Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kuna mwandishi Kivuyo wa ITV aliwahi kutuonya kuwa huyu ni Simba damu na ni pandikizi limeuja kutuvuruga wana Yanga Sasa yametimia. Kambi imevurugika, mpasuko jangwani kuna wanaosema Yona...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Na Wabunge waliojichangisha wamesema wanataka 'Siku ya Wananchi Wapuuzi' tarehe 6 August 2022 warejeshewe Pesa zao vinginevyo watalikamata Basi au watagawana Makombe yote yakakae Kwanza Makwao...
7 Reactions
26 Replies
2K Views
Kocha Mkuu wa Taifa Stars Kim Poulsen akizungumza kuelekea mchezo wa kufuzu CHAN dhidi ya Somalia utakaochezwa kesho Jumamosi Julai 23 kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa. Polsen ameshangazwa na...
1 Reactions
7 Replies
938 Views
Klabu ya Simba kupitia kwa Mtendaji Mkuu wao (CEO) Barbara Gonzalez, amethibitisha kuwa hadi kufikia sasa wamepokea simu nyingi sana kutoka klabu kadhaa zikiwemo vigogo wa Afrika Wydad na Raja...
18 Reactions
32 Replies
2K Views
Klabu ya Mchezo wa Karate ya Scorpion ya Jijini Dar es Salaam, imefanikiwa kutoa mikanda Meusi (Black Belt) kwa wanafunzi wa mchezo huo. Mkufunzi mkuu wa klabu ya Scorpion, Sensei Jerome George...
1 Reactions
6 Replies
687 Views
Chukua hiyo kwanza
11 Reactions
19 Replies
1K Views
Wanatumia muda mwingi Kumtetea huku pia wakiwatafuta Mawakili wenye Uyanga kutoa Ufafanuzi wa Hukumu iliyotolewa na Poti ( Mkurya ) kutoka Kwetu Mkoani Mara ( Musoma ) Watangazaji wa Kipyenga...
8 Reactions
37 Replies
3K Views
Rais wa heshima wa klabu ya Simba Mohammed Dewji MO, ameleza furaha yake huku akimpongeza Nyota Pape Ousmane Sakho baada ya kushinda Tuzo ya goli bora la CAF 2022 mjini wa Rabat nchini Morocco...
18 Reactions
26 Replies
3K Views
Binafsi nadhani kila mtu keshajuwa kwanini uko Yanga Sasa. Hakuna sababu ya kuendelea kuitaja Simba katika kila fursa ya kwenda hewani. Ubongo wa Binadamu una tabia ya kuchoshwa (fed up) na kitu...
6 Reactions
58 Replies
3K Views
Did you know that swimming improves health and is a good skill in life, it is also entertainment, Welcome to enroll your son in the swimming class this holiday season, the class will start on July...
0 Reactions
0 Replies
408 Views
Hii siyo yanga ninayoijua, kuwa upande wa mwenye mapesa siyo kigezo cha kuweza uongozi, yanga ni ngangari tangu enzi hizo siyo watu wa mchezomchezo muulize Iman madega na wenzake waliowahi...
2 Reactions
15 Replies
967 Views
Msemaji wa Yanga, Haji Manara amefungiwa kujihusisha na mpira ndani na nje ya nchi kwa muda wa miaka 2 na kupigwa faini ya Tsh milioni 20. Manara amekumbwa na adhabu hiyo kutokana na sakata lake...
24 Reactions
353 Replies
24K Views
Nimeona Watanzania wakichangamka kumpigia kura mchezaji wa Simba SC kwenye moja ya tuzo katika kipengele cha Goli bora la mwaka. Kiukweli hilo jambo la kuacha watu wapigie kura mshindi limewekwa...
4 Reactions
84 Replies
6K Views
Ukizungumzia magoli ya CAF CC Aziz Ki ana magoli mengi kuliko SAKHO na yumo kwenye orodha ya wafungaji bora amefunga 3 sawa na nusu ya magoli 6 aliiyonayo Adebayor mfungaji bora. Mfungaji bora...
4 Reactions
38 Replies
4K Views
Tangu Simba haguswi, sikupenda kabisa simba tuwe na msemaji kama huyu anayezungumzia wapinzani kila saa na vijembe kwani inaleta taharuki kwa mashabiki wakati yeye anahurumiwa kutokana na maumbile...
6 Reactions
6 Replies
514 Views
Habari kuwa Manara anafungiwa zilikwishajulikana mtaani na hata mwenyewe alijua, swali alijuaje, nani anavujisha siri za TFF, secretariat iliangalie hili, hao wachezaji wa zamani walioajiriwa hapo...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Miezi 24 siyo mingi sana kama ukiwa Unakunywa sana Bia au Unavuta Bangi au Unabwia mno Ugolo wa Mwarabu Buguruni Malapa na Ilala Bungoni au pale katika Balcony Ghorofani Masaki jirani na Slip Way.
6 Reactions
51 Replies
3K Views
Kupitia mitandao yao ya kijamii timu kubwa Afrika Simba sc umewataka mashabiki wake kujiandaa na tukio kubwa ni lipi hili saa saba kamili mchana.
0 Reactions
1 Replies
554 Views
Leo ndio leo, tuzo za CAF zinatolewa, wazee tupeane updates. Mzigo utakuwa live kwenye channel ya CAF ya YouTube Kocha bora wa mwaka(wanaume) Aliou cisse 🇸🇳 Timu bora ya taifa ya wanaume ni...
9 Reactions
33 Replies
4K Views
Back
Top Bottom