Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Simba wapo wengi sana mitandaoni kuliko yanga,wakifanya siasa za mpira. Je hii inasaidia nini?
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Unapo deal na simba na yanga kuwa makini uwe Afsa wa serikali au uwe sijui rais wa TFF mwisho wako hautakuwa mzuri. Angalia historia ya yanga ilipotoka fatilia vizuri upatikanaji wa uhuru wa...
7 Reactions
45 Replies
3K Views
Haya Haya Yanga yetu ! Tulishawahi kusema huko nyuma, Yanga haijawahi kupata Majaribu, ijapokuwa Yanga imechukua makombe kama yote msimu ulippita, lakini ukweli ni kwamba Ubora wa Yanga...
11 Reactions
32 Replies
2K Views
Manara, Hersi Wafunguliwa Mashitaka ya kimaadili na Sekretarieti ya TFF
25 Reactions
368 Replies
20K Views
Tangu conte atue spurs kaenda kubadilisha sana Ile timu mim nlibatika kuangalia michezo mingi sana ya spurs msimu uliomaliza hasa game za mzunguko wa pili livepoor anakumbuka alichofanyiwa pale...
5 Reactions
19 Replies
1K Views
Nimefurahi pia Kusikia kuwa mmeachana rasmi na Yule Mganga wetu wa Kisiwani Zanzibar ambaye Kiukweli alitusaidia mno ndani ya ile Miaka Minne mfululizo ya kuwa Mabingwa, ila mwaka jana ( Msimu )...
1 Reactions
4 Replies
569 Views
Kwa sasa ni wazi Upepo unavuma vibaya upande wa Yanga hasa nje ya uwanja. Km TFF itamuadhibu Injinia Hersi bila shaka Yanga nao watatafuta namna ya ku-retaliate.Kamwe hawatakaa kimya. Ndio tabia...
0 Reactions
10 Replies
922 Views
Kuna mambo yanaendelea kimya kimya yanaweza yasiwafurahishe mashabiki wa simba lakini Mpira ni pesa na pesa ni sabuni ya roho,,tujipe muda
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Haya njooni tuchambue, nani ameua zaidi?
0 Reactions
70 Replies
5K Views
Wanaenda kwenye sherehe ya Simba day wakiwa na hofu na tar 13/8
0 Reactions
7 Replies
515 Views
Haya wale Team Manzoki Wenzangu baneni sasa 'P' zenu Ili huyo Mchezaji atakayetangazwa na Simba SC dakika Moja tu kutoka sasa ( yaani Saa 9 Alasiri ) hii awe ni Manzoki. Kila la Kheri.
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Please please naomba iwe ni Manzoki kwa kweli naomba iwe hivyo ,huyo mzungu hata kama ni mkali itamchukua muda sana kuendana na ujinga wetu wa ki afrika please naomba iwe...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Kuna msimu yanga kila mechi walikuwa na jezi yake yaani mpaka msimu unaisha haijulikani jezi rasmi ni ipi,na sio mbali ni kama miaka mitatu au minne tu hivi,simba tukawafundisha ustaarabu. Ghafla...
0 Reactions
0 Replies
613 Views
Nianze kwa ku declare interest, sijawahi kuwa shabiki wa soka la wanawake hata kidogo. Nilipokuwa mtoto mdogo nilikuwa nikiona wanawake wanacheza mpira nilikuwa nawaonea huruma kwa sababu...
0 Reactions
2 Replies
683 Views
Huu ni ubaguzi wa rangi tunaoufanya wenyewe kwenye subconcious mind zetu. Tuamke, tusirudie tena. Watz wengi ni kama Wasira au Martin Kadinda.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
NALIONA KOSA LINGINE KWENYE SAJILI ZINAZOENDELEA NDANI YA SIMBA.  Nimesikitishwa Sana na Usajili wa Simba uliofanyika siku ya Leo. Watu wote tukiamini kwamba hii ndio sehemu uliyoigharimu Simba...
3 Reactions
43 Replies
2K Views
Kama kawaida epl imeanza ,..! Mshambuliaji kutoka Norway ambaye anakipiga katika club ya Manchester city ameanza kwa kutupia magoli mawili dhidi ya team ngumu ueingereza westham,huku akiwaziba...
3 Reactions
0 Replies
692 Views
Nimeangalia jezi zao zote naona ni za akina Mobeto na Paula. Ntashangaa kukutana na dume zima limevaa.Aibuu tu![emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji15]
2 Reactions
37 Replies
2K Views
Inavyoonesha Kuna mtu amemkamia sana manara ,angalia barua ya tff muda iliyoanza kusambaa,inaonekana imeandikwa Saa Moja asubuhi au Jana ileile usiku, swali ni saangapi wamekaa na kupitia tukio...
7 Reactions
23 Replies
3K Views
Aibu ya Jana inadhihirisha kuwa lig yetu imeshuka kiwanga na pia inatawaliwa na rushwa,kitendo Cha waamuz wetu kupewa hongo ili waipe Yanga ushindi ndio kimefanya watanzania tuzalilike hapo Jana...
2 Reactions
33 Replies
2K Views
Back
Top Bottom