Nikiangalia jinsi usajiri wa mwaka huu naona kama hata hiyo robo fainal km hatutoikanyaga mn naona kuanzia uongozi mpk mashabiki km hatuna raha kbs na usajiri huu cjui muhindi kachomoa betri?
Japo laana ni suala la kiimani na vitu vya kiimani ni ngumu kuvithibitisha,lakini kwa namna flani haya mambo ya laana yapo.
Mwaka 1962 baada ya taji lake la pili la kombe la Ulaya alilowafunga...
Kwa miaka ya ivi karibuni league kuu ya soka ya Tanzania imeongeza hamasa ya kutazamwa na baadhi ya wana habari wa michezo wa kubwa toka nje ya Tanzania.
Kwa kipekee kabisa mchango unaofanywa...
Hakuna kinachoshindikana mbele ya pesa hasa katika soka kwani imefahamika kwamba mshambuliaji mpya wa Simba Adam Salamba atavuna kiasi cha pesa ambacho hakika hakuwahi kuvuna katika maisha yake ya...
Yanga iliyoacha rekodi Kampala wakati Onyango akizaliwa Kenya
KAMA utani imetimia miaka 27 tangu vinara wa Ligi Kuu Bara kwa sasa, Yanga ilipoandika rekodi ya aina yake jijini Kampala.
Kwa...
Klabu ya Simba imeendelea kuonesha ukubwa wake.
Ni jinsi gani wachezaji wazawa inaendela kuwaamini katika kikosi chake na kuwathamini.
Thamani yao inakuja kutokana na kupewa kipaumbele cha...
Hii ndio taarifa inayosambaa kwa kasi mitandaoni kwa sasa , kiasi cha kuzua mgogoro kati ya Simba na Namungo FC.
Namungo inalalamikia rafu zinazochezwa na Simba kwenye suala la Kichuya huku...
Hiki ni kipindi kizuri sana, tatizo kubwa ni muda wa kuanza kipindi ambapo wengine bado huwa tupo ibadani maana huwa wanaanza saa mbili kamili asubuhi.
Kwasisi watu wa zamani, kipindi hiki huwa...
Kuna Watu wanapenda sana kutufanya Watanzania Wote ni Mabwege Mtozeni kama walivyo.
Tukutane kuanzia Mechi ya Ngao ya Jamii na endeleeni tu Kukariri na kujipa Moyo kuwa Msimu wa 2022 / 2023...
Kwema?
Nashindwa kuelewa huu Usajili wa timu yangu ya Simba Kwa Sasa. Performance ya timu kwa msimu ulioisha haikua nzuri, na ni ishara kua kulikua na mapengo kadhaa.
Na kawaida mapengo ya timu...
Ni hujumaaa
Msimu wa ligue unaokuja hatutaleta team uwanjan hakuna fair compétition mnaleta wachezaji toka Newcastle uko ulaya mara rayo valacano wakat wenzenu tunasajili wakina kyombo walio...
Nazani kila mtu anajua mwaka huu kwenye bajeti ya wizala ya michezo zipo pesa kwa aajili ya kuboresha viwanja lini wataanza hatujui na hua inachukua muda gani wataaram mtusaidi huwa siamini sana...
Watu wa Soka,
Kuanzia sasa Abdulmajid Mangalo ni
BIG STAR.
Tumemuongeza kikosini Nahodha huyu kutoka klabu ya Biashara United na tutakuwa nae kwa mkataba wa miaka miwili.
Mangalo ni mchezaji...
Habar wana jamvi..
Kwa DSM ama nje ya DSM wapi naweza kupata academy nzuri ya kumkuza mwanangu kwenye mpira wa miguu?
Kijana ana miaka 8 na anapenda sana mpira. Sasa maona ni wakati mwafaka wa...
Najua kipengere cha kuhoji dini kimekataliwa kwa sababu ya unyeti (sensitivity) wake, Lakini huku kwenye simba na yanga haitaleta madhara yoyote.
Ni ushauri tuu ili tukate mzizi wa fitna.
My...
Klabu ya Simba, Wekundu wa Msimbazi leo Julai 11, 2022 imethibitisha kukamilisha usajili wa kiungo nyota Nassoro Kapama kwa mkataba wa miaka miwili akitokea klabu ya Kagera Sugar.
Nyota huyu...
Kuna vitu vinaendelea kuhusu usajili ambao tff wameachia dirisha hilo kuanzia 1/07/2022 hadi 30/08/2022 ambapo tunashuhudia mambo kipindi hiki.
Timu ya Yanga Afrika ilichagizwa na uchaguzi...
Simba SC, Wekundu wa Msimbazi kutoka Jiji la Dar es salaam, leo Julai 10, 2022 wametangaza kukamilisha usajili wa kiungo wa dimba la katikati Mnigeria Victor Akpan (24) kwa mkataba wa miaka miwili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.