Utopolo mchezaji WENU kweli aliwahi kubahatika kupita kwenye klabu ya Newcastle united ya ligi kuu England kwenye miaka ya 2012 huko ila kwa Newcastle Ile ya miaka 2012 isingekuwa rahisi kupata...
Kwa mara ya kwanza katika historia yake, Mkutano Mkuu wa CAF umefadhiliwa kikamilifu na Serikali ya Tanzania, jambo ambalo halijawahi kutokea hapo nyuma.
Taarifa zinasema Shirikisho la Soka...
Haki ya kukata rufaa kupinga hukumu ni ya mshitakiwa (mhukumiwa).
Hatua hiyo ina taratibu zake, mojawapo ni kumpatia mhukumiwa nakala ya hukumu pamoja na mwenendo wa kesi
Haji Manara anadai kuwa...
Eti wadau ukipigwa marufuku kula nyama kwa miaka miwili halafu ukaamua kuinyonya, kuilamba na kunywa mchuzi wake utakuwa umevunja kanuni?
Case study Haji manara! Sikio la kufa!
Kaonekana...
Kwa bahati nzuri Mungu alinijalia kuipenda soka bila mahaba ya timu za Kariakoo. Utashangaa nimewezaje lakini kwangu halikuwa Jambo kubwa kuamua zaidi ya kuupenda mpira wa miguu na kuufuatlia...
Tafakuri Jadidi:
Je, Tudhani Ni Sahihi Inapokuja Ushabiki Wa Simba Na Yanga Hata Watanzania Wenye Digrii Zao Kugeuka Kuwa Wapumbavu Tu…?!
Ninaposoma hoja za mitandaoni inapohusu Simba na Yanga...
SIMBA INAWEZA KUANZIA PRELIMINARY SIYO LAZIMA TIMU 10 ZIANZIE FIRST ROUND
Caf Champions League inatakiwa kuhusisha timu zisizozidi 68
Caf ina wanachama 56 (Japo Afrika ina nchi 54) katika hao...
Wakuu, Adv.Imani Madega Wakili Mkongwe na Mwenyekiti wa YANGA Kipindi Hicho Alimshitaki Yusuf Manji Mdhamini wa YANGA Kipindi Hicho.
Kwa Kile Alichodai Kwamba Katika Sherehe ya Kufungua Tawi la...
Jamaa ana nguvu ya kuvuta watu na kuwaweka nyuma ni watu wachache sanaa wanaobarikiwa nahii nguvu ambayo mungu huwapa ukiachilia Yesu Kristu, mtume Muhamad, Haji Manara, John Pombe Magufuli...
Watu wa Soka,
Sisi ni wasikivu.
Tumeamua tukio la BIG DAY lirushwe LIVE kupitia @azamtvtz ili wadau wote na mashabiki wetu watakaoshindwa kufika uwanjani, waweze kushuhudia burudani zote popote...
Imetafsiriwa kutoka katika gazeti la RS.
WAKATI mpira wa wavu ukishika kasi miongoni mwa wachezaji wa kike wa Kashmir, baadhi yao wamejitokeza na kujifunza kwa juhudi kubwa mchezo huo
Katika...
Author Insha Latief Khan
With hands joining tight, a player with all her strength throws volleyball to her opponent on the other side of the net. The opponent retaliates back with the same force...
Naulizia kwa yeyote anaejua ni kisimbuzi gani kinaonesha ligi ya ufaransa naomba anisaidie please pamoja na details za hicho kisimbuzi including malipo yake ya bundle na gharama ya kisimbuzi plus...
Uzi huu ni maalumu kwaajili ya kupeana update ya mashindano ya vilabu barani Africa ( Klabu bingwa na Shirikisho Africa)
Tanzania tukiwa tunawakilishwa na vilabu vinne ambsvyo ni Yanga, Simba...
Naam Bugga Buggati limefanikisha kuhamishia matatizo yake kwenye taasisi, baada ya Barbara kukataa ujinga wake huo haswa pale aliposema mashabiki wa yanga wasiingie kwenye mechi za kimataifa za...
CAF wametoa list ya timu zitakazoshiriki michuano ya klabu bingwa na Shirikisho Africa. Pia wametoa orodha ya timu zitakazoanzia hatua ya awali na zitakazoanzia hatua ya pili kwenye michuano yote...
Imekuwa ni mazoea/tabia kwa baadhi ya watu wanapotaka kujenga hoja ya kusifia/kupongeza/kutetea mojawapo ya hizi timu wanatanguliza huo msemo.
Ni kwanini eti?
Nilishangaa Sana simba kwenda kuwaalika st.george ya ethiopia kucheza nao, kweli wamechagua timu ya kupata matokeo hili kuwafurahisha mashabiki wao lakini kama ni kipimo cha kujiandaa kucheza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.