Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Mchezo wa soka ni miongoni mwa michezo inayokusanya watu wa itikadi tofauti kabisa , mnaweza kuwa na makandokando yenu ya kisiasa lakini mkaja kukutana kwenye soka , kwa kifupi soka ni ya...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Hakukua na umuhimu wowote ule kumfanya Mzee Kina ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa CCM kuwa Mgeni rasmi kwenye kusanyiko lenye Watu wenye itikadi tofauti za Vyama. Wamevuna walichostahili. Saafi...
3 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari za wakati huu wadau, Mapambanao yanaendelea japo nyama ngumu kila siku afadhali ya jana. Ikiwa imepita siku moja toka club ya simba kuweka hadharani dau waliloweka M–bet kwenye mkataba...
5 Reactions
44 Replies
3K Views
Kwanza nitamke wazi kuwa mimi ni shabiki wa Yanga kabla ya kuandika ninachotaka kukiandika hapa. Tukirudi kwenye mada, TFF kama shirikisho la soka hapa nchini, ni wazi limeundwa kwa mujibu wa...
2 Reactions
17 Replies
743 Views
Kwanza nawapa pole watani kwa chupli chupli nyingi klabuni kwenu. Kwakuwa changamoto ni fursa, naomba ule mzigo wa jezi zenu muulete kwangu niwasaidie kubandua nembo za mdhamini wenu wa awali ili...
3 Reactions
6 Replies
741 Views
Klabu ya Yanga imetangaza kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana, ni mgeni rasmi kwenye tamasha la wiki ya Wananchi 2022/2023 linalofanyika leo Agosti...
3 Reactions
52 Replies
3K Views
The greatest master of ceremony wa kujitegemea aliyelipwa milion 15 kusheheresha shughuli kubwa kabisa iliyojaza uwanja pomoni yaani mwananchi day iliyojaza watu 60,000 bila mapengo kuonekana...
0 Reactions
0 Replies
794 Views
Nilisema kuwa zile za Ulaya bado hazijafika. Kuna uwezekano zikatumika hizi. Hizi zitatumika hadi kwenye Ligi pia. Kila la kheri watani zangu. Maana uzi wenu ni takataka tupu. Note...
2 Reactions
3 Replies
637 Views
Kwa elimu yangu ndogo niliyoipata nchini Cuba, kabla ya siku ya mwananchi tarehe 06/08/2022 Haji Sunday Manara atakuwa yuko huru kutoka katika kifungo cha TFF. Hiyo miaka miwili aliyopigwa ni...
5 Reactions
47 Replies
4K Views
Kinye FC na wasemaji wake wanapenda kumsifia ujinga boss wao.Kutokutumia mitandao ya kijamii ni ujima sio kitu cha sifa. Mtu mwenyewe hana shule hata cha kuandika huko atakipata wapi? Utajiri wa...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Manzozi naye kajibu nakuja Simba nitakuwa mfungaji bora NBC . Wakuu wanasimba naona akija ni vizuri ila asipokuja pia poa haya mashindano ya nini,Simba na Manzoki wamepeleka malalamiko...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Nasikia ili Kutotuudhi wana Simba SC ( hasa Team Manzoki ) wanaoongozwa nami mmeamua Kuwasajili Mzungu Mserbia na Manzoki ila Kanoute anaachwa. Mkifanya hivi Mimi nanyi yataisha
0 Reactions
6 Replies
691 Views
Imebaki siku 1 pekee kwa Simba kufanya siku yao huku wakiwa hawajazindua jezi, hawajasajili nafasi za kurithi Kagere na Mugalu
1 Reactions
14 Replies
974 Views
Wachambuzi wanahoji kuhusu jezi mpya za Simba kuchelewa kutoka mpaka Simba day ikikaribia na jezi bado hazijatoka. Wakati Yanga wanaanza msimu na kucheza mechi ya ligi msimu mpya na jezi ya zamani...
2 Reactions
12 Replies
702 Views
Daah kama kichwa kilivyo hapo juu kuna mdau mmoja wa kolo fc anajitetea eti sababu ya kuchelewa kwa uzi wao ni sababu ya vita vya Ukraine vs Russian. Et jamani ni kweli nyie makolo?
-1 Reactions
1 Replies
535 Views
Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia ameipongeza Yanga kumualika Kocha mkubwa Afrika Pitso Mosimane na kwamba amesikia Simba nao wamemualika Rais wa CAF kwenye siku yao ya...
8 Reactions
17 Replies
1K Views
DUA KWA VIJANA WETU Leo Jumamosi Agosti 6, 2022 Tanzania inatupa karata zake nne za mwisho katika Michezo ya 22 ya Jumuiya ya Madola inayoendelea jijini Birmingham, Uingereza, wakati mabondia...
1 Reactions
2 Replies
433 Views
Kwanini Simba haijazindua jezi zake ikiwa zimebaki siku 4 kabla ya Siku ya Simba?
0 Reactions
50 Replies
4K Views
Naomba kujua wakuu, Simba wamebainisha Mo ana 49% Simba, GSM ana ngapi Yanga au anasaidia tu kama alivyosema mwaka juzi, kuchukua hisa ni unyonyaji.
1 Reactions
34 Replies
3K Views
Vita ya kutumia akili, kasi, uvumilivu na nguvu sasa imeshika kasi ambapo mabondia 19 wa Afrika wameingia hatua ya nusu fainali ya mashindano ya ndondi ya Michezo ya Jumuiya ya Madola, Jumamosi...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom