions League goals than:
Ronaldo 🇧🇷
Michael Owen 🏴
Francesco Totti 🇮🇹
Fernando Torres 🇪🇸
Nicolas Anelka 🇫🇷
Harry Kane 🏴
David Villa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.