Za ndani kuna pande mbili zinavutana,Yanga asili hawapo tena,baada ya engineer kuwa rais, hata press baada ya hapo hazina logo ya Yanga (asili) ni makampuni yanayodhamini tu. GSM wamelalamika...
Hivi majuzi Manara alikuwa amekuwa akipromote App moja inaitwa Mwnanchi App Yanga kana kwana kwamba ni App rasmi ya Yanga.
Binafsi hii hii haiina hadhi ya kuwa official apps inayomilikiwa Club...
Baada ya Billnass na Nandy kuoana na kuisimamisha nchi,watu wanauluza,mbona hakuna ndoa ya mwanasimba imewahi kuisimamisha nchi? Kama yupo niiteni nimekaa pale.
Sent from my TECNO B1f using...
Katika hali ya kushangaza, Klabu ya Simba Sc imetumia Pasi kutoa logo za Sportpesa na kubandika logo za M-BET katika jezi za mazoezi, safari na hata vifaa vya mazoezi.
Kulishindikana nn kuprint...
Wanajamvi na mashabiki wote wenzangu wa Utopolo FCa.k.a Mabingwa Wa Kihistoria Wa LigiKUU Tanzania a.k.a Mabingwa watetezi na pia Mabingwa wajao wa kombe la Ngao ya Hisani ya Agosti 13, 2022...
Wanajamvi,
Nimeingia kwa jukwaa mara nikasikia ohh Okrah kaanza kazi mara ohh Kocha mpya ana sumu kali.
Kuuliza nikakuta kumbe Okrah kasawazisha bao dhidi ya Timu ya Ismaily SC.
Sasa...
Abdallah Kibadeni akaishia kupiga zake hat trick ya kwanza na ya pekee katika derby ya kariakoo. Utopolo mpaka leo wameshindwa kulipa kichapo hiki.
Naambiwa baada ya mechi hii, bakora za kutosha...
Mfumo wa kuendesha mashindano ya FA Cup ya Tanzania yamekaa kidhulumishi sana.
Fainali ya mwaka huu ilifanywa kati ya Yanga na Coastal Union ya Tanga. Yanga wakashinda na kuwa mabingwa. Sasa...
Uongozi wa klabu ya Yanga leo Julai 19,2022 imetangaza rasmi kuwatema wachezaji Yacouba Sogne na Chiko Ushindi ili kubaki na wachezaji 12 wa kigeni.
"Wengi mtajiuliza kwanini tuna wachezaji 14 na...
Habari hii iliandikwa kwenye gazeti la RK NI
Licha ya hali ya hewa ya joto, wachezaji walijitoa na kuonyesha ustadi Mkubwa wa kugonga na kucheza mpira, wakati wa michezo ya kombe la dunia kwa...
#DAUDA_KAMJIBU_JEMEDARI
Shaffih Dauda kamjibu Jemedari Said kuhusu alichomkosoa Rais wa Yanga.
"Sidhani kama kuna shida yoyote kwa Rais wa Yanga kupiga picha na mchezaji wake au kufanya nae...
Sasa mtu analazimisha kabisa kwa confidence zote kwamba jamaa yuko kwa mkopo simba anabishana na hadi na club husika ya huko Ghana na media za Ghana, agh aiseee
======
Tanzanian giants...
Timu haina hata Wiki Moja tokea iende Kimafungu huko Ismailia nchini Misri na hata Kocha Mkuu hajajuana na Wachezaji wake halafu mnalazimisha Mechi Mazoezi ya Timu ya Vijana ya Ismailia na kutoka...
Tetesi ZINASEMA Yanga imefunga usajili na Msuva, lakini bado wana vikao vya siri je kati yake na Azizi nani awahi kutambulishwa.
Hapa sasa ni biashara ya jezi.
Tarehe 6.8.2022 Yanga Day.
Watu wa Soka,
Leo tumemtambulisha rasmi kiungo bora wa soka hapa nchini, Said Hamis Ndemla, ambaye amesaini kutupatia huduma yake kwa miaka miwili.
Ndemla sifa zake zinajieleza zenyewe. Amekuwa...
Nimesikitishwa sana na kitendo cha Tv za bongo kutokuonyesha mashandano ya riadha ya kimataifa yanayofanyika nchini marekani , ambapo kwenye mashindano hayo baada ya kutafuta channel zote za...
Kiukweli that guy hana hata uchungu akikosa magoli huwa anatabasamu na kuendelea kutafuna jojo, he is a waste takataka kabisa
Sasa naamini maneno kwamba ana mahusiano ya kimapenzi na kigogo wa...
Naomba kujua je Kuna nchi za nje hata Africa zimewahi kuweka kambi Tanzania zaidi ya sisi utaskia Mara Misri mara Ugiriki Mara South Africa. Naomba msaada kwa mwenye kujua. Nawasilisha.
Simba yaondoka kwa mafungu mafungu kwenda misri? Nini shida
Kikosi cha Simba kimeondoka nchini leo Julai 14 mchana kwenda nchini Misri huku katika msafara wao walikuwepo wachezaji 19, benchi la...
Tuliposema kwamba Ki aziz kapasua kingo za mto tuliitwa wajinga, maandazi, propaganda. Gharib alitoa millions 500 watu wakachafua madaftari wakijua kwamba kijana atakubali achukue signing fee nusu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.