Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Nimeona kuna chuki na makasiriko ya hali ya juu sana kwa wanasimba kuona timu mabingwa wa nchi mara nyingi zaidi yao wanashiriki ligi ya super cup.... haya makasiriko ni vp tena 😂😂
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Huyu mwamba alitubariki album bora zaidi ya utambulisho wa wachezaji kuwahi kutokea tangu matamasha haya ya michezo yaanzishwe nchini. upande wangu nilivutiwa zaidi na tracks zifuatazo ktk album...
0 Reactions
4 Replies
743 Views
League hii kwa hapa Tanzania inawalishwa na simba. Tunaitakia Simba mafanikio mema.
0 Reactions
5 Replies
522 Views
Beki wa Manchester City Benjamin Mendy amekana shitaka jingine la ubakaji. Mendy mwenye miaka 28 alishtakiwa kwa makosa saba ya ubakaji, shtaka moja la unyanyasaji wa kijinsia na shtaka moja la...
0 Reactions
3 Replies
683 Views
Mchakato wa Manchester United kumsajili Adrien Rabiot kutoka Juventus kwa Paundi Milioni 15 (Tsh Bilioni 42) lipo mbioni kukwama kutokana na kutokubaliana kuhusu mshahara. Veronique Rabiot, mama...
0 Reactions
0 Replies
597 Views
kwani clouds fm hamjui kwamba congo hawapo cecafa? Mazungumzo mengii mnazitaja mazembe na as vita, kwani nyie ni vilaza? Hapa teams nane zitatoka south africa, sudan, ethiopia,zambia,angola...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Naona kuna watu wasioelewa kwanini Simba ipo kwenye timu 10 ambazo hazitoanzia hatua ya awali. Wengi wao wanasema kwavile Simba ipo kwenye kumi bora Africa ndio maana wamepata hiyo nafasi. Usahihi...
1 Reactions
19 Replies
4K Views
Draw ya club bingwa Africa tayari . Zalan vs Yanga; Mshindi wa mechi hii atacheza na mshindi wa mechi ya St George ya Ethiopia dhidi ya Al Hilal ya Sudan Big Bullets against Simba; Mshindi wa...
13 Reactions
138 Replies
15K Views
Jeneza la simba day lamfungisha virango meneja wa uwanja wa benjamin mkapa godon msajigwa. ===== Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imemwondoa Meneja wa Uwanja wa Benjamin Mkapa, Gordon...
4 Reactions
68 Replies
8K Views
Asalalaleeee nilijua Sope bin takadin ndoa yake na yanga imefikia patamu kama pwagu na pwaguzi pale walipoyabeba matusi yake kwa karia kuwa ya taasisi lakini sikujua kama ana mamlaka makubwa...
1 Reactions
47 Replies
3K Views
Watu wa Soka, Nina salamu maalum kwa mashabiki, wapenzi na wadau wa Singida Big Stars. Naomba niwafahamishe tu kuwa taarifa zinazoendelea mitandaoni kuhusu Winga wetu Dario Frederico sio za...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Wakuu kwa yeyote mwenye kufahamu sababu iliyofanya Azam Fc kuwa timu pekee kutoka ukanda huu wa Afrika mashariki kuanzia round ya kwanza kombe la shirikisho, ilhali hata Simba ambaye wachambuzi...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wadau hii nimeipata mahala nimeona ina make sense. Kuhusu uwepo wa mashindano ya CAF Super league yatakayoanza mwakani 2023. CAF watachagua timu tatu kutoka kanda zake tano kuwakilisha kwenye...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hii hapa chini ni rekodi ya timu itayayocheza na simba. Naomba tujadiliane vizuri kwa taarifa za uhakika. Tuache michambo na matusi yasiyo na tija.
4 Reactions
53 Replies
7K Views
Yule Micky JR kawadanganya watu, CAF wamepost rasmi. Angalieni hapa Mchezaji wa Yanga ni yupi?
5 Reactions
36 Replies
3K Views
Sisi yanga tupo sawa sawa na Vladimir Poutine. Hatuna shobo kama wenzetu Yaani wao kualikwa kwenye kikao cha caf apo jana imekuwa story kubwa sijui simba kubwa sijui simba hivi. Sijui yanga ni...
4 Reactions
13 Replies
770 Views
Bado sijaelewa hili jambo , ilidaiwa Manara kafungiwa asishiriki shughuli za Soka za ndani na nje ya nchi kwa miaka miwili , sasa leo kaonekana kwenye tamasha la Yanga , KWA KISINGIZIO CHA MC WA...
19 Reactions
112 Replies
6K Views
Jamani wananchi, uongozi umeshasema tuiheshimu TFF na Serikali, ikiwa ni pamoja na kuwa watulivu kwa maamuzi yoyote yanayotolewa na mamlaka hizo za juu
5 Reactions
36 Replies
3K Views
Rais wa Shirikisho la Soka Afrika Patrice Motsepe, ametangaza kuanza kwa African Super League ambayo itakua na zawadi ya Tsh. Bilioni 233.2 Ni utekelezaji wa pendekezo la Rais wa FIFA, Gianni...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
Back
Top Bottom