Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Na je waliocheza leo wa nje wako wangapi!?? Msaada wadau kuna kitu nataka hitimisha.. maana TZ nafikiri akili zetu nyeusi sanaa... Mods please!
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Timu ina mdomo sana,jana imekomeshwa. Magoli yote ya aibu, sekunde ya 30 ikapigwa cha kuku chwiiiiiiiii. Kipindi cha pili ikanyunyizwa kona goli. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
13 Reactions
28 Replies
1K Views
Oh asante sana aisee , I hope kijana wetu Dejan anatumia hii Vlach magic ya huko nchini kwao unaambiwa ni uchawi hatari hata voodoo ya wa benin na wa haiti inasubiri Sasa ajaribu kinyago yoyote...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Tukianza kuwaita utapu utapu msishangae maana ndio ninyi mnajibatiza
1 Reactions
5 Replies
462 Views
Mwanitesa united a.k.a manyua au maarafu kama man utd imekumbana na kitu kizito kichwani leo hii baada ya kulwamba magoli 2-1 hi timu ni mbovu mnoo inaleta stress, inaleta magonjwa ya moyo kila...
0 Reactions
2 Replies
529 Views
Ni wajinga na wapuuzi wanaweza kuamini kuwa mikwara ta barua yenu inaweza kuzaa matunda. Kabla Haji Manara hajaalikwa kama MC wa kisherehesha Wiki Ya Wananchi walikaa mezani na waasheria wao...
5 Reactions
23 Replies
1K Views
Ukifatilia mtililiko wa matukio wa timu ya yanga,toka Eng Hersi Said awe pale kama mwenyekiti wa kamati ya mashindano na sasa ndie Rais wa yanga,unaona kabisa anakosa kabisa sifa na hana sifa za...
4 Reactions
4 Replies
1K Views
  • Poll Poll
Piga kura yako...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wajumbe mnajua kabisa Yanga ni timu isiyofahamika Africa ila Tanzania ndo inajulikana sana na wanajiita Mabingwa wa khistoria.... kiukweli Vipers wangefurahi sana kucheza na Simba SC Tanzania na...
3 Reactions
3 Replies
735 Views
Huyu jamaa ni genius sana halafu si kala bachelor degree ya sheria juzijuzi tu? hii nchi ina wasomi wakali sana wa sheria
8 Reactions
43 Replies
3K Views
Ni muda muafaka wa kumuonyesha Wallace karia kuwa Ligi ya Tanzania ni Simba na Yanga tu, Wengine wote ni mbwembwe tu Karia anahujumiwa na watu wake wa chini kama akina Clifford Ukiwa Bosi...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Kiutani GENTAMYCINE nawacheka mno Yanga SC na nimefurahi sana kwa Kufungwa Kwako ki 'Beauty Beauty' Goli ( Bao ) Mbili za Vipers FC ila tukiondoa Utani Wetu wa Simba na Yanga kwa ninavyowajua...
12 Reactions
66 Replies
8K Views
Mara uzembe, hakujua kama sponsor anabadilishwa? jezi kweli zimechelewa lakini ni nani alijua kwamba tangu wakiwa Misri video/photoshoot za wachezaji zilifanyika kule? Laiti kama Sope Takadini...
5 Reactions
18 Replies
1K Views
Nimesikia hii habari ikitolewa na Mtangazaji wa E-FM, Abdulrazack Maji akisema jana aliona mageti hakifunguliwa ili mashabiki waingie bure Hii ni AIBUUUUU
2 Reactions
9 Replies
698 Views
Klabu ya Manchester United imeanza mazungumzo na Bayern Munich kwa nia ya kumsajili winga wa timu hiyo, Leroy Sane. Sane bado ana mkataba wa miaka mitatu na Bayern Munich ambayo taarifa kutoka...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tukio lililotokezea hivi karibuni kwa Mmilikiwa Club ya Napoli nchini Italia kuzungumzia kuwa kwa sasa hatapendelea tena kusajili wachezaji kutoka Africa kwa sababu ya kuwa wamekua wakim cost sana...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Nachojua mm manara kaja pale kama mc wa shughuli tu, na mechi ya Leo sio ya tff ni yanga wanasherehekea na kutambulisha wachezaji wao ,,hivyo hii mechi tff haiwahusu nachojua manara baada ya...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Poor rational thinking, mhandisi kahawa na mwanasheria kishoka. Tunakabidhi timu kwa watu tunaoamini ni wasomi na wenye kusimamia maadili halafu matokeo yake unashindwa kusimamia na utaratibu na...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Kwa kweli tumehuzunishwa sana na kauli ya Morrison tena mbele ya Jukwaa la Wiki ya Mwananchi. Kutuumbua kwa kusema hatuelewi anachoogea
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Hongereni Makolo. Naona Uzi ni mkali. Ila bado hamjafikiaa level za. ubunifu za Mabingwa wa mara zote wa LigiKUU Tanzania Bara.
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Back
Top Bottom