Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Shabiki mwenye uchungu mkubwa na timu ya SimbaSC Tanzania Dr. Hamisi Kigwangalla amejikuta akipata Maumivu makali kwa timu yake pendwa kutolewa kwenye kombe la ASFC na Mabingwa wa kihistoria wa...
6 Reactions
63 Replies
6K Views
Aisee Mimi sijaliona vyema hili tukio. Nasikia huyu Bench warmer aliingizwa dakika za 70 na akaonekana anaingia huku anavaa hereni. Yaani Timu yako iko nyumba ya bao moja unapata muda wa...
14 Reactions
33 Replies
4K Views
Wanajamvu huyu mwanadada huwa sijawahi kabisa kumuelewa. Tangu apate ile nafasi pale Simba SC naona kama amewarudisha sana nyuma wale Jamaa. Hakuna jambo amefanya ambalo mwanasimba anaweza kuona...
8 Reactions
43 Replies
3K Views
Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana suala la hii kampeni ya Nani Zaidi? Kwa uwiano uliopo kati ya mashabiki wa Simba na Yanga, inawezekana vipi wapiga kura wa Simba wawe wengi mara mbili zaidi...
15 Reactions
121 Replies
7K Views
Tunashangaaga sana inakuwaje wachezaji wetu hawaendi mbali. Wakienda mbali basi wanaishia hapo Uarabuninna kucheza msimu mmoja na kugeuza. Kwanini wasitokomee huko huko kwenye Ligi nyinginezo...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Asilimia kubwa ya mashabiki wa Simba SC hawajafurahi sana ujio wake kwa namna wakivyo furahi ujio wa Junior Lokosa, Mugalu na Perfect Chikwende? Je, hii inasababishwa na mashabiki walio wengi...
2 Reactions
37 Replies
5K Views
Asanteni sana Bodi ya Ligi kwanza kabisa ya kukubali Maombi ya Dar es Salaam Young Africans SC ya kubuni trophy jipya la kuendana na Msimu wao mpya wa kurudi kwenye Mataji Rasmi. Pili shukrani...
1 Reactions
4 Replies
591 Views
Watani zangu ninaba mjiandae. Msimu ujao sio wenu hakika. Na dalili mmkekwisha anza kuziona. Wengi wenu mmekuwa mkiniuliza suala la usajili wa timu yenu. Ukweli ni kwamba klabu yenu inataguta...
0 Reactions
1 Replies
300 Views
Wengi mnazungumza mafanikio ya kutwaa taji mara nne mfululizo ya simba sc pasi na kutoa shukrani stahiki kwa Azam FC. Ikumbukwe kuwa Azam FC waliwahisani wachezaji wa bure Simba SC. Wachezaji hao...
1 Reactions
4 Replies
569 Views
Hili sakata bado zito sana. Ni mawili. Subiri mwezi wa 10 ili umchukue mchezaji akiwa huru. Au peleka signing fee ya $100,000 ili chezaji apewe release letter na mukamilishe usajili wake...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Jana kwenye tuzo za TFF nilipata nafasi ya kupiga stori na dogo Yusuph. Huyu dogo, kama wengi mnavyo fahamu kuwa na mtoto wa shabiki wa zamani wa Simba SC. Katika kupiga story mbili tatu...
5 Reactions
31 Replies
3K Views
1. Aziz Stephane Ki ($200,000) Asec Mimosas to Yanga SC 2. Bernard Morriso (Free Agent) Simba SC to Hanga SC 3. Augustino Okrah (Loan) Bechem UTD to Simba SC 4. Ceaser Manzoki ($58,000) Vipers...
1 Reactions
71 Replies
5K Views
Asanteni sana Bodi ya Ligi kwanza kabisa ya kukubali Maombi ya Dar es Salaam Young Africans SC ya kubuni trophy jipya la kuendana na Msimu wao mpya wa kurudi kwenye Mataji Rasmi. Pili shukrani...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Watani zangu ninaba mjiandae. Msimu ujao sio wenu hakika. Na dalili mmkekwisha anza kuziona. Wengi wenu mmekuwa mkiniuliza suala la usajili wa timu yenu. Ukweli ni kwamba klabu yenu inataguta...
0 Reactions
13 Replies
891 Views
Wengi mnazungumza mafanikio ya kutwaa taji mara nne mfululizo ya simba sc pasi na kutoa shukrani stahiki kwa Azam FC. Ikumbukwe kuwa Azam FC waliwahisani wachezaji wa bure Simba SC. Wachezaji hao...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Sikiliza Mtani. Masikhara tuyaweke pembeni, ila kuhusu huyu mwanadada nakushauri apewe rikizo ndefu tena isiyo na maelezo ya atarudi lini. Niliwahi kuzungumza hapa jukwaani. katika dunia ya sasa...
6 Reactions
33 Replies
2K Views
Kuna tatizo kubwa sana pale ndani. Yes! Barbara amesema “Everything is OK” lakini ameisema ili kuepusha upepo mbaya masikioni pa mashabiki wa soka. Deep down in her heart kuna kitu...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Leo nimecheki game ya simba sc dhidi ya Prison ambapo simba wamepoteza kwa goli moja. Kuanzia kikosi cha kwanza hadi walio kaa benchi hakuna mchezaji anayeweza kuingia kwenye kikosi cha kwanza...
7 Reactions
32 Replies
2K Views
Ushauri Wa Simba SC Waiponza Coast Union Kwenye Fainali ya ASFC. Ifahamike kuwa kwa ubora walionao Coast Union FC ndani ya uwanja walikuwa nanuwezo wa kupata matokeo safi dhidi ya Mabingwa wa...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Mazungumzo yameanza muda huu mchana katika ofisi za MeTL. Simba wanataka kuimarisha eneo lililo achwa wazi na Super Ben.
1 Reactions
37 Replies
3K Views
Back
Top Bottom