Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Yanga sc. Mayele Kambole Morrison Aziz ki Moloko Nkane Ngushi Simba sc. Phiri Sakho Banda Okrah Manzoki ( kama atasajiliwa) Kibu Kyombo
1 Reactions
6 Replies
791 Views
Simba inaitaji beki mwengine wa kati atakae saidiana na onyango na inonga kiunga mkabaji mwengine na mshamuliaji mwengine wa kati je ataachwa Nani Kati ya hawa Mugalu, Kagere, Kanoute, Lwanga Kati...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Nilipigwa na jua toka asubuhi mpaka saa nane Sarpong sababu ya kikungoja wewe,kumbe hata danadana hujui kupiga, Moringa aka Falcao, tukaambiwa alikuwa anatakiwa PSG leo yupo Namungo. GSM mna...
1 Reactions
5 Replies
574 Views
Kuumwa ni ibada na usimuombee mtu ugonjwa ila ukweli usemwe Ulaya wachezaji wote kabla ya usajili hupimwa afya ila huku tumeona watani wanashusha tu vifaa, hatujaona wala kusikia wakipimwa afya...
4 Reactions
72 Replies
5K Views
Mkiambiwa balance ya mahesabu imeharibika kwa sifa za kijinga za ki aziz hamuamini, ufunguo huo peke yake umesababisha hata kambi inaenda kukwekwa karatu siyo uturuki tena Kwa msiojua ni kwamba...
1 Reactions
7 Replies
652 Views
Amekopi na kupest toka kwenye wimbo wa DJ Khaleed, yeye alichofanya aka-edit na kuweka nembo ya Yanga...haya Kazi kwenu utopolo...
10 Reactions
89 Replies
5K Views
Na nyinyi wachezaji wa kibongo tokeni mkacheze njee mpate mihela ya kutunza family zenu lawama atutaki
0 Reactions
3 Replies
554 Views
Viongozi wa Yanga nawaomba mfanye maandalizi ya timu mapema siyo mnaleta ligi ya digital design kwani kombe linatolewa kwenye design hiyo. Watani wetu ndo wamepaa Leo, mkileta mzaha mafanikio...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Nawasalimu kwa jina la dar es salaam young African na makombe yaendelee. Ikiwa imepita siku moja toka AZAM FC wamtambulishe goli kipa wao mpya kutoka Morocco anayejulikana kama Ali Ahmad hali ni...
2 Reactions
36 Replies
2K Views
MGraphics za leo ni zaidi ya Uchale Chaplin Halaf tumeambiwa wamekesha usiku kucha ili Dunia itingishike. Labda ile Dunia Tambara Bovu, Sio Dunia hii ya 🌎 🤪🤪 Nb;; mkipeana kazi kiudugu Quality...
6 Reactions
61 Replies
4K Views
Akiwa Sudane Game 26 Goal 17 Assist 11 MOV 11 MVP
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Chelsea imesitisha mpango wa kumsajili Cristiano Ronaldo baada ya kuelezwa kuwa kocha wa timu hiyo, Thomas Tuchel kumwambia mmiliki wa klabu, Todd Boehly hamuhitaji Mreno huyo. Inadaiwa Chelsea...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamaa ni mmoja ya wachezaji waliokwea pipa leo kwenda Misri na kikosi cha Simba kwa ajili ya maandalizi ya Msimu ujao (Pre Season). Wale wote mliokuwa mnasema jamaa atatemwa, itoshe kusema tu...
1 Reactions
32 Replies
2K Views
WALE WANAOSEMA AZIZ KI NI WA KAWAIDA....SOMA HII PROFILE YKE JIBU BAKI NALO MWENYEWE PROFILE STEPHANE AZIZ KI. ▪️Name - Stephane Ki Aziz ▪️Date of birth - March 6, 1996. ▪️Citizenship -...
4 Reactions
27 Replies
9K Views
Kijana katengenezwa na propaganda akawa mkuubwaa hadi yeye akajishangaa , ukweli ni kwamba hizi teams 3 za bongo zinalipa mishahara ambayo huko west africa wachezaji hawana kabisa lakini Aziz key...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Hayawi hayawi yamekuwa baada ya Mwamedi kuikacha team na hali kuwa mbaya huku vi akiba vikiisha kabisa,Said bagalile a.k.a Hamis Kigwangwala alitoa sharti kwamba wampigie simu kama wana shida yeye...
5 Reactions
48 Replies
3K Views
Yaani Beki Abdallah Shaibu 'Ninja' wa Yanga SC anajua kabisa kuwa hana hata Namba Yanga SC hii yenye Majembe tupu na Msimu uliopita kama kuna Mechi ya Ligi aliyocheza basi ni Moja na hata za...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Timu ya Taifa Tanzania imekuwa ikitumia nguvu kubwa mpaka miaka ya nyuma na mkuu wa mkoa kipindi cha Makonda. Nguvu hizi sio msaada bali ni kupoteza muda kama kawaida yetu nchi hii. Mtindo...
0 Reactions
4 Replies
465 Views
Back
Top Bottom