Katika hali isiyo ya kawaida hadi sasa Timu ya Simba haijazindua jezi itazotumia msimu huu....
Kupitia msemaji wa klabu "udhamini ndo sababu ya kuchelewa"
Je Simba hawakujua kuna swala la Jezi...
Ni ajabu sana timu kuwa na slogan ya kike kike.
Byut byut ni urembo urembo.
Mwaka huu mtaona aibu sana na urembo wenu
Siku mkifungwa msilaumu kuandikwa' warembo wapigwa viwili'
Wakuu habar zenu
Watalamu wa mambo ya mpira Naomba mnijuze
itikad za ushabiki wa mpira zinamahusiano gani na rangi?
Kitendo cha Barbara kutaaa kutumia mic ya njano mm naona Kama ni jambo la...
Ilipogongwa kengele katoka nduki kawa wa kwanza nikaona matumaini mwisho chali kaachwa kwa hatua kama 10 mwenyewe anapambana,hivi hawa ndo the best?
Jana mkenya kaongoza mita 100 kwa sekunde 10.1...
Zamani kiliitwa chuo cha uongozi.
Kulipotokea mapungufu yoyote,ukiukwaji wa haki za wanafunzi kulikuwa hakuna migomo au maandamano ktk chuo hicho.
Tofauti na vyuo vikuu vingine.
Wanafunzi...
Simba day is Loading, wanasimba mujiandae kwani chini ya kapet kuna shoo shoo! lakufa mtu.... Kwan Esperance... Mwaisa Watunisia wanatua kukipiga kwa mkapa!
Halafu!
Hawa Uto mbona hawana...
Katika msimu ambao mimi kama shabiki wa simba nimeridhishwa na usajili wa club yetu, tena kiufundi na kwa quality players basi ni msimu huu.Management imejitahidi sana kusajili kwa kuangalia...
Anaandika Thadei Ole Mushi
AKILI ZA TABIA YA KITROPIK HAZINA MUDA WA KUFIKIRI.
Na Thadei Ole Mushi.
Kitaalamu ipo hivi.
Akili za binadamu wanaoishi kwenye nchi zenye tabia ya nchi za Kitropik...
Kweli, asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu.
Msemo huu umemkuta Msemaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara baada ya kumtokea puani maneno ya hovyo aliyowahi kuyasema siku kadhaa nyuma...
Ni timu iliyopanda daraja lakini tayari ina wadhamini wa kutosha. Wapo Sportpesa, TBL, Maji ya Uhai, Simba Cement pamoja na GSM.
Niwape heko Singida Big Stars, hakika mnaupiga mwingi sana
Nazani ndo uwanja mzuli ukitoa Taifa na Chamanzi aliyetengeneza atafutwe atengeneze na hivi vengine hasa mkwakwani tanga Sokoine Mbeya jamuhuri dodoma Kirumba, Mwanza viwe bora ka huu wa Singida...
“Tulimpatia ratiba mapema kabla ya kujiunga alitakiwa kuifanya kwa ukamilifu lakini nimemuangalia naona Hakuifuata sawasawa ila atakuwa sawa,” Helmy Gueldich, Kocha wa viungo Yanga. [Mwanaspoti]...
Wachezaji wanatambulishwa.
Kagere ,Wawa na wachezaji wengi tu wakubwa kibao
Uwanja umejaa ,naona wanapitia hatua zile zile za wapinzani wa jadi.
Kwa hizi bwembwe na wachezaji hadi Brazil Azam...
Akiongea na Sport Arena msemaji wa Singida Big Stars kathibitisha hilo.
Wakuu mnamwonaje Kagere ndani ya Singida , ataleta usumbufu kwenye mfungaji bora?
Sasa ni rasmi Hassan Bumbuli out,pole sana ulijitahidi kukomaa ila waoi bwana
Jana kapigiwa simu na GSM kuwa aanze kukusanya virago tayari kukabidhi ofisi kwa Taji Liundi
Taji Liundi ni mbobezi...
Ma viwanja mengi yako hivyo,pitch ina afadhali,vyumba vimekarabatiwa sehemu ya kukimbilia ni pachafu vumbi kabisa
Si waweke moramu zile chengachenga zilizisagwa au wamwagie mchanga
Wakuu moja kwa moja kwenye mada'
Kwa namna ambavyo timu zinazoshiriki league ya NBC msimu ujao wa 2022/2023 zimefanya maandalizi ya usajili ya watu wa kazi, naiona league yetu inaenda kuongeza...
Watu wa Soka,
Nawaletea taarifa kuhusu Singida 𝐁𝐈𝐆 𝐃𝐀𝐘 tarehe 4/8/2022 katika Uwanja wa Liti (zamani Namfua).
Tumeamua tuwe na siku yetu maalum kama walivyofanya wenzetu Simba na Yanga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.