Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Na adv. Mussa Makwinya Nimepata bahati ya kumsikiliza mwamasishaji wa yanga Haji Manara kwenye press ya leo. Nimesikitika sana kwa baadhi ya maeneo ambayo ameyazungumza kwa hisia na kudhani...
14 Reactions
20 Replies
1K Views
Nasema hivi kwa kuwa ni Wana-Yanga pekee, kwa kuwa yuko kwo, ndio wanaweza kufanya hivyo. LAKINI, HAJI MANARA HAYUKO SAHIHI. Endelea kumuonea huruma ya kishabiki.
0 Reactions
3 Replies
668 Views
Watu wa Soka, Timu yetu Singida Big Stars imeweka kambi hapa Njiro jijini Arusha kwa ajili ya kujiandaa na msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2022/23. Tulichagua kuweka kambi (Pre...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Habari wakuu .. Mimi naona kabisa swala la Manara kufungiwa miaka miwili na faini ya million 20 kuna watu wanaenda kuaibika mapema. Manara ni mtu mkubwa, ni zaidi ya simba na yanga, ni zaidi ya...
2 Reactions
48 Replies
2K Views
" Wenye Akili Yanga SC nzima ni Watu Wawili tu Rais Mstaafu Kikwete na Baba yangu Mzazi Mzee Manara waliobakia wote hawana," alisema Haji Manara alipokuwa akihojiwa na EFM Radio Kipindi cha Sports...
19 Reactions
104 Replies
8K Views
Jana nilitazama kiwango cha Taifa Stars ikicheza na Somalia nikafurahi jinsi timu ilicheza kwa balance ya hali ya juu huku ikitengeneza nafasi nyingi za kufunga, Sureboy, Farid na Feisal...
5 Reactions
38 Replies
2K Views
Hivi ndivyo Haji Manara alivyomwambia Wallace Karia , ambaye ni Rais wa TFF kule Arusha kwenye game ya fainali kati ya Yanga na Coastal Union . Je Kauli hii inastahili adhabu hiyo na Faini ya Tsh...
26 Reactions
82 Replies
6K Views
Leo nimesikia audio ikitembea mitandaoni inayodaiwa kuwa imerekodiwa na Manara akimtuhumu kwa mambo mengi Barbara.Inaonekana hawa watu wana mgogoro wa mda mrefu na hawawezi kufanya kazi tena...
12 Reactions
266 Replies
34K Views
Nimesikitishwa kwa kitendo cha Rais wa TFF ndugu yangu Karia kurushiana maneno na msemaji wa Yanga, japo watu wanasema Manara kamtukana Karia lakini maneno mazito ambayo ni matusi yalitoka kwa...
11 Reactions
72 Replies
5K Views
Yaani anakujaza upepo unaingia kingi unamtukana hadharani anakuangalia tu. Sekretariate inakupeleka kamati ya nidhamu. Unaibuka kuwa hukumtukana Anakupigia simu kuwa njoo home tuyamalize...
9 Reactions
21 Replies
2K Views
Eti Hukumu ya Haji Manara imeathiri hadi Soka la nchi jirani hasa Burundi aliyokuwa akifanya nayo Kazi hasa ya Kupromoti Soka lao. Wapuuzi wakubwa nyie yaani Burundi ambayo imetuacha Kimpira...
15 Reactions
34 Replies
3K Views
Msemaji wa Yanga Haji Manara ameongea na waandishi wa habari kuelezea sakata lake la kufungiwa kujihusisha na masuala ya michezo ndani na nje ya nchi kwa kipindi cha miaka 2 pamoja na faini ya...
3 Reactions
32 Replies
3K Views
Kesho maandamano makubwa tukayafanye karia aondolewe madarakani. Manara ametupa pande nasi tulicheze kwa upande wetu. Karia wa kutwambia viongozi wetu wote wamejaa kinyesi kwenye sehemu zao za...
1 Reactions
10 Replies
639 Views
Huu ndiyo ukweli Mchungu 1. Watanzania wengi wanamjua Haji Manara na hawaijui TFF wala viongozi wake. 2. Haji Manara amechangia uhamasishaji wa watu kupenda soka, nakumbuka kipindi kile akiwa...
7 Reactions
75 Replies
6K Views
Kwa wale mliofuatilia press ya Manara, aisee mtu huyu ni mjinga sana, ameongea mambo meeeengi, sijaona facts hata moja. Sana sana ni kutaka kugombanisha TFF na wananchi, kuleta uchochezi na...
5 Reactions
36 Replies
2K Views
Ni hayo tu wakuu. Kazi kwenu mchague kuendelea na mjadala wenu wa pekeji au mhamie kwa Manara na Jambo lenu liwe limekamilika hivo.
3 Reactions
7 Replies
919 Views
Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Kidao Wilfred amesikitishwa na madai ya aliyekuwa Ofisa wa klabu ya Yanga, Haji Manara kuwa alimuomba msamaha kwa maelezo kuwa Rais wa...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
watu weweweeeeeee waleteeee waleeeeetee maaaaamaaaaaaaaaaaaaaaa
-1 Reactions
4 Replies
1K Views
Mchambuzi wa soka nchini Saleh Ally ‘Jembe’ ameoneshwa kushangazwa na kitendo cha wazee wa klabu ya Yanga kutaka kwenda kuonana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ili...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Katibu mkuu wa Shirikisho la Mpira wa miguu TFF Wilfred Kidao amesikitishwa na madai ya aliyekuwa Ofisa wa Yanga Haji Manara kuwa alimuomba msamaha kwa maelezo kuwa Rais wa TFF Wallace Karia...
0 Reactions
29 Replies
2K Views
Back
Top Bottom