Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Simba Sports wanashuka dimbani kwenye soku ya mkesha wa krisimasi kumenyana na maafande wa JKT katika dimba la KMC Je, Dozi ya goli 5 alizotoa Simba kwa Kagera ataendeleza kwa maafande? Mechi ni...
13 Reactions
436 Replies
18K Views
Kibu Denis ndio kiungo mshambuliaji pekee aliyebaki kuokoa jahazi la Simba, mechi ya leo angeimaliza mapema kabisa. Kwa sasa tutake tusitake mchezaji Kibu Dennis ana umuhimu mkubwa sana ndani ya...
4 Reactions
32 Replies
1K Views
Akihojiwa leo baada ya ushindi wa goli nne,amekiri ule sio uwezo wa Yanga kwani walikwenda kuwaangukia wazee na yeye anasema walichomoa waya mmoja wa mechi za ligi. Hata hivyo bado waya wa mechi...
2 Reactions
11 Replies
746 Views
Kuna kila dalili kuwa hawa Vyura FC wamerudia issue zao za sindano. Naomba mamlaka ziingilie kati na uchunguzi ufanyike.
5 Reactions
27 Replies
1K Views
Yanga inavyocheza ligi kuu unaiona yanga Bora sana. Nimara chache wanapata matokeo dhaifu lakini ukweli ni kuwa Yanga ndio wafalme wa ligi kuu kwa misimu ya hivi karibuni. Tatizo ni pale...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Waziri wa Katiba na Sheria na Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro Desemba 25, 2024 Songea Mjini ameshuhudia fainali za Kombe la Ndumbaro CUP katika uwanja wa Chuo cha Matabibu...
0 Reactions
0 Replies
117 Views
Tubadilishane mawazo,maoni na mapendekezo kuhusu klabu yetu,uimara wa timu,udhaifu,tujadili hapa,ikumbukwe jf ni uwanja mpana,najua injinia hersi hupita humu so maoni au mapendekezo yako...
6 Reactions
49 Replies
735 Views
Hili swali kwa mashabiki wa Yanga na Simba mnijuze iwapo mume na mke wakawa sehemu tofauti kikazi,nani huwa anatafuta kwa kila njia uhamisho kumfuata mwenzi wake? Sent from my Infinix X626...
1 Reactions
12 Replies
456 Views
Winga Mohamed Bakari aliingia dk66 kuchukua nafasi ya Shiza Kichuya, dk77 alioneshwa kadi ya njano ya kizembe ambayo inashangaza na kama haitoshi dk90+3 akafanya uzembe kwa kumvuta Shomari Kapombe...
9 Reactions
43 Replies
1K Views
Huyu kocha hata Mimi nikikaa pale naweza fundisha huu mpira unaochezwa, match karibu 7 za Simba wanashinda kwa kubahatisha na kwa msaada wa marefa, Kinachonishangaza ni hizo sub zake...
10 Reactions
82 Replies
2K Views
Uamuzi wa kumuacha Cloutu Chama ulipokewa kwa hisia tofauti na washabiki wa Simba,hata uamuzi wa kumsajili Jean Charles Ahoua kuwa mbadala wake ulipingwa na wengi ikizingatiwa hata aina ya...
2 Reactions
24 Replies
1K Views
Inafikirisha sana, dunia nzima ipo katika shamrashamra za birthday ya Yesu Kristo, hawa ndugu zetu vyura wanaharibu mood yetu kwa kujaa malalamiko yasiyo na kichwa wala mguu. Ukiwauliza...
8 Reactions
13 Replies
328 Views
Yani huyu mwamba wa zambia budo mutale wakati amefika alijitahidi ila baada ya hapo sasa imekua kila mpira ataopata ni atoe pasi mkaa mbovu au anyang'anywe mpira amekosa kabisa utulivu yani mkiwa...
4 Reactions
34 Replies
1K Views
1. Hii ni moja kati ya mechi ngumu msimu huu, JKT wamecheza kwa mbinu na nguvu nyingi dakika zote. 2. Refarii hajafanya kosa kutoa tuta, lile ni tuta, wa kulaumiwa ni mchezaji wa JKT kufanya...
10 Reactions
70 Replies
3K Views
Huwa nashangaa sana unakuta watu mpaka wanapigana kisa simba na yanga aisee ukicheki maisha yamewachapa vibaya watanzania akili zero kabisa yaani timu zinacheza mpira kama wamasai...
11 Reactions
88 Replies
1K Views
Knock Out Ya Mama takes place Thursday, December 26, 2024 with 14 fights at Super Dome Arena in Dar-Es-Salaam, Tanzania. Light Flyweight division Mchanja Yohana Bakari vs Miel “Silent Assassin”...
1 Reactions
0 Replies
240 Views
Jamani hii ni FOOTBALL BALL , easy tu man
3 Reactions
9 Replies
468 Views
Ni majini tu alitupiwa. Alisomewa na Azam kisomo akatupiwa majini. Kuna watu wamempeleka kuombewa. Dube kafunguliwa. Sasa atakiwasha sana. Wamemwambia sasa asiache kuomba na ajitoe kabisa kabisa...
9 Reactions
22 Replies
1K Views
Sijaona uwezo wa kocha kabisa na kunifanya niamini kweli Simba inae kocha, tulicheza na Pamba tukashambuliwa hivi hivi Kama sio uhodari wa kipa Camara Leo Bravos alikuwa anatudhalilisha. Kwanza...
6 Reactions
60 Replies
2K Views
Back
Top Bottom