Kama title inavyoonekana, Manara amesitishiwa na klabu yake mamlaka ya kuongea na vyombo vya habari akiwa mbele ya nembo za klabu na wadhamini wake.
Hii ni dalili tosha kwamba Yanga imetii amri...
Watanzania tukae mkao wa kula.
Jana usiku mkombozi wa Afrika Mashariki, AZAM TV, ilitangaza kuanza mazungumzo kwa ajili ya kuonyesha EPL na LA LIGA moja kwa moja kuja majumbani kwetu yani live...
Kihistoria tumewapiga mabao hawezi kurudisha hadi leo.
Kimataifa tumewapita karibia zaidi ya timu 80 wako nyuma yetu.
Hawana uwanja ila Simba wana Mo Arena.
Mikataba ikisainiwa mtasema tunafoji...
Binafsi niliacha kufuatilia ngumi baada ya checka na Rashid matumla kustaafu, lakini ni hivi karibuni naanza kufuatilia mchezo wa boxing kutokana na Tambo za mandonga.
Kuna vitu kidoogo...
Mimi nilidhani Jezi Mbovu na Kituko FC hii tabia yenu ya Kipuuzi na Kishamba mmeiacha kumbe bado mpo nayo?
Na bahati karibia 75% ya Wachezaji wa Transit Camp ambao ni Wajeda ( Wanajeshi ) ni...
Ayo si maneno yangu ila yao ni maneno ya FARID KUBANDA maarufu kama FID Q kwenye nyimbo yake ya BONGO HIP HOP.
kwa haraka haraka ayo maneno unaweza ukayachukulia kawaida tu ila aya maneno...
Shangwe kubwa linamsubiri nabii huyu wa logo ya utopolo fc, wakati kelele zinapigwa kwamba nembo ibadilishwe mcheza netball, mwenge na bondia watolewe kelele hizo zilipuuzwa kumbe Mungu alikuwa na...
Ujue ile billions 12 ya sportspesa imejumuisha kama watachukua ubingwa wa Afrika lakini hilo halisemwi ,wewe unaweza kuogopa ila wajuba wa jangwani/ salamander mwaka huu wamesema wanatoboa hadi...
Kama kampuni za Sportpesa, m-bet, Azam media, NBC na TBC zimetoa billion zile zote kwaajili ya kutangazwa na Simba na Yanga kwenye jezi zao je, mo na GSM kuweka matangazo yenu kwenye jezi za Simba...
Inasemekana baada ya pambano hakurudi hata hotelini; ameondoka usiku mnene bila kuaga.
Anasema uchawi umehusika alikuwa anaona mishale tu badala ya ngumi ndiyo maana kapigwa.
Anaamini yeye bado...
Ilikuwa ni lazima isubiriwe ya Mabingwa watetezi wataje yao ili walete formula yao.
Nani hakuona hili?
Cha ajabu imekuja formula ambayo haijawahi tokea duniani kote.
Yaani sponsorship deal...
Tajiri kijana mwenye hisa zake pale kwa timu bora Afrika Mashariki na namba mbili Afrika Mashariki na Kati
Na wa kumi na nne Afrika nzima na wa sabini na moja dunia nzima mbele ya Arsenal...
*Kwa wale wazee wa kubeti*
Mikeka mitatu ya leo iko tayari la kufanya ni wewe kunitumia msg *Inbox* na mimi nakutumia mikeka *Bureeeeee*[emoji395][emoji395][emoji395][emoji395][emoji395]
Tukubali tu Mo anajua biashara na ndio maana ni tajiri, wewe huna hata genge wala tuta la mchicha hapo kwako unataka kubishana nae jitafakari.
Wakati Simba inawekwa sokoni ilikuwa ni timu kubwa...
Kwa kadri ya kumbukumbu zangu na kwa kadri ya muonekano wa game ya kwanza , huyo bondia mwanajeshi wa Tanzania aitwaye Kidunda hana uwezo wa kumpiga Bondia Mkongo Katompa , hata afanye mazoezi...
Rejea kichwa cha habari. Kutokana na na uzi mpya wa Yanga kusheheni ramani za mitaa sijui na matawi huku kukiwa na picha za magofu na makaazi, imesemekana uongozi uko kwenye mazungumzo na wizara...
Mmoja ni kiprofeshino na mwingine wa chuplichupli....
Mfano wa hundi ya malipo ya sportpesa kwa Yanga
Mfano wa hundi ya malipo ya m-bet kwa simba
Nadhani hapo mmejionea nani ana mkataba wa...
Hakuna ubishi kuwa Karia ni mwana Simba na mwana coastal Union. Lakini hakuna ubishi Manara amezikera sana Simba na coastal Union msimu huu kwa matukio tofauti. Adhabu aliyopewa Haji Manara ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.