Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Manara amekuwa akiendelea kuropoka licha ya adhabu anayotumikia. Amekuwa akilalamika kuwa kaonewa licha ya kupewa siku 21 za kukata rufaa. Ushahidi ambao angeutumia kwenye rufaa amekuwa akiusema...
4 Reactions
24 Replies
3K Views
Yote haya tunayoyaona ni kisasi tu, hapa bongo ukijifanya mjuaji kwenye hizi club za kariakoo basi wanamnenepesha mtani mwenzio ili akuchape gepu. Mo nahisi ana tamaa sana ya kutaka malipo ya juu...
14 Reactions
59 Replies
6K Views
YANGA ikiwa ugenini inapiga mpira mkubwa mnooo, hapa Al ahly mashabiki walikuwa FULL HOUSE achana na hawa jamaa zetu waliokuwa wakicheza na Al ahly kukiwa na mashrti sharti ya Covid
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Maisha yana kwenda kasi sana, Wakati Yanga inafurahia kupata udhamini wa Bilion 12.335 kwa miaka mitatu, Wenzetu Simba wao wanafurahia kufikisha Followers milion 1...
5 Reactions
45 Replies
3K Views
Habari zenu wadau wa Michezo.. Inaelezwa kwamba Tanzania na Uganda wanatarajia kushirikiana kuomba kuandaa Mashindano ya AFCON mwaka 2027.. Haijaelezwa nani katoa hilo wazo ila ikumbukwe kwamba...
0 Reactions
4 Replies
861 Views
Kwakweli mgema akisifiwa Sana tembo hulitia maji Sina la kusema jezi zinatisha hazitamanishi hata Si kwa ubaya viongoz wa Yanga mnaweza badilisha jezi hazina mvuto ni kituko Vivutio vya...
10 Reactions
85 Replies
6K Views
Nenda katanga mikopo ya Bayport huko, si ulisema utaendelea kuisemea yanga, mbona hatukuoni, mbona hukuonekana kwenye uzinduzi wa jezi.Mamlaka lazima ziheshimiwe.
5 Reactions
27 Replies
3K Views
Kocha wa zamani wa Vilabu vya mtibwa sugar, na kagera sugar MECKY MEXIME amesema katika dirisha hili la usajili klabu ya YANGA imefanya usajili kimbinu na kuzingatia zaidi uweledi na sio ushamba...
13 Reactions
30 Replies
3K Views
Cristiano Ronaldo amerejea Jijini Manchester na alitarajiwa kuwa na mazungumzo na Kocha wa Manchester United, Erik ten Hag kuhusu hatma yake. Mreno huyo ambaye amekosa wiki tatu za kwanza za...
0 Reactions
5 Replies
985 Views
Leo wanajangwani wamekamilisha dili lao la Bilion 12.3. Kila dili wao wanafanya kwa uwazi (Transparence). Hakuna kuficha ficha wala kuambiana kuwa watalitangaza baadae. Yaani kila kitu kiko...
11 Reactions
49 Replies
3K Views
Wakuu lini izi latiba zinatoka rasmi Kama ya ligi kuu inaanza mwezi ujao latba bado ata ya caf bado hawajajua nchi zitakazo shiliki nini au Kuna ligi bado zinaendelea
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Kiungo wa Juventus, Paul Pogba anaweza kuikosa michuano ya Kombe la Dunia 2022 itakayofanyika Nchini Qatar kutokana na kupata jeraha la goti alilopata katika mazoezi. Pogba amesitisha kuwepo...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Katika maeneo ambayo yanga wamefanikiwa kuset msimu huu ni kwenye management, klabu yoyote ikiwa na management goigoi lazima mambo mengi yatakwama, Matunda ya mafanikio ndani na nje ya uwanja ya...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
NI DAR ES SALAAM YOUNG AFRICANS KLABU BINGWA BARANI AFRIKA ( Champions' Cup 1975) NI timu nne tu Afrika nzima zilianzia second round ambazo ni CARA Brazzaville ya CONGO BRAZAVILLE AS Forces...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Na Thadei Ole Mushi. Inahitaji utulivu na kufikiri nje ya Box... Jana nimehoji hapa inakuwaje nchi ndogo kama Burundi yenye KM za mraba ambazo hazifiki hata nusu ya KM za mraba za Tabora na nchi...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
1. Al Ahly 🇪🇬 2. Wydad Casablanca 🇲🇦 3. Petro de Luanda 🇦🇴 4. CR Belouizdad 🇩🇿 5. Raja Casablanca 🇲🇦 6. Mamelodi Sundowns 🇿🇦 7. Pyramids FC 🇪🇬 8. ES Setif 🇹🇳 9. Zamalek SC 🇪🇬 10. JS Saoura 🇩🇿 11...
8 Reactions
33 Replies
4K Views
Mwogeleaji wa Tanzania, Collins Philip Saliboko akiwa katika mazoezi makali kujiandaa na mchuano wa Michezo ya Jumuiya ya Madola Jijini Birmingham. Collins, mwenye umri wa miaka 21, anaingia...
0 Reactions
0 Replies
837 Views
Timu ya soka ya Simba leo Julai 14, 2022 imeitangaza kampuni ya ubashiri ya M-Bet kuwa mdhamini wake mkuu kwa muda wa miaka mitano. Awali Simba ilikuwa ikidhaminiwa na kampuni ya ubashiri ya...
8 Reactions
137 Replies
16K Views
Klabu ya Simba katika kuendelea kujiandaa na msimu mpya wa 2022/23 leo Julai 27, 2022 imecheza mchezo wake wa tatu wa Kimataifa wa kirafiki dhidi ya Haras El Hoduod, ambapo Simba imepoteza mchezo...
9 Reactions
46 Replies
4K Views
Ugeni mkubwa katika Tukio kubwa. Karibu Kocha mkubwa Pitso Mosimane ushuhudie ukubwa wa. Timu kubwa. Kocha mkubwa atahudhuria tukio kubwa kusheherekea siku yake ya kuzaliwa.
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom