Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kufuatia dili nono walilo saini Simba Sc leo na kampuni ya michezo ya kubaatisha ya M BET ni wazi Simba Sc ina stahili kongoleee. Na pongezi kubwa zinakwenda kwa kitengo cha inteljensia ambao...
22 Reactions
29 Replies
3K Views
Naona jamaa zangu wa utopolo wamepatwa na mshtuko wa ghafla baada ya kuona thamani ya mkataba mpya walioingia Simba SC. Tunaojua mambo tulishawaambia mapema, watulize mihemko yao wakati ule...
13 Reactions
46 Replies
2K Views
KIUNGO mpya wa Yanga, Stephane Aziz Ki ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa Ligi ya Ivory Coast kwa msimu uliopita wakati akiichezea Asec Mimosas. Nyota huyo ambaye amejiunga na Yanga msimu huu...
3 Reactions
19 Replies
3K Views
CODE NAMBA YA TANZANIA ni 255 na nchi yetu iliwakilishwa vyema msimu wa 2018
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Moja kati ya tabia kuu zinazokwenda sambamba na kazi yoyote ya kibunifu ni kueleweka kwa taratibu, kueleweka baada ya muda flani au kutokueleweka kabisa hata baada ya muda kupita hii ni kutokana...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
KAMATI YA USAJILI SIMBA.wakuu. Habari wakuu. Mimi ni mpenzi wa mpira wa Miguu. Na kusoma kidogo ukocha kama mafunzo ya ziada tu kwangu. Nianze kwa kuipongeza KAMATI ya usajili ya Simba kwa...
9 Reactions
32 Replies
3K Views
Hivi karibuni timu zetu kubwa hapa nchini zimeingia mikataba mipya na wadhamini wao Simba sc na MBET Yanga sc na SPORTPESA Hapa katikati kuliibuka fununu za simba kuachana na Sportpesa okabaki...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Zamani bondia Karim Mandonga alikuwa 'baunsa' wa Watu Pori, kundi la Afande Sele. Alikuwa anapenda msosi kuliko bia, kila wenzake wakiagiza bia moja naye anaagiza sahani ya chips. Afande Sele...
5 Reactions
5 Replies
2K Views
Watu wengi wameshangaa kuona majina ya malegend wa Yanga akina Hamis Kinye kwenye third kit ya YANGA lakini hili siyo jambo la ajabu kwani hata Klabu hii ya Italia imewahi kufanya Torino's New...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Kuna wajinga wanataka timu sijui ziwe na jezi sawa, Ila hata jezi za timu za Taifa huwa zinachangiwa sana uzuri na Bendera za nchi zao. Angalia Uzi mfano wa Argentina, mara zote ni uzi mkari saba...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Jezi za Klabu Bingwa na Shirikisho zonatakiwa ziwe na Uhalisia wa Soka ( Mpira ) tu na siyo kuwa na Jezi zenye Picha za Vifusi, Maghorofa na Machinjio ya Vingunguti. Kuna Timu Moja hapa Tanzania...
9 Reactions
24 Replies
2K Views
Kama kawaida yenu ya Kujisifu ( Kujimwambafai ) Kizembe na kupenda Kudanganya Mashabiki wenu Oya Oya ( Washamba ) wengi leo mmedanganya tena kwa kusema Klabu yenu ya Jezi Mbovu na Kituko FC FC...
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Mwanariadha wa Mbio Ndefu Marathon (42KM) Alphonce Felix Simbu Amenyakua Medali ya Fedha ,kwa kukimbia muda (2:12:29) nyuma ya Mganda Victor Kiplagat (2:10:55) na Mkenya wa Tatu Kwa Muda...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanariadha wapatao 9, Wanamichezo wengine na Viongozi wao wameondoka kwenda nchini Uingereza kushiriki Mbio za uwanjani na mbio Ndefu katika mashindano ya Jumuiya ya Madola yatakayofanyika...
0 Reactions
2 Replies
662 Views
Vilabu 20 bora zaidi Afrika; 1. Al Ahly 2. Raja Casablanca 3. CR Belouizdad 4. Wydad Casablanca 5. Pyramids FC 6. Atletico Petro De Luanda 7. Zamalek 8. Mamelodi Sundowns 9. JS Kabylie...
4 Reactions
24 Replies
24K Views
Clip inasambaa semaji la yanga likizozana na Rais wa TFF kwenye mchezo wa fainali baina ya yanga vs coastal Union, kwa kweli sasa jamaa amefika mwisho, Manara ameingia choo cha kike, adhabu za...
7 Reactions
103 Replies
11K Views
Jana zimetoka wauzaji wa jumla wote kariakoo wamemaliza zimebaki Kwa wauzaji wa rejareja ambapo huwezi pata chini ya 40 tu 45 wanauza 35 nao washamaliza kazi ipo Kwa ushauri tu kama unataka jezi...
3 Reactions
37 Replies
3K Views
mwanzoni mwa mwezi wa saba chelsea walionesha nia ya kumsajili baadae kocha akatangaza hawana mpango na ronaldo , bayern munich nao wakatangaza hawana ela za kumlipa ela ronaldo japo tayari ana...
1 Reactions
2 Replies
469 Views
#Kutoka_mwanasport Saa chache baada ya uongozi wa Yanga kutangaza kwamba aliyekuwa Ofisa Mtendaji wao Mkuu Senzo Mazingiza anaondoka mwenyewe ameibuka na kukanusha juu ya kuondoka kwake...
4 Reactions
14 Replies
3K Views
Klabu ya Azam FC leo Julai 29, 2022 imezindua rasmi Jezi mpya kwa ajili ya msimu ujao wa mashindano wa 2022/2023. Nyeupe (Home Kit) Blue (Away Kit) Nyeusi (Third Kit)
8 Reactions
39 Replies
5K Views
Back
Top Bottom