Kulingana na mawazo ya wachambuzi wengi mashuhuri, wametabiri namna msimamo utakavyokuwa msimu ujao
Wakiongozwa na Shaffih Dauda. Na wengine akiwemo Ally Mayai Tembele..
1: Yanga
2: Azam
3...
Timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imeibuka na ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Somalia katika mchezo wa kuwania Kufuzu Kombe la Afrika kwa Wachezaji wa Ligi za Ndani (CHAN 2023) kwenye Uwanja wa...
Kwa tunaojua mpango wa wakala Kwa Mchezaji wake halitutishtui hili.
Wakala yupo tayari kufanya chochote Mchezaji wake apate "mileage" Wakala alimleta Mchezaji Tanzania kama njia panda.
Wakala...
Wanamwita Mzee wa kunyunyiza a.k.a Sadio Mane wa east Africa.
Mpira unaompa shida KIBU DENIS ndio huohuo SAKHO anauchezea atakavyo.
Kiukweli huyu jamaa anajua ni msaada mkubwa kwa Simba SC kama...
Nipo hapa naangalia mechi ya CHAN kati ya Taifa Stars na Somalia, nadhani watu wengi tuliwa-underrate Somalia.
Jamaa wanaupiga mwingi sana tu. Ni kama tuliona hawa jamaa tutapiga pasi mbili...
Ni muhimu sana kitengo chetu cha graphics kiwe very careful katika propaganda za kuwafurahisha wanachama na mashabiki wetu kwani katika kundi la wajinga wwalio wengi kuna wajanja wachache wana o...
Kina reflect vizuri sana kwenye jua vile vya kwetu sijui huwa vinakuwa polished na kiwi?au mbao za mninga?
anyway sakho karudi leo kambini lakini jana pia alicheza vs pyramids ambapo simba...
"Msifadhaike hata kidogo tuombe uhai tu coz dhulma huwa haina mwisho mwema na always haki hushinda, ni suala la muda tu".
"Sipoi hata tone na tabu ipo pale pale sana sana ndio itazidi, otherwise...
Mwanariadha Gabriel Gerald Geay Ametutoa kimasomasokwa kushika nafasi ya 7 kwa muda wa saa mbili dakika Saba na Sekunde thelathini na moja (2:07:31) katika Mashindano ya Dunia ya Riadha...
MASHINDANO YA RIADHA YA DUNIA
July 16 2022
Eugene, Oregon USA
Kama watashinda mbio za marathon za 42km Jumapili ya tarehe 17 July 2022, basi wanariadha wa Tanzania Emanuel Giniki GISAMODA |...
Msimu wa 2014 YANGA ilitoa Top Scorer wa CAF Champions League/LIGI YA MABINGWA AFRICA hata na wala huezi kukuta wachambuzi wa mchongo wanaisema hii kwa ukubwa wake!
Na kuna Fowadi Mmoja tegemeo Kachukia kweli kweli anasema bora aruhusiwe tu aje Simba SC au aende zake Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini.
Si mnajifanya Kuficha? Nimeshaipata.
Kwa mechi tulizoshinda kimataifa ni mechi gani bora wewe ulienjoy? Binafsi kwangu vs Platnums biriani ilipigwa.
Simba vs Nkana 2-1
Simba vs As Vita 3-1
Simba vs Fc Platinum 4-0
Simba vs Red...
Mzuka Wanajamvi!
Ukizingatia jamaa hapendi waafrika hili tukio lilimuudhi sana.
Mmatumbi mmoja akiendesha Baiskeli alimuona Pep Guardiola kocha wa Manchester City akiendesha Baiskeli usiku wa...
Wale wababe wa yanga africans waliowapiga nje ndani wamechukua ubingwa wa nigeria na governor wa jimbo lao la Rivers state Nyesom wike kawazawadia usd 20,000 kila mchezaji
sasa timbwili ni...
Yaani kama siyo kujuana juana alhaji albino sope binobino kubwa la ma albino east africa lilitakiwa kuwa jela segerea basi tu ni kama toto dogo lichokozi linajua likitukana watu kuna vibopa...
Boss wa TFF zama zake zinaelekea ukingoni kwa kutumia madaraka yake vibaya kwa kuendesha TFF na kuichezesha segere atakavyo ni suala la muda tu atang'oka si ajabu akawa anatokea Segerea, ni suala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.