*Hivi umeshawahi kushuhudia CAF wakijishughulisha na mashindano ya Kagame Cup, jibu ni hapana, na sababu ni moja tu, kwamba CAF kama baba wa Mpira Afrika hawayatambui mashindano hayo.
*Hivi kwani...
Kwa muda mrefu sana katibu Mkuu wa chama cha soka amekuwa akimtumia The Voice of Voiceless kufikisha ujumbe au kile kitakacho tokea hususani katika maamuzi au kuwaanda watu kisaikoloji kinachokuja...
FT Yanga 1 - 2 Zanaco
Soka sio kipompipompi, soka sio makelele midomo mirefu..Soka ni mipango. Huu ni mwanzo tu. Nawaambia kabla ya TPL kuanza mtakuwa nje CAFCL.
Kwa wale wasiofahamu ni kwamba...
Nani kama wewe Mkuu wa Kazi, umesimama imara ktk kuhakikisha mpira wa Tanzania haujinasiwi na makanjanja ...
Katika awamu yako tumeshuhudia timu za taifa mbalimbali zikifanya vizuri, tumefuzu...
Bofya Hapa Kumsikiliza...
Njaa zinabadili upepo wa Riadha
Mwanariadha wa Mbio za uwanjani, Mita 5000 ( Track and Field) Faraja Lazaro, ameshauri wahusika wa Riadha, wawekeze kwenye mashindano ya...
Mpira umekuwa Biashara kubwa sana Duniani, ukitoa biashara ya mafuta, gas, Madini na silaha, mpira ni moja ya Biashara kubwa, ni hatari kukabidhi timu wahuni, wasio jua thamani ya dhamana...
GENTAMYCINE leo nataka niiangalie Klabu inayojua Kusajili Wachezaji wa maana, wenye Afya, wanaojitambua, wenye Uwezo na Mafundi Watupu wa Yanga SC na siyo wa Timu zingine ambazo Wachezaji wao Afya...
Habari ndugu Wana JF,
Kutokana na uchambuzi wangu, ufuatiliaji, na references mbalimbali kutoka kwa wachambuzi, vyombo vya habari imethibitika Mayele mmoja sawa na kikosi chote cha Simba + benchi...
Mdogo wangu mtangazaji, najua mmecheka sana mimi kukandwa
Naomba utambue kua kukandwa ni jambo la kawaida sana kwenye mchezo wa soka
Mdogo wangu mtangazaji, kama unadhani mchezo wa soka ni...
Habari za uhakika zinasema Haji Manara ataitwa katika kamati ya maadili kujibu ni kwa Nini alidharau maamuzi ya kamati na kwa Nini asifungiwe kutojihusisha na soka maisha
Hayawi hayawi sasa yamekuwa ile kiu ya mashabiki wa simba juu ya uzi wao mpya watakao utumia msimu huu kitendawili sasa kimeteguliwa.
Leo saa tano asubuhi jezi zitazinduliwa kaa mkao wa kula.#we...
Katika Hali isiyo ya kawaida yule msemaji wa utopolo aliyepigwa marufuku kujihusisha na mambo ya mpira ndani na nje ya nchi Kwa muda wa miaka miwili, Leo ameonekana ndani ya uwanja wa mkapa akiwa...
Mechi nne zilizopita za Kimataifa ambazo Yanga kacheza, kaishia kupoteza zote. Alianza kupoteza alipocheza na Zanaco, wote tunajua Kapumbu alivyowafanya.
Kisha wakapoteza mechi mbili za home &...
Ni kweli Engineer Hersi ni mshkaji wa Manara, lakini linapokuja swala la kutii mamlaka ya TFF na kamati zake, Taasisi yoyote ile iliyochini ya mamlaka za TFF inapaswa kuziheshimu.
Yanga kama...
Azizi Ki, Morison, Mayele, Bigirimana na Joyce wote ndani halafu tunapata matokeo sisimizi...
Usajili wakijinga sana huu sijawahi kuona hata sijui nitarudi vipi nyumbani leo
Ifike wakati tuseme Yanga ni zawadi iliyoshushwa na Mungu kwa soka la nchi hii, kuna vi team vingine vijifunze jinsi ya kuendesha soka kwa weledi jamani
Wapiga majungu mlichooonga sana eti leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.