Habari za weekend wakuu,
Mashabiki wa yanga poleni sana ndo mpira na wale wa simba msishangilie sana maana kesho lolote linaweza kutokea pale taifa mungu atupe afya njema tufike tushuhudie siku...
Episodes za sope takadini zinaendelea, ama kwa hakika ni burudani juu ya burudani,msione watu wana mafuvu jamani mengine hayajahifadhi akili, ni makasha ya kuhifadhia meno ambayo kwa bahati mbaya...
"Tunaomba sababu ni kwanini katika Tamasha letu la Citizens Beauty Beauty Day hakuna hata Kiongozi Mmoja wa TFF aliyekuja. TFF inatunyanyasa mno na ina Chuki na Sisi" wamesema Wasio na Akili FC...
Haya haya mambo ni mengi muda ni mchache caf champions league hatua ya awali itafanyika mapema mwezi huu.
Ikumbukwe kuwa Yanga sc ni miongoni mwa timu zitajazoanzia hatua ya awali, huku Azam...
Kama majitu yanaweza kuhesabia ngao ya hisani kwamba ni kombe na wanasema wameshinda treble watshindwa nini kuongea uongo mkubwa zaidi?
NYIE WAJINGA, JOSEPH OMOG KOCHA WA ZAMANI WA SIMBA, AZAM NA...
Tulifanya maombi ya nguvu kuombea njaa Orlando pirates, Etoile du sahel zifeli na against all odds zikafeli mambo yakatarajiwa kwamba simba itaingia kwenye favour ya zile teams 10 kuanzia round ya...
Ni watu gani wanaweza kuitwa na kamati ya TFF? Hivi kwa sasa Haji Manara kimpira si raia wa kawaida? Raia wa kawaida anaweza hukumiwa na kamati ya maadili ya TFF?
Wadau Kama mnavyojua ligi mbalimbali zimeanza na Kama kawaida yetu wazee wakubeti niwakati wetu wakumpiga mhindi. Sasa nahitaji kampuni ambalo Lina mabonasi kibao na maods makubwa nimepita huko...
Shirikisho la soka hapa nchini almaarufu kama TFF linaratibu, kuongoza na kusimamia soka ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. CAF ni kwa Afrika nzima na FIFA ni kwa dunia. TFF inatekeleza...
TFF na bodi ya ligi wanajificha kwenye kanuni na vijisheria kandamizi. kutisha na kufungia fungia watu hovyo., Hawajui demokrasia na uhuru wa maoni. Siraha Yao ipo kwenye kanuni na fungia fungia...
Klabu ya Simba imetuma maombi kwa Rais wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), Patrice Motsepe kuwa mgeni rasmi katika Tamasha la Simba Day ambapo wanatarajiwa kucheza dhidi ya Saint George ya...
Kitengo cha Habari na Mawasiliano cha Klabu ya Simba kimelalamikiwa kwa kitendo chake cha ubaguzi na kutoa kauli chafu dhidi ya wanahabari kitendo kilitafsiriwa kuwa ni ukandamizaji wa tasnia ya...
Kwa hali ilivyo kuwa siku ya jana katika ununuzi wa jezi za club ya Simba katika Maduka ya mfanyabiashara Fredy Vunja bei hakika haikuwa sawa, likely kuke kulikuwa ni kusababisha majanga ...
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), Dk.Patrice Motsepe amewasili leo Jijini Arusha, Tanzania na kupokelewa na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia...
Fraga mpaka Bange alishaanza Kuvuta na alikuwa anafika ( anagongana ) na Kukichafua huku Ukijipendekeza unakula ama Ndole au Kipepsi na Kutulia hadi akawa anaogopwa na Wachezaji wa Timu Pinzani...
Manchester United imeanza vibaya msimu mpya wa Premier League 2022/23 baada ya kufungwa magoli 2-1 katika mchezo dhidi ya Brighton kwenye Uwanja wa Old Trafford, leo Agosti 7, 2022.
Mchezo huo ni...
Hii ni siri ambayo watu wengi watakataa nafikiri kwasababu ya imani zao tofauti
Ila huu ndo ukweli halisi kabisa
Yanga mkitaka kufika mbali kwenye michuano ya kimataifa fanyeni hivi.
Wekeni timu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.