Haiwezekani Yanga SC yetu imeupata Ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC na Fedha nyingi na ikaishiwa Pesa na kuweka Kambi nje ya nchi kujiandaa na Mechi zao za Mashindano mbalimbali ambayo tutanusa tu na...
Yes mmetuma barua ya maombi tarehe 8 /08 waje simba day lakini haihitaji kuwa rocket scientist with PhD kujua kwamba hilo haliwezekani kwani majamaa wana super cup vs Berkane kama sikosei ni...
Nimeumia sana kuona mchezaji (Mshambuliaji)wangu ndani ya kikosi changu cha Msimbazi KOPE MUSHIMBA MUGALU akibezwa na baadhi ya mashabiki wasiojielewa.
Nani hajui mziki wa huyu jamaa?
Nani hajui...
Mchakato wa Manchester City kuelekea kumsajili Erling Haaland wa Borussia Dortmund unaelekea pazuri hiyo ni baada ya kudaiwa kuwa wameshafikia makubaliano ya mshahara wa paundi 500,000 (Tsh...
Habari wa bodi wa JF hususani wana michezo.
Moja kwa moja kwenye mada. Kaka GENTA uko wapi sioni maoni yako katika kipindi hiki Cha usajili klabu yetu(Simba) inasajili wachezaji wanaotoka vilabu...
Machampioni wa kandanda nchini, timu pekee inayojulikana kuiwakilisha Tanzania kwenye medani za soka Afrika Simba sports club ya jijini Dar es salaam inatarajia kucheza mechi tatu nchini misri...
Miaka ya Mimi nikiwa kijana utani wa simba na yanga ulikuwa wa kucheka na kufurahi.SOKA LILIKUWA TAMU
Miaka hii,imekuwa robo tatu ni vita,chuki ugomvi na kudharaulina.
Hii hali ikiachwa iendelee...
Naam hali ni tete sana kwa simba kwani usajili unaoenda kutangazwa muda wowote huko jangwani si wa mchezo mchezo nchi itatikisika na utaacha vilio vikubwa sana hapo Simba.
Tajiri mwenyewe Ghalib...
Hatimaye Usajili Bora zaidi katika dirisha hili la Usajili. kutoka Afrika ya Magharibi, mabingwa watetezi & wa kihistoria wa LigiKUU Tanzania Bara wamtambulishaa Stephane Aziz KI kama mchezaji...
Mpaka sasa wanayanga mnapaswa kujipiga kifuani kwa kazi kubwa sana iliyofanywa na viongozi wenu katika dirisha hili la usajili.
Wengi wenu mmeonekana kuridhishwa kwa asilimia 100 kwa namna...
Wakati michuano ya club bingwa barani Africa hatua ya awali ikitarajiwa kuanza mwezi ujao tetesi zinasema kuwa uongozi wa Yanga kupitia CEO wao senzo wameiandikia shirikisho la mpira wa miguu...
Mchezo uliomalizika jioni hii Kati ya Simba na Ismailia umeishia sare ya 1-1 katika mchezo wa kwanza wa pre-season kwa Simba. Bao la Simba lilifungwa na Augustine Okrah.
Simba nguvu moja, wale wa...
Kocha wa Barcelona, Xavi Hernandez ameshindwa kusafiri na timu yake kwenda Marekani kutoka Hispania kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya kutokana na sababu za kiutawala.
Xavi amezuiwa kwa kuwa...
Wakuu It’s fight night for Undefeated kingryan Garcia as he is set to enter the ring against the veteran Javier Fortuna.
.
Pambano Hili ni this Saturday night live on dazn boxing from Cryptocom...
July 12:
Contract extensions for:-
Abdallah Shaibu - 1 Year (Ends in 1 July, 2023)
Fiston Mayele - 2 Years (Ends in 11 July, 2024)
Dickson Ambundo - 1 Year (Ends in 28 June 2023)
July 13 - 15...
Ukiangalia uwezo wa timu zote zilizowahi kuitoa Simba Sc robo fainali,ni timu zenye kasi sana. Orlando Pirates na Kaizer Chiefs. Angalia pia timu zinazopenya nusu fainali,hakuna timu inayocheza...
Watu wa Soka,
Muda mfupi uliopita tumemtambulisha Golikipa mahiri wa Klabu ya Azam (akitokea Tanzania Prisons FC kwa mkopo), Benedict Haule, kuja kuongeza nguvu kwenye kikosi chetu.
Haule...
Watu wakiambiwa Senzo ni genius wanabana pua na kuanza kutikisa masikio, yanga ya sasa ni mooto wa kuotea mbali kiuongozi nje na ndani ya uwanja, wakati itakapokuwa imetoka katika kambi ya kisasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.