Naona kana kwamba unapitia wakati ulio mgumu.
Hongereni yanga kwa ushindi wa kishindo.
Henu fikiria
Simba chali
Man u chali
Mkeka umechanwa na hizo timu huku wewe ukiwa ni shabiki kindakindaki
Habar Wana jamvi,
Niende kwenye mada moja kwa moja wiki iliyopita jezi za Simba zilizinduliwa ila baadhi ya watu tulikosa Na walisema baada ya siku mbili Sasa jamani nauliza VP zimekuja Tena kwa...
Jesus Moloko ana sifa kuu mbili.
1. Ni winga mwenye mbio.
2. Ana kismati sana.
Kasi ya Yanga kipindi cha pili Moloko amechangia kwa kiasi kikubwa sana.
Timu zimesajilli wachezaji wapya wa kigeni ni Bora preseason Yao ikawa kwenye hali ya hewa na viwanja ambavyo mashindano yatafanyika. Aziz Ki kumpekeka preseason Egypt wakati mechi yake ya kwanza...
Jose Mourinho yuko mbioni kujiunga na klabu ya Manchester United pale msimu wa majira ya joto utakapowadia, baada ya kukaa nje ya soka kwa muda kutokana na kutimuliwa kunako klabu ya Chelsea...
Bila shaka msimu huu anachukua utopolo tena, Mpira ni science sio sifa sifa na kuleta makocha wabovu.
Yanga wako compact sana na wameongeza watu wachache, hivi game Kama hii unamuanzisha Mwenda...
Mzuka wanajamvi!
Hadi Sasa hivi navyoandika huu uzi Mani ishachapwa 4-0 na vibonde Brentford na ni dakika ya 87, Tatizo Nini? Inasikitisha Sana na wachezaji wao wanalipwa mishahara mikubwa Sana...
Yani unakuta wanasimba wasiojua mpira wanaponda kiwango cha Mzungu Kuna cha kujiuliza hapa kabla ya kumshambulia kuwa hajui
01/ Mchezaji anaingia wakati team iko katika Hali ya kuelemewa kimchezo...
sijajua ni uzembe wa meneja wa team, team haina watu wa security au makocha wazungu ndiyo pendeleo lao ama nini lakini hili la mashabiki kuangalia mazoezi ya simba linafikirisha sana.
Ni ujeuri...
Huyu mchezaji ni wa kawaida mno .sijui kwann yupo simba ?? Nani kamsajili yule jamaaa hata mimi sina mazoezi lakini haniwezi.chakusikitisha phiri hata bench hayupo .kingine cha hovyo ni kumtoa...
Ndugu zangu Wana Simba nahisi performance ya Timu yetu tumeiona na hapa nawahakikishieni kama itaendelea hivi tusitegemee ubingwa wa ligi kuu.
Ukiangalia usajili uliofanyika naona hakuna...
Mambo yanazidi kuwa magumu kwa Manchester United, ndivyo ilivyo kwa kocha mpya wa timu hiyo, Erik ten Hag, ni baada ya kukubali kichapo cha magoli 4-0 dhidi ya Brentford, leo Agosti 13, 2022.
Huo...
Wakuu ni kwa mara ya kwanza nataka kwenda kuangalia mechi ya Simba na Yanga taifa na, sijawahi kabisa kuangalia mechi hapo, so ningeomba kupata experience juu ya
1. Natoka mkoani, jinsi ya...
Watu wa Soka,
Salamu kutoka Singida Big Stars.
Ratiba ya Ligi Kuu imeshatoka na mechi yetu ya kwanza tumepangiwa kucheza uwanja wa nyumbani na Wajelajela Tanzania Prisons siku ya Jumanne Agosti...
Yanga wametangaza kazi sehemu mbalimbali lakini mpaka uwe na kadi ya uanachama.
Kazi za Professional mpaka uwe na kadi???! Eg. Daktari kuna ulazima gani awe na kadi!
Habari wakuu
Ni wazi eneo la kiungo la simba lina shida kubwa hasa namba6 ambayo kwa msimu huu anacheza zaidi Mkude kutokana na TL kupata majeraha,japo amerejea ila hana match fitness ya...
Moja ya Sheria ni idadi ya squad. Na idadi ya sub ambayo pia iliishaanza kutumika.
Kikubwa Sana ni faulo ya kushika Mpira. Hand to ball Ball to hand.
Ule Mpira bana wameweka mavitu. Referees...
Kwanza tambueni mm ni mkongwe sana wa gemu za Simba vs yanga, nimeanza kwenda uwanjan miaka ile ya Derby ya Sigara na Pilsner, Simba na Nyota Nyekundu ya Roster Ndunguru, Simba ile ya akina Itutu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.