Achilia mbali kwamba picha na maelezo yamechanganywa maana aliyesajiliwa na simba ana miaka 23 siyo 29 jamaa wamefanya censoring ya logo ya M BET
Mbona logo za sportpesa huwa wana post, kuna...
Hata Yanga wanamuhitaji Haji Manara..
Kalamu ya Ally Kamwe
Ni 2016. Kwa haraka haraka sikumbuki siku wala saa, ila ni ndani ya mwaka huo ndio ilikuwa mara yangu ya kwanza kukutana na kuzungumza...
Hii team miaka na miaka mafanikio kwao imekuwa ngumu tofauti na zamani ..
Nimesikia kuwa kipa wao Mussa Mbissa ameachwa na wameletea kipa mcomoro.!
Unajiuliza Mbissa ameachwa kwa kosa gani? Eti...
Taarifa nilizozipata muda huu zinasema mabingwa wa Afrika, Wydad Casablanca, wametuma ofa ya dola laki nane za kimarekani [bilioni 1.8 za kitanzania] ili wamnase Pape O. Sakho raia wa Senegal...
Taarifa kutoka kwa afisa habari wa Al Akhdood Club.
Kuna Taarifa kutoka kwa afisa habari wa klabu ya Al -Akhdood club akilalamika kwanini Simba sc wametumia Jina na nembo yao na kusema wamecheza...
Salaam wakuu,
Sakata la manara limezua mjadala mkubwa sababu watu wengi wanaona hukumu ilotolewa haiendani na kosa, haiingii akilini kupishana kauli likawa kosa la kutolewa adhabu ile.
manara...
Mchambuzi anayetafuta umaarufu wa kijinga Oscar Oscar anamtetea Manara kuwa ameonewa, hivyo hastahili adhabu.
Kwake yeye kumuita kiongozi wa soka mpuuzi ni jambo la kawaida, namuuliza Oscar kama...
Hoja yako ingekuwa na nguvu sana kama ungekuwa unamzungumzia mtu anayefanana naye kihadhi katika Mpira wa Tanzania.
Najua unalazimisha sana ionekane Hajji ni wa hadhi sawa na wewe au na hao...
ANGALIZO kwa TFF
Endapo TFF inakubali Kula Matapishi yake kwa Kuwasikiliza Wanaoshabiki UHUNI na MATUSI ya HAJI MANARA tunaitaka TFF iwajibike kwa kuwaondolea Adhabu na kurudisha Fedha za Faini...
Watu wa Soka,
Nimechelewa kuwafahamisha lakini naamini baadhi ya wapenzi na mashabiki wetu wanafahamu kuwa tumemsajili Kiungo Mshambuliaji kutoka klabu ya Yanga SC, Deus Kaseke "Mwaisa", kuja...
Salaam wakuu,
wengi hudhani ni mazoea tu, au pengine humaanisha simba ni kubwa kuliko yanga, jambo ambalo si sahih.
ukweli ni kwamba, jambo hili limetokana na simba kuzaliwa na yanga, hivo...
Mkiambiwa manara ni duuude kuuubwa mnabisha, huyo karia akae kwa kutulia yaani kagusa waya wa moto na kama ikifika jumatatu hajamuomba radhi manara ajue hadi week ijayo atatolewa kwenye hiko cheo...
Endapo mtu angepata nafasi ya kurudi mwaka 2010 na kuwahadithia wapenzi na mashabiki wa soka la Tanzania kuwa utafika muda ligi kuu Tanzania bara itakuwa kubwa na kuwa na mvuto katika ukanda huu...
Kazi alipewa sope na aliifanya kwa ufasaha mkubwa, kumtukana Mo dewji na biashara zake, waliomlipa pesa na marupurupu mengine kama gari na kumpangia nyumba masaki wako kwenye msongo wa mawazo
Je...
Watu wa Soka,
Tumechagua Jiji la Arusha liwe kambi yetu maalum kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao wa Ligi Kuu 2022/23 (Pre-Season).
Arusha patatufaa sana kwa sababu ni Jiji Tulivu, Hali ya...
Iwapo mama Samia au hata Waziri wa Michezo atatoa maamuzi juu ya kesi hiyo basi kitachotokea kitaitwa ”SERIKALI KUINGILIA MPIRA WA MIGUU”.
Kosa hilo likiwafikia wakuu wa soka FIFA, basi TFF...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.