Kutokana na GENTAMYCINE kutokuwa na Imani kabisa na Watu kama CEO Barbara Gonzalez, Mwenyekiti wa Wanachama Murtaza Mangungu, Mratibu Abbas, Kocha Msaidizi Matola, Meneja Rweymamu, Mjumbe wa Bodi...
Pamoja na usomi wa Rais wa utopolo, nimegundua anafanya vitu kwa nguvu ya pesa na uswahili mwingi ambao sio muda mrefu utawagawa sana wachezaji.
Zipo dalili za wazi kuwa kuwa watu hao wataondoka...
Nimekumbuka kisa cha Senzo kuondoka Simba nikauona unafiki mkubwa sana wa huyu jamaa.
Kama aliondoka kwa sababu tu Morrison mtukutu amesajiliwa, Leo atatuambia nini kuhusu mchezaji huyo?
Kama si...
Bondia Shabani Kaoneka ambaye amepiga kwa TKO Karim Mandonga amesema yupo tayari kwa pambano la marudio
Amesema kama atarudia pambano hatofanya mazoezi kwa kuwa anaujua udhaifu wa Mandonga...
Wewe muimbaji mimi sikujui and am sure as hell a millions of Tanzanians do not know you but we are listening to you because you are talking about Mandonga.
Klabu ya Yanga imecheza mechi ya kujipima nguvu ikiwa ni maandalizi ya msimu mpya dhidi ya timu ngumu ya Transit Camp na kuibuka na ushindi wa mabao 5 kwa 1.
Magoli ya Yanga yamefungwa na...
Pambano la ngumi (VITASA) kati ya Seleman kidunda (JWTZ) na Katompa kutoka DRC ni Leo!
Ikumbukwe katompa miezi michache nyuma ndiye aliyemchapa Abdalla Pasi (dullaboy)
Kwa kutambua uzito wa...
Je, nani mhusika wa hizi Jezi feki mitaani?
Je, ni watengenezaji huamua kurudufu kwa mlango wa nyuma ili Club zisipate?
TBS, Simba, Yanga, Vunjabei, GSM, TISS, TPA, TRA, FCC, TAA
Hakuna...
Nimeona Tangu zawadi zilipoanza kutolewa Kwa washindi, baada ya Medali iwe ya Shaba, Fedha au Dhahabu mshindi anapewa pia Mdoli Wenye Sura kama Kanyani kadogo.
Naomba wajuzi mnisaidie kujua...
Popote pale ulipo Uliyekuwa Kocha Mkuu wao Luc Eymail ( Raia wa Ubelgiji ) Hongera sana kwa Maono yako na Kuwaita Nyani, Mbwa na Sokwe.
Eti kwakuwa Tajiri ana Kijiofisi chake Ghorofani pale...
Mwana Yanga SC Mwenge
Kama Designer Wetu aliishiwa Uzi si angesema tu tuliyonayo tumpe?
Mwana Yanga SC Ubungo
Huyu Designer Wetu na hivi ni Mchagga lazima tu atakuwa kabania Nyuzi na katumia...
Kwa jiinsi Bonabucha alivyo offensive kama Yusuf Ali angekuwa bondia wa hovyo hovyo tayari ingekuwa knock out.
Ame ni impress sana . Ni sugu sana and very professional.
Akipata watu wa ku...
Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Dkt Asha-Rose Migiro, Ampongeza mwanariadha Alphonce Felix Simbu kwa kunyakua
Medali ya fedha baada ya kuibuka mshindi wa pili, nyuma ya Mganda Victor Kiplagat...
Timu ya taifa ya Tanzania ya mchezo wa kabaddi imefuzu kushiriki mashindano ya dunia ya mchezo huo ambayo yanatarajiwa kufanyika nchini India mwishoni mwa mwezi Oktoba. timu hiyo imefuzu baada ya...
Mapema jioni hii mabingwa wa nchi, mabingwa mara nyingi na mabingwa wa kihistoria wamezindua rasmi uzi mpya utakao tumika msimu ujao.
Mabingwa hao wameendelea kushika usukani katika kuzalisha na...
Dah hizi dharau sasa, msikiti wa Idrissa umewekwa kwenye jezi lakini hata kanisa la azania limeshindikana kweli bwana Ngowi, au ni maelekezo maalumu toka salamander maana hata wao umewaweka kwenye...
ilikuwa ni kwa mara ya kwanza kwa bingwa mara 8 wa afrika wakati huo Al ahly alipokutana na timu ya wananchi Dar Yanga Afrika akapasuka bao moja bila
KAMA KUNA TIMU YOYOTE IMEWAHI KUIFUNGA AL AHLY...
Kwakweli yanga wamejaribu kuteka attention za mashabiki mbalimbali kwa kusubiri jezi ambazo walisema zitakuwa bora kuliko timu yoyote ile, je Simba wataweza kuwafunika Yanga katika kuzindua jezi...
Habarini wadau wa jamii forum nilikuwa naomba kujuzwa sehemu ambayo naweza jifunza boxing ,karate, kung fu au hata martial arts ambayo ina walimu bora zaidi na lengo la kujifunza sio kwa ajili ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.