Timu ya yanga kimataifa siyo kama Simba.
Yanga kwenye uongozi wa leo wanaushamba fulani au ulimbukeni na wakiwa na akili hizo tutegemee anguko kwenye klabu.
Viongozi wa Yanga kimataifa hawawezi...
Kawaida yetu watanzania ni fitina, chuki, husda na unafiki.
Leo najitia katika sifa hizo. Simba mmeonesha kitu ambacho Yanga tunapaswa pia kuiga. Najua Yanga wenzangu hili litawakera. Acha mi...
Hebu ona hii
Tumewekeza kuliko Al Hilal.
Manara kaja na siri ya ushindi wa Simba.
Raha yetu kuwafunga Simba.
Nabi: Mechi za kirafiki za kimataifa kwetu hazina kipaumbele.
Tathmini:
Mwenye akili...
Haki ya Mungu walahi Mungu amlinde tu Barbara Gonzalez, ana maadui wa wazi wazi wa Simba wako ndani ndani kabisa wakishirikiana na makanjanja mazoefu.
Lile jitu linalokesha kusambaza habari za...
Kabla ya yote mnaonaje mechi inayofata Simba aende Sudan kucheza na Al Hilal alafu hawa jamaa wabaki hapa kucheza na Agosto?
Ngoja nikujuze, kimataifa mbinu zinatawala siyo manguvu na kukamia...
Naanza kwa kurejea mechi ya Yanga na Azam, hii mechi ilionesha wazi kuwa kuna rushwa kwa waamuzi. Mpira kuna kipind ulitoka nje kabisa halafu mchezaji wa Yanga akakimbilia na kuurejesha uwanjani...
Wakuu,
Moja ya kitu kinachoturudisha nyuma ni kupuuza historia. Historia ni mwalimu mzuri unapokuwa katika tafakari ya wapi unaelekea.
Nafahamu humu wapo wakongwe waliofuatilia soka muda mrefu...
Simba anashinda ugenini kwa goli tatu moja dhidi ya De Agosto. Magoli ya Chama kiungo konokono (kwa mujibu wa Tate mkuu)[emoji2957][emoji2957], kwa pasi ya Okrah, Israh kwa pasi ya Kanoute, na la...
Naona mbwembwe za mashabiki wa simba na wengine wanadai kuwa al hilal Atamtowa yanga
Kwa akili yenu kabisa mnafikiri al hilal wana mpira gani wa ajabu wa kuwatowa yanga?
Ninyi subiri tu mayele...
Kuna changamoto kubwa kwa wachezaji wa Tanzania. Wanakuwa na spidi ndogo sana uwanjani pia wana spidi ndogo ya maamuzi. Bila kusahau makosa katika kukaba, kutoa pasi/cross na kumalizia magoli...
Michezo inaendeleza Biashara ya watu
Kwenye michezo sahivi ni pesa kwanza, maana yake biashara, watu wanauzwa na kununuliwa kama bidhaa mithili ya ilivyokuwa kwenye zama za utumwa miaka ile. Timu...
Vikao vyote tulivyokaa takribani mwezi mzima sote kwa pamoja tulikubaliana kuwa, hawa Wasudani bado wanajitafuta hivyo tutawapiga kama ngoma. Sasa nini kimetokea?
"IWE MVUA IWE JUA SUDANI HAWATOKI!"
Mastaa hawa wawili kutoka Hispania wamejitangaza hadharani kuwa wao ni vyakula vya wahuni, lol.[emoji26][emoji26][emoji26]
Kwao wanaona ni sawa ila dah, hawa wamezingua sana bora wangepiga kimya tuu.
Kila mtu anajua kwamba kwa afrika nzima hakuna nchi yenye wachambuzi wanaojua kuchambua issues mbalmbali kwa ufasaha kama wanaopatikana Tanzania
Ni ma pundits haswa yametulia kwelikweli, yamesoma...
Naam, Njaakalihatari nakuletea habari mpasuko kwamba Young Africa ya Jangwani na Salamander imepigwa faini ya USD 148,000 kwa kumuachisha kazi Kocha Luc Eymael bila kufata taratibu.
Faini hiyo...
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 41 aliichezea Manchester United zaidi ya mara 300 baada ya kujiunga na klabu hiyo akitokea Tottenham Hotspur.
Alishinda mataji kadhaa ya Ligi ya Premia na vile...
Jana nilimwambia mke wangu Yanga atashinda 3- 1 dhidi ya Al hilal sasa ni 1-1 na mchezo bado unaendelea.
Japo mimi Simba lakini kwnye michezo ya kimataifa navaa uzalendo haijalishi nini!
Ni ujinga unaofanya. Waandishi wa habari hawachezi mpira. Hata kama wataisifia team sana mwisho wa siku wachezaji ndo hucheza.
Unawekeza pesa nyingi kwa vyombo vya habari wakuzungumzie wewe na...
Nimeona baadhi ya mashabiki wa Yanga na wengine wa upande wa pili wakiwaponda Yanga kwamba tayari wametolewa kwenye mashindano na Al hilal. Mpira hauko hivyo waungwana, bado Yanga anayo nafasi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.