Heko kwa Msemaji Ahmed Ally amejitahidi, ila kwa Siku zijazo awe na back up ya Mtu mwingine Maarufu, Mchangamshaji na mwenye Sauti ya Juu ya Kimatukio.
Golikipa Beno David Kakolanya ameimarika na...
Million 400 kitu gani kwa wanamsimbazi kindakindaki?
SSC tunahitaji striker anayejua soka la kiafrica kiundani, Manzoki ni mshambuliaji anayestahil kucheza SSC bila kupepesa macho
Tunajua yakuwa...
Nimeangalia mchezo kati ya Simba na St George, kiwango kilichoonyeshwa na mchezaji Dejan toka Serbia ni cha kawaida sana, ni bora mara mia ya Kagere au Mugalu. Kwa kweli hapa tumeuziwa rangi sio...
Mechi imekwisha, Simba imekufa 1-2 dhidi ya Yanga,
Kiukweli inàuma mechi tano mfululizo za derby Simba hajashinda hata moja, huku akipokea vipigo vitatu na droo mbili(tena zilizokua na faida kwa...
Kufungwa kwa Simba katika Derby ya jana ni makosa ya wazi yaliyofanywa na Kocha Maki Zoran.
Aelewe tu kwamba wana Simba ni heri tufungwe na Namungo kuliko kufungwa na Yanga. Namungo wakitufunga...
Huu mpira anaoupiga Mayele sio wa Afrika hii. Kuna namna Yanga wamefanya. Haiwezekani mchezaji hatari kama Mayele achezee timu hizi za Kitanzania.
CAF na TFF waimulike Yanga na ikiwezekana...
Hivi wakuu huyu mtu pale Simba ana faida gani, maana muda wote aliokaa pale Simba makosa ya wachezaji wetu ni yale yale au makocha hawamuelewi na kama hawamuelewi kwanini yupo kwenye hiyo nafasi...
Huu ni mpira inabidi uwe fair na haki za binadamu zizingatiwe na hata FIFA wanahimiza sana.
Cha ajabu Klabu ya Yanga inajiona ipo juu ya sheria na kufanya kinyume, Inonga baada ya mechi alikuwa...
Simba niliwaambia kuleta kocha mzungu ni upumbavu usiomithilika
Wapi Moses Phiri unamweka Kiyombo na Boko kweli?
Ninyi viongozi bado mnafanya maskhara kama ya mwaka jana?
It goes with words,it comes with karma
Maneno huumba, manchester united kujiita shetani waliingia choo cha kike ni kitu kibaya sana hawatainuka tena mpaka waende kanisani wakatubu na kubadilisha...
Karibuni sana wachimba madini, team letu ni la kisasa na la kizungu halina mambo ya kizamani yale ya kiswahili eti kufanya mazoezi kwa kjifichaficha
Karibuni sana Mo arena kuanzia kesho jumatatu...
Mhamasishaji Mkuu Mstaafu wa Taifa Stars Mh Makonda hajasikika akihamasisha lolote kwenye mechi ya Tunisia na Stars, kulikoni? Ni nani alimvua uhamasishaji huu na ni lini na Kwanini?
Mwanamichezo...
Hii sasa sifa, mkataba wa bilion nne na ushee kwa mwaka!! Nyie Sport Pesa mnawafanya Yanga waende kuchukua vikombe vyote msimu ujao. Ina maana ni mara tatu ya mkataba walio ingia Simba.
Halafu...
Kama mnavyofahamu nafasi ya usemaji na nafasi nyingine zipo wazi .
Mchambuzi wa michezo ndugu Jemedari Said bin Kazumari ameomba nafasi hiyo huku akiwa ametimiza vigezo kadhaa vya awali Kama elimu...
Kwanza nianze na kuwapongeza Yanga kwa kutwaa ngao ya jamii ikiwa ni sehemu rasmi kabisa ya kufungua pazia la ligi kuu.
Wakati usajili unaendelea Kila timu ilikuwa na tambo za namna yake hususani...
Alipoingia mzungu, Simba ikaanza kupya na ndipo Yanga walipotake advantage ya kuisumbua Simba!
Uchezaji wa mzungu ni ulele kwanza haoni margin uwanjani pia hakabi, chenga hajui!... Kweli viongozi...
Mashabiki makini wa Simba SC Mnyama tutakuwa hapa Live Jamiiforums.
Mashabiki wa Simba dunia nzima wameendelea na vibe la Simba Day kona zote duniani,huku mashabiki wa Dar Es Salaam wakiendelea...
Wadau wa kabumbu tumeshuhudia timu zetu pendwa Simba na Yanga zikicheza Mechi za kirafiki. Kwa viwango vilichooneshwa na timu hizo unadhani nani anaenda kuteseka hiyo tarehe 13/08/2022?
Kwa rafu mbaya aliyomchezea Sure boyninapendekeza kamati bodi ya ligi kuiangalia vizuri video ya mchezo huu wa ngao na kuangalia rafu mbaya aliyocheza Inonga dhidi ya Sure boy.
Na mbaya zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.