Mkimbiaji wa marathon kwa wanawake Jackline Sakilu jana alifanya kilichofanyika na mwanariadha Mtanzania mwingine John Stephen Akhwari katika mashindano ya marathon katika Michezo ya Olimpiki...
Rasmi, ramani mpya ya jiji la Dar es Salaam imezinduliwa Jana, kwa watu wa mikoani mnaosafiri kuja Dar msihangaike, fika town, pitiliza jangwani pale chukua jezi yako ya yanga then vaa anza kufata...
Kocha Zoran ameendelea kugawa dozi kwa wachezaji, huku akimkomalia Bocco, akimtaka kuchagua moja kati ya kucheza mpira na kubakishwa kambini au awafuate kina Meddie Kagere, Chris Mugalu na Taddeo...
😂 utopolo bhana Kumbe jezi zao mpya waliiga kutoka sehemu fulani ila wao kwazidisha madoido matokeo yake kututia aibu tu .. ama kweli nyuma mwiko mbele mwiko 💚💛
Watu wa Soka,
Jioni ya leo tulicheza mechi ya kirafiki na klabu ya Arusha City FC ya hapa hapa jijini Arusha, ikiwa ni sehemu ya mazoezi yetu katika kipindi hiki ambacho bado tupo kambini...
Tetesi zinasema mastraika wa kigeni wawili, Maddie Kagere na Chris Mugalu, pia kiungo Thadeo Lwanga hawajam-impress kocha zoran na kutanabaisha kabisa kuwa hawako kwenye mipango yake msimu huu na...
Hakuna mtanzania asiye shabiki wa simba/yanga kama hawapo ni wachache sana, hata hao wachambuzi wa michongo wa nchi hii wote wamegawanyika katika teams hizi mbili
Kwa mfano kitenge ni Yanga...
1. Kufanya Kazi kama Deiwaka tu na siyo kumpa Mkataba wa Kueleweka huku mkimchafua kwa Wanachama kuwa ni Mlevi wa Pombe na kwamba huwa analewa Chakari.
2. Kukataa kwa Yanga SC Kumuuza...
Ronaldo aichezea Man United, aondoka uwanjani baada ya kufanyiwa 'sub'
Cristiano Ronaldo ameichezea Manchester United mechi ya kwanza baada ya kukosekana kwa zaidi ya mwezi mmoja, pamoja na hivyo...
Hii habari ya Senzo kuachana na Utopolo ni kama hajaiona hivi, angekua ni Gonzalez katimka Simba, angepost kuanzia asubuhi hadi kesho.
Chambuzi la michongo pale mawingu fm.
Mbabani July 31,2022...
Kwenye mchezo wa golfu Kuna fundi mmoja alitawala mchezo huo Kwa kipindi kirefu sana alimarafu kama Tiger woods wazungu wanaita GOAT greatest of all time . kweny mchezo wa tennis Kuna fundi mmoja...
Na ninavyowajua hao mliowafunga hizo Goli 9 kwa 0 leo ni kwamba 95% ya Wachezaji wao ni Wabwia Unga, Bangi na Mateja na nimeshangaa kuona mmewafunga Goli hizo 9.
Tarehe 13 August,2023 mtatukoma!!!!
Kuelekea dirisha la ipo vita ya chini chini ya kuhusu Msuva kutamaniwa na Simba SC ili hali anahitajika Nyumbani “Jangwani”.
Ifahamike Simba SC walianza harakati zao mapema wakijua kumshawishi...
Hi!
Casino ninaona inalipa kuliko hata kubashiri mpira wa miguu.
Kwenye casino kuna pesa ya chap, sema haitaki tamaa. Ukija na malengo chungu mzima lazima ulizwe.
Casino ukidepose 100,000, ndani...
Huyu bondia Jana kanichekesha sana, yani maneno mengi kumbe kwenye ulingo sifuri hakuna anachojua zaidi ya kujamba tu. Ngumi kukunja hawezi anachezea za uso mwanzo mwisho. Uongozi wa masumbwi...
Wakuu mweny taarifa naomba anipatie,nijiandae nkashuhudie mtanange,maana watanzania tuna bado tunamatumain ya kufuzu.
Kufunga sku ile imetupa Iman kubwa na Tim yetu,mpaka Sasa tuna 80% za...
Huyu Selemani Kidunda kwenye ngumi za leo pale kwenye nyimbo ya taifa ametuaibisha alafu eti ni mwanajeshi,.
Jeshini embu angalieni mnavygroom watu wanatuhaibisha sio vizuri kwa kweli
Hongera...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.