Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

UONGOZI wa Yanga umetoa kauli juu ya kutoalikwa katika Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), bado hawajajua sababu za kutopewa mualiko. Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu wa Yanga wakili Simon...
2 Reactions
43 Replies
4K Views
Aisee nilikuwa Yanga makao makuu pale ,huwa naenda kusikiliza stori za klabu yangu pendwa Yanga, pale nakutanaga na wazee kina mzee was Moro, mzee mpili, n.k Sasa kuna daftari lipo pale UKIFIKA...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wakuu, Kuipata First eleven ya Simba ni pasua Kichwa. Kichwa kinauma, uanze na nani, nani umuweke wapi nk. Kwa Ufundi kabisa, ningepata nafasi ya kuchagua kikosi ama kulishauri benchi...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Badaa ya sakata la super leauge kushindwa kufuluka barani ulaya mashibiki na mashirikisho ya soka ya vilabu barani ulaya vilivyokuwa vinataka kushiriki hii michuano Kukutana nazahama la kutishiwa...
5 Reactions
28 Replies
3K Views
Hivi karibuni sakata la kufungiwa kwa Msemaji wa klabu ya Yanga, Haji Sande Manara "Bugati" limeshika kasi katika tasnia ya michezo nchini, lakini mtiriko wa matukio ya kuichafua tasnia ya soka...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Nimeona Simba wakiendelea na mazoezi yao pale bunju huku wakiruhusu mashabiki kujazana uwanjani, kule Avic Town kigamboni Yanga wamezuia habari hiyo ya mashabiki kuingia uwanjani.Mechi za Simba na...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Salaam kwenu, Kama swali linavyouliza. Inawezekana rais wa TFF kumiliki timu yaligi kuu akiwa madarakani? Kama inawezekana sitakuwa nabswali lingine, kama haiwezekani nina swali lifuatalo...
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Akizungumza Jana kwenye mkutano wa CAF Jijini Arusha, aliyekuwa CEO wa Klabu ya Yanga African Senzo Mbatha, amesema kuwa katika maisha yake ya soka nchini Tanzania, amejifunza kufanya kazi katika...
11 Reactions
47 Replies
3K Views
Klabu ya Paris Saint-Germain imeanza mazungumzo na Manchester United kwa nia ya kumsajili mshambuliaji wa timu hiyo, Marcus Rashford. Licha ya taarifa hizo inadaiwa kuwa Rashford mwenyewe ana...
0 Reactions
0 Replies
690 Views
Kiukweli, sioni namna yoyote Yanga anaweza kuzuia kipigo kutoka kwa Simba, najua ss hv wiki nzima hii majina ya chama, okrah, sakho, banda, Okwa, Phiri, Dejan na wengine kadhaa yashaandikwa kwa...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Mzigo umekuja na Meli na siyo kwa Bung'o ( Ndege ) kama ambavyo Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally anavyotudanganya. Ukweli ni kwamba Kit Supplier wetu Fred Ngajilo 'Vunja Bei' alikuwa na Ukaribu wa...
29 Reactions
140 Replies
12K Views
Tathimini yangu kutokana na ukongwe wa uchambuzi kutoka hapa ...mbeya (green city) Tathimini kwa simba ( wakimataifa) Tamasha la Simba day limekua Bora kuliko matamasha yote yaliyowahi kufanyika...
6 Reactions
87 Replies
8K Views
Chama ni mchezaji mzuri sana wala nisiwe mnafiq.... Ni bonge la mchezaji yaani huyu bwana kama unataka kujifunza kucheza mpira si vizuri kumwangalia. Anaweza kukudanganya ukaona mpira ni mchezo...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Wanachokitafuta Yanga SC ( tena kwa Makusudi ) kwa Kushauriwa na Washauri Majuha ni kutaka Kujiunganisha Wao kama Klabu katika Kesi ya Mhamasishaji wao Haji Manara ili wakianza Kuikabili Kisheria...
7 Reactions
41 Replies
6K Views
Bonus Kocha kabla ya kuja Yanga alikuwa Al Merrick Sudan, ambapo mechi 2 za mwisho Simba 3-0 Merrick Merick 0- 0 Simba Dokezo Hiyo Somalia ni under 20 My Take Kukosoa huwezi labda uropoke
7 Reactions
28 Replies
2K Views
"Nimeshaongea sana na hivi vilabu kuwa vifanye vizuri michuano ya Kimataifa ya CAF". "Nasisitiza wazingatie taaluma zaidi, waachane na mambo ya kijingajinga, mambo ya ukandokando wahakikishe...
11 Reactions
82 Replies
5K Views
Golini akae 1. Kakolanya, 4. Quaatara 5. Inonga 2. Kapombe. 3. Tshabalala, 6. Mkude, 7. Sacko,. 8. V. Ackpan. 11. Okrah, 10. Chama...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Simba yakutana na malalamiko kutoka kwa chama cha wenye ualbino Tanzania.
0 Reactions
3 Replies
687 Views
Ni ligi ambayo ulaya waliikataa na ikashindikana kule,sasa hawa wakubwa wa Fifa wameileta huku Afrika kwakua bara hili kwa kiasi kikubwa linakabiliwa na uchumi mbovu na njaa,haraka haraka...
3 Reactions
61 Replies
4K Views
Mimi ni mzalaendo wa michezo Tanzania, nataka nijue siku ya hii mechi muhimu. Karibuni
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Back
Top Bottom