Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

1. Mchezo ulikuwa wetu kabisa ule, sema wachezaji wetu wazembe sana. 2. Kocha naye kazingua sana, amechelewa sana kufanya sub. 3. Morrison naye utoto amezidi, sasa pale baada ya kufunga analeta...
8 Reactions
11 Replies
857 Views
Hivi ndivyo CAF walivyoitajirisha Simba, wajazwa bilioni 6.7 kwa siku 1,460 Kuanzia 2018 hadi sasa, Simba imepitia katika kipindi cha neema kutokana na mafanikio makubwa iliyoyapata katika...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Mmepambana Kwa uwezo wenu inatosha. Àsanteni Kwa kiwango kizuri, àsanteni Kwa kupambana.
2 Reactions
12 Replies
875 Views
Yanga msivunjike mioyo, uaminini mradi mliyoanza kuujenga, inatakiwa mkubali bado ni changa inaendelea kukua. Timu inacheza vizuri cha msingi ni kuboresha sehemu ndogondogo zilizosalia hasa...
4 Reactions
6 Replies
783 Views
Hii timu inahitaji maombi sana!
1 Reactions
10 Replies
826 Views
Uhali gani shabiki wa soka nchini Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla? Poleni Yanga kwa kutoleawa kwenye CAF Champions League hapo jana, na hongera kwa wana Lunyasi kwa kuheshimisha taifa kwa...
5 Reactions
5 Replies
951 Views
Jamaa amedrop mno yaani hana kila kitu katika character za mchezaji wa mpira hana control, hajiamini, hana mbio hana utulivu wa mpira akipata mpira hajui aupeleke wapi daah! Mwanangu Mwamnyeyo...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Nisikuchoshe na usinichoshe, Tusichoshane! Tangu ilipotangazwa tarehe rasmi ya kuanza hatua za awali za ligi ya mabingwa afrika zijulikanazo kama Preminary round kumekuwepo na uvumi hasa kutoka...
4 Reactions
14 Replies
827 Views
Habari wakuu. Kwanza nianze kukupa hongera kocha mkuu wa Simba Juma Mgunda kwa kufuzu kwako makundi kwenye michuano ya CAF Champions League, hakika umepambana kwa kuitoa SIMBA pale ilipokuwa...
17 Reactions
64 Replies
4K Views
FULL TIME 90' Zinaongezwa dakika 4 89' Wageni wanafanya shambulizi kali lakini Diarra anaokoa 80' Kasi ya mchezo inazidi kuongezeka, Yanga wanaendeleza kasi kutafuta goli la pili 75' Shuti la...
15 Reactions
873 Replies
50K Views
Mimi hakyanani nimempania sana huyu Member aitwae SAGAI GALGANO, kwani anatuchukia mno sisi wana Yanga SC, na kila siku ni lazima tu aanzishe nyuzi za kuisema tu vibaya Yanga SC yetu.
5 Reactions
28 Replies
1K Views
Tukubali, tukatae lakini ukweli ni kwamba katika msimu ambao Yanga wamepata washindani wepesi basi ni msimu huu. Yaani timu ambayo ilikuwa inaogopwa kwa idadi kubwa ya watu ni Al Hilal lakini...
7 Reactions
31 Replies
2K Views
Majirani, Huyu Mwamnyeto mmemgeuza Maguire kwa kumpa kila lawama timu ikiruhusu goli! Yanga hamjapoteza game zaidi ya mechi 40 chini ya ukuta wa Mwamnyeto lakini bado mnamuona ni beki asiyefaa...
14 Reactions
28 Replies
2K Views
Mechi zetu NBC L tunashinda kwa michongo; kwa kuwahonga Marefa na wachezaji wa timu pinzani. Hili hapa analisema Kikwete kuwa, tunashinda kwa njia ambazo hazitusaidii kwenye mashindano ambayo...
8 Reactions
12 Replies
1K Views
"Sawa tumetolewa rasmi Klabu Bingwa, ila Jumapili ijayo tarehe 23 Oktoba 2022 Simba SC watatukoma kwa Mkapa" mashabiki wa Yanga SC. Nami GENTAMYCINE nawauliza wana Yanga SC je, mkiikamia hivi...
13 Reactions
12 Replies
1K Views
Hii ni aibu sisi ndio mabingwa alafu tunatolewa mapema hivi? Hapana haikubaliki tatizo ni ule mwiko kule nyuma kwa umoja wetu naomba tushirikiane tuutoe haraka iwezekanavyo. Kama tusipoutoa...
5 Reactions
13 Replies
726 Views
Kocha Mgunda mwambie Sakho awe anapasi mpira haraka, anakaa sana na mpira. Anatukosesha mtiririko wa uchezaji sana. Jana anakaa sana na mpira. Mlio karibu naye mwambieni.
0 Reactions
4 Replies
430 Views
Kwa mara nyingine tena naleta utabiri wangu, bila kupepesa macho Simba na Yanga hazitofika hatua ya makundi kwenye michuano ya klabu bingwa Afrika kwa msimu wa 2022/2023. Huo ndio ukweli, kama...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Ndiyo, nimeona tofauti ya mashabiki wa Tanzania na nchi zingine. Yanga jana imefungwa lakini mashabiki walichangia kuwavuruga wachezaji wetu! Ile kelele na lile vibe, ni lazima timu yoyote...
3 Reactions
4 Replies
484 Views
Back
Top Bottom