Sitaongelea kuhusu kubebwa na kushinda kimipango, hilo lipo wazi kila mwenye utima analiona wazi
1. Simba inakuzwa tu, ila wachezaji ni averaged players. Yaani wana hadhi ya kucheza Pamba Jiji au...
Baada ya Yanga kuwasha moto sana Kwa vichapo vya 5G Kwa timu nyingi especially makolo, ....... kelele nyingi kutoka Kwa wadau wa soka kuhusu udhamini wa GSM Kwa timu nyingi zikaibuka ......mara...
Katika maswali ambayo natesekaga nayo nikiwa nacheki game mashabiki wenzangu wananiuliza ninaUEFA ngapi aisee huwa naishia kutukana tu.
Hivi hii timu yangu itabeba kweli UEFA maana najiona nikifa...
Si muda mrefu uliopita vilabu hivi vikubwa vilikuwa na uwezo wa kujaza uwanja wa Uhuru au Mkapa hata katika mechi ndogo tu za ligi achilia mbali zile za kimataifa.
Zikaja story za ukarabati wa...
Rais wa klabu ya Raja Club Athletic amekutana mara mbili na kocha mwenye uzoefu wa Argentina, Miguel Ángel Gamondi, ambaye kwa sasa anaonekana kuwa chaguo bora zaidi kwa nafasi ya kocha mkuu wa...
Katika siku nyingine, siku ya Jumapili ya tarehe 22/12/2024 timu ya Young Africans almarufu wananchi watakuwa dimbani KMC complex kuzitafuta alama tatu dhidi ya Tanzania prisons almarufu kama...
Bondia Tyson Fury amesema anatakiwa kumpiga mpinzani wake, Oleksandr Usyk kwa K.O na sio kwa pointi kwa kuwa anaamini wakimaliza pambano na matokeo yakakiwa kuamuliwa kwa pointi basi itakuwa ngumu...
Yanga jioni ya leo anakwenda kuendeleza ushindi wa magoli ya mchongo kutoka kwa timu ya jeshi la magereza nyote mtakuja kunikumbuka jioni ya leo tutaona vituko vya mtu mmoja anaweza funga magoli...
Leo nimeshangaa hadi mechi inaendelea ya Yanga vs Prisons sioni uzi wake. Nikasema labda wamesusia litimu lao. Mara kuna mtu akaanzisha uzi unaohusiana na matokeo ya mechi, nilipoufungua, kumbe...
Nitashangaa sana kama TFF hawatamnyang'anya tuzo ya mchezaji bora Ibrahim Bacca aliyoipata katika mchezo wa leo dhidi ya Prisons.
Bacca amepewa credit kwa kufunga goli la 4 ila marejeo ya video...
Niko Morogoro
Nilichokiona Leo n BALAA tupu
Polen sana mashabiki WA man u na Chelsea
Kiujumla sisi Man City tumehuzunishwa sana na yanayoendelea ligi kuu ya EPL
Nahisi tueleke kwenye maombii...
Sijui shida ni idadi chache ya camera ila kitu gani ambacho kinashindwa kufanya matukio yenye utata yawekwe wazi kupitia picha za marejeo.
Hili watu wameliongelea tokea misimu ya nyuma...
Game imeshaisha. Ngoma ya watoto haikeshi. Kagera si mnyonge na hawezi anza leo kuwa mnyonge.
Simba wakipata point moja washukuru sana. Wakachinje na ng'ombe. Kagera huwa kwao wanapocheza na...
Yanga na Simba zilianzishwa mwaka 1935 na 1936 baada ya kutokea mvurugano baina ya viongozi wa pande hizo mbili.
Yanga ndio timu kongwe zaidi Tanzania ilianza 1935 wakati Simba ikitokea ubavuni...
TAARIFA KWA UMMA
Uongozi wa Young Africans Sports Club unapenda kuutarifu umma kuwa umevunja mkataba na Kocha Mkuu wa kikosi cha kwanza, Angel Miguel Gamondi.
Vilevile, Uongozi wa Young Africans...
Uzi usiwe mreeeeefu.
Nimeamua rasmi kuacha kuishabikia Yanga na hivi sasa naachana na iliyokuwa kadi yangu ya uwanachama wa klabu ya Yanga.
Haya ni maamuzi magumu ninayoyachukua kama ambavyo...
Klabu ya Singida Black Stars imewasimamisha makocha wake wawili, Patrick Aussems na msaidizi wake Dennis Kitambi kutokana na matokeo mabaya, huku ikidaiwa kumwania Miguel Gamondi aliyeachana na...
Wakati fulani miaka kadhaa iliyopita, niliweka dau langu kubwa zaidi kwenye betting 1,000,000 TZS kwenye option ya draw kwenye mechi tatu tofauti.
Nilijiamini sana kwamba hii ilikuwa tiketi yangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.