Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Oscar Oscar amekuwa ni mtu wa kupost vichekesho kwenye page yake lakini kwa hapa amedhamiria. Hakuna vichekesho, kuna ujumbe anaufikisha sehemu. Na hii sio kawaida yake, je nani amemtuma Oscar...
3 Reactions
51 Replies
4K Views
Habari za jioni wakuu, Ikiwa umepita mda mchache toka kuanza kwa kikao kikubwa cha soka barani Africa ila kinachoendelea mitandaoni kinasikitisha sana. Katika tasnia zilizovamiwa Tanzania ukiitoa...
18 Reactions
45 Replies
3K Views
Huu ni utabiri wangu Mayele leo kwenye dakika ya 20+ atafunga simba bao la kichwa Kwenye dakika ya 50+ aucho atafunga goli la kumalizia Kwenye dakika ya 67+ Simba wata gomboa goli kwa mkwaju wa...
0 Reactions
1 Replies
740 Views
Mshindi wa tuzo ya Ballon d'Or kwa mwaka 2021, Lionel Messi hajatajwa kwenye orodha ya Wachezaji 30 wanaowania tuzo hiyo kwa mwaka huu Tangu mwaka 2005, Messi amekuwa akitajwa kwenye orodha ya...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Mwaka jana mwezi March wakati Motsepe anachaguliwa kuwa Rais wa Caf katika mkutano uliofanyika Rabat Moroko kiu na hamu ya wengi ilikuwa ni kumuona CEO Senzo na Injinia Hersi wa Yanga wakitia team...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Uongozi wa klabu ya Yanga kupitia kwa Kaimu Mtendaji Mkuu, Simon Patrick umethibitisha rasmi kuachana na aliyekuwa Afisa Habari na Mawasiliano wa klabu hiyo Hassan Bumbuli, baada ya muda wake...
5 Reactions
35 Replies
4K Views
Katika marais wa awamu zote Karia ndo Rais aliyeleta maendeleo kwenye mpira pamoja na madhaifu yake. Mikataba na Azam media Mikataba na TBC Mkataba wa gharama na NBC Vilabu kufaidika kutokana na...
4 Reactions
22 Replies
1K Views
Tukiwa tunamalizia msimu huu, baadhi ya timu zimeshaanza kutoa jezi mpya kwa msimu ujao. Timu kubwa ya kwanza kuachia jezi zao ni Liverpool. Uzi huu utakuwa unakuletea jezi mpya kadri...
8 Reactions
201 Replies
36K Views
Hizi ndio Timu 10 ambazo zimekua confirmed Zitashiriki Super League Mwakani 1. Al Ahly 2. Zamalek SC 3. Mamelodi Sundowns 4. Orlando Pirates 5. Wydad AC 6. Raja CA 7. RS Berkane 8. Yanga SC 9...
7 Reactions
89 Replies
9K Views
Nilileta uzi hapa wiki iliyopita Kuhusu Yanga kuchangisha mchango wa mganga kutoka visiwani. https://www.jamiiforums.com/threads/yanga-wanachangisha-pesa-ya-mganga-kutoka-visiwani.2008077/...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Simba imeshindwa kusajili wachezaji wafuatao ndani ya Dirisha kubwa 2022-23. 1. Victoria Adebayor. 2. Stephan Azizi Key. 3. Luis Joseph Miquisson. 4.Abdul Suleiman Sopu. 5. LOBIE CESAR...
0 Reactions
8 Replies
852 Views
Kila wakati tukisema viongozi wa yanga uwezo wao ni mdogo, watu wengi hamuelewi. Mkutano uliofanyika jana ni General Assembly ya CAF. Ni mkutano unaowakutanisha viogozi wakuu wa mataifa wa mchezo...
19 Reactions
67 Replies
3K Views
Utopolo sio moja ya vilabu vitano bora ukanda wetu wa CECAFA.
21 Reactions
60 Replies
4K Views
Taarifa ya Tff kuhusina na yanga kutokualikwa Pia soma https://www.jamiiforums.com/threads/kama-yanga-haikualikwa-basi-ni-kweli-tff-ina-chuki-mgogoro-dhidi-ya-yanga.2009540/unread
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Msimu jana ilionekana huyu jirani yetu amefanya copy and paste ya jezi ya timu ya taifa ya Tunisia kwa zile jezi nyeupe, ilitakiwa kuwa kengere ya kuwaamsha ili suala ilo lisijirudie tena cha...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Kwanza natanguliza salam kwenu ndugu zangu wa JF wote. Sasa bila kupoteza muda ndugu zangu, hayo chini ni baadhi ya mambo ambayo ukiyafanya, katu moyo wako hautapata maumivu ya aina yoyote katika...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Taarifa iliyotolewa na Klabu ya Yanga leo, imethibitisha kuachana na Afisa Habari wake, Hassan Maulid Bumbuli baada ya Mkataba wake kumalizika. Hassan Bumbuli ameitumikia Klabu hiyo kwa kipindi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Miongoni mwa habari ambazo zimeshtua baadhi ya wadau wa soka nchini ni habari inayohusiana na kutoalikwa kwa klabu ya Yanga katika Mkutano Mkuu wa Kawaida wa 44 wa CAF uliofanyika jijini Arusha na...
14 Reactions
127 Replies
7K Views
Bwana Wallace Karia ameomba msamaha kwa kauli yake ya hovyo aliyoitoa kuhusu Tundu Lissu. Gazeti la michezo la Mwanaspoti limemnukuu kiongozi huyo wa michezo akisema hakuwa na nia mbaya wala...
18 Reactions
118 Replies
20K Views
Back
Top Bottom